Hili la kufungwa barabara limekaaje? Kwa namna hali ilivyokuwa leo kwenye usafiri maeneo ya Posta na Kivukoni mpaka ifike hiyo tarehe 30 tutakuwa hoi

Hili la kufungwa barabara limekaaje? Kwa namna hali ilivyokuwa leo kwenye usafiri maeneo ya Posta na Kivukoni mpaka ifike hiyo tarehe 30 tutakuwa hoi

Wamekurupuka hawakufanya tathimini ni barabara zipi zifungwe. Mbona ni rahisi kupanga road pattern kwa misafara ya viongozi hao? Hizo siku itakuwa kero kubwa wa wakazi wa jiji la dar, wavumilie tu hakuna namna
Hv na Marekani huwa wanafunga barabara wakienda viongozi wa africa!!???
 
"Black people are not complete human beings because they don't have a good brain to govern the society as White people. They are still under the process of becoming the complete human beings."

Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
Huyu alimaliza kabisa na kutupiga za uso
 
"Black people are not complete human beings because they don't have a good brain to govern the society as White people. They are still under the process of becoming the complete human beings."

Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
Nikiisomaga ile hotuba (ina page 2 ) yaani huaga sioni popote pa kumkosoa Kaburu yule; kila kitu mule kipo sahihi kabisa yaani.
1. Give them gun, they will start killing each other
2. Give them leadership in the government, they will start stealing everything and send them to abroad
The best thing they can do is marrying many wives and dancing.
 
Vipi kwa wagonjwa wa kwenda hospitali ambazo zipo mjini kati nao watasubiri mpaka mkutano umalizike?
 
Then who are you ukosoe pattern za usalama..
unauliza mi ni nani mpaka nikosoe pattern za usalama? Jibu ni kwamba mi ni mwamba hapa mjini, sijapendezwa na namna jinsi barabara nyingi zilizofungwa na kusababisha kero na usumbufu kwa wananchi
 
Hali ikoje leo?
Kuna utulivu wa hali ya juu maeneo ya katikati ya jiji, ulinzi na usafi ungeendelea hivi hata wakiondoka ingekuwa jambo la maana sana.

Kuna vitu wavifanye viwe endelevu hata baada ya kutamatika kwa mkutano.
 
Huo utulivu ni baada ya bodaboda na bajaj kuzuiwa. Hawa wanaondoa amani kabisa huko mjini.
 
Huo utulivu ni baada ya bodaboda na bajaj kuzuiwa. Hawa wanaondoa amani kabisa huko mjini.
Wangewaandalia utaratibu mzuri wa kufanya kazi mjini maana wana umuhimu wao, watu wanatembea kwa mafungu mafungu kama mitume wa Yesu umbali mrefu.
 
Wangewaandalia utaratibu mzuri wa kufanya kazi mjini maana wana umuhimu wao, watu wanatembea kwa mafungu mafungu kama mitume wa Yesu umbali mrefu.
Hawana umuhimu wowote city centre. Mibajaj inabeba abiria 6-10 kama daladala kwanini na daladala zipo?
 
Back
Top Bottom