Hv na Marekani huwa wanafunga barabara wakienda viongozi wa africa!!???Wamekurupuka hawakufanya tathimini ni barabara zipi zifungwe. Mbona ni rahisi kupanga road pattern kwa misafara ya viongozi hao? Hizo siku itakuwa kero kubwa wa wakazi wa jiji la dar, wavumilie tu hakuna namna
Huyu alimaliza kabisa na kutupiga za uso"Black people are not complete human beings because they don't have a good brain to govern the society as White people. They are still under the process of becoming the complete human beings."
Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
Ngoja tuone kama wataturuhusu kesho kufanyia kazi nyumbaniSekta binafsi waajiri wenu wameshauriwa hivyo hivyo
Hivo yaani; alipiga zake day waka tena mamtoni huko😂 kwahiyo raisi wa zimbabwe alichukua zake za day woka
Noma sana mkuuHivo yaani; alipiga zake day waka tena mamtoni huko
Nikiisomaga ile hotuba (ina page 2 ) yaani huaga sioni popote pa kumkosoa Kaburu yule; kila kitu mule kipo sahihi kabisa yaani."Black people are not complete human beings because they don't have a good brain to govern the society as White people. They are still under the process of becoming the complete human beings."
Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
we nani utake pattern?Tupe wewe pattern zako
Then who are you ukosoe pattern za usalama..we nani utake pattern?
we huoni usumbufu kwa wananchi?Then who are you ukosoe pattern za usalama..
unauliza mi ni nani mpaka nikosoe pattern za usalama? Jibu ni kwamba mi ni mwamba hapa mjini, sijapendezwa na namna jinsi barabara nyingi zilizofungwa na kusababisha kero na usumbufu kwa wananchiThen who are you ukosoe pattern za usalama..
Kuna utulivu wa hali ya juu maeneo ya katikati ya jiji, ulinzi na usafi ungeendelea hivi hata wakiondoka ingekuwa jambo la maana sana.Hali ikoje leo?
Huo utulivu ni baada ya bodaboda na bajaj kuzuiwa. Hawa wanaondoa amani kabisa huko mjini.Kuna utulivu wa hali ya juu maeneo ya katikati ya jiji, ulinzi na usafi ungeendelea hivi hata wakiondoka ingekuwa jambo la maana sana.
Kuna vitu wavifanye viwe endelevu hata baada ya kutamatika kwa mkutano.
Wangewaandalia utaratibu mzuri wa kufanya kazi mjini maana wana umuhimu wao, watu wanatembea kwa mafungu mafungu kama mitume wa Yesu umbali mrefu.Huo utulivu ni baada ya bodaboda na bajaj kuzuiwa. Hawa wanaondoa amani kabisa huko mjini.
Hawana umuhimu wowote city centre. Mibajaj inabeba abiria 6-10 kama daladala kwanini na daladala zipo?Wangewaandalia utaratibu mzuri wa kufanya kazi mjini maana wana umuhimu wao, watu wanatembea kwa mafungu mafungu kama mitume wa Yesu umbali mrefu.
Mamlaka husika itabidi iliangalie hilo upya.Hawana umuhimu wowote city centre. Mibajaj inabeba abiria 6-10 kama daladala kwanini na daladala zipo?