Hili la kufungwa barabara limekaaje? Kwa namna hali ilivyokuwa leo kwenye usafiri maeneo ya Posta na Kivukoni mpaka ifike hiyo tarehe 30 tutakuwa hoi

Marekani wanapishwa Wakulima na Wawekezaji wakubwa ila viongozi hawapishwi.

Bongo - Vice versa is true.
 
JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam imetangaza kuwa Barabara tisa Jijini Dar es Salaam, zimefungwa kwa siku sita kuanzia leo Januari 25 hadi Januari 30, 2025 ili kupisha misafara ya viongozi wanaokuja kutoka nchi mbalimbali kuhudhuria mkutano wa Nishati Afrika.

Taarifa ya Polisi iliyotolewa leo Jumamosi Januari 25,2025 na Kamanda Kanda Maalumu ya Polisi Dar es Salaam, Jumanne Muliro, imesema Mkutano huo utakaofanyika jijini Dar es Salaam kuanzia Januari 27 hadi Januari 28, 2025, unatarajiwa kuhudhuriwa na zaidi ya marais 25 na mawaziri 60 kutoka nchi mbalimbali za Afrika ambapo pia bajaji na bodaboba hazitaruhusiwa kuingia katikati ya Jiji katika kipindi chote ambacho mkutano huo utakuwa ukifanyika.

Barabara zitakazofungwa ni pamoja na Barabara ya Nyerere kutokea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kwenda katikati ya Jiji, Barabara ya Sokoine, Kivukoni na Lithuli kuanzia taa za Gerezani kwenda Hoteli ya Johari Rotana, Hyatt Regency hadi Ikulu; Barabara ya Ohio kutokea Kivukoni kwenda Hoteli ya Serena na Barabara ya Ghana kutokea barabara ya Ohio kwenda Hoteli ya Onomo

Zingine ni Barabara ya Bibi Titi kutokea makutano ya barabara za Ohio na Ally Hassan Mwinyi kwenda Hoteli ya Crowne; Barabara ya Azikiwe kwenda Hoteli ya Four Points, Hoteli ya Golden Tulip City Center na Hoteli ya Holiday Inn; Barabara ya Morogoro kutokea Sokoine kwenda Hoteli ya Tiffany No. 1; Barabara ya Makunganya kutokea Azikiwe kwenda Hoteli ya Tiffany No. 2 na Barabara ya Garden kutokea barabara ya Lithuli kwenda Hoteli ya Southern Sun pamoja na Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa JNICC.
Nenda kwenu wageni wetu wakiondoka tutakujulisha.
 
Alipokuja Obama barabara za town zote zilifungwa na kupigwa deki...
Maeneo mengi ya katikati ya jiji barabara zinafanyiwa ukarabati kwa spidi sana, kabla ilishindikana nini kufanyika hivyo au ndio mpaka kuwe na sababu?
 
Nje ya bara la Africa; hivi wengine huko duniani nao huaga wanafunga barabara kama huku kwetu? Mfano, mkutano wa marais/nchi za G7 or G8 na wenyewe wanafungaga barabara kama hivi? Kwanini viongozi wa Africa hawanaga imani na wananchi wao? Wanawaibia sana or what? Ingekua enzi za Magufuli nina hakika hu mkutano ungepelekwa Dodoma na sio Dar.
Masikini wakazi wa Kigamboni
Kwa michango ya baadhi ya wadau waliopo kwenye nchi za ulaya huko hili haliwezi kufanyika.
 
JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam imetangaza kuwa Barabara tisa Jijini Dar es Salaam, zimefungwa kwa siku sita kuanzia leo Januari 25 hadi Januari 30, 2025 ili kupisha misafara ya viongozi wanaokuja kutoka nchi mbalimbali kuhudhuria mkutano wa Nishati Afrika.

Taarifa ya Polisi iliyotolewa leo Jumamosi Januari 25,2025 na Kamanda Kanda Maalumu ya Polisi Dar es Salaam, Jumanne Muliro, imesema Mkutano huo utakaofanyika jijini Dar es Salaam kuanzia Januari 27 hadi Januari 28, 2025, unatarajiwa kuhudhuriwa na zaidi ya marais 25 na mawaziri 60 kutoka nchi mbalimbali za Afrika ambapo pia bajaji na bodaboba hazitaruhusiwa kuingia katikati ya Jiji katika kipindi chote ambacho mkutano huo utakuwa ukifanyika.

Barabara zitakazofungwa ni pamoja na Barabara ya Nyerere kutokea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kwenda katikati ya Jiji, Barabara ya Sokoine, Kivukoni na Lithuli kuanzia taa za Gerezani kwenda Hoteli ya Johari Rotana, Hyatt Regency hadi Ikulu; Barabara ya Ohio kutokea Kivukoni kwenda Hoteli ya Serena na Barabara ya Ghana kutokea barabara ya Ohio kwenda Hoteli ya Onomo

Zingine ni Barabara ya Bibi Titi kutokea makutano ya barabara za Ohio na Ally Hassan Mwinyi kwenda Hoteli ya Crowne; Barabara ya Azikiwe kwenda Hoteli ya Four Points, Hoteli ya Golden Tulip City Center na Hoteli ya Holiday Inn; Barabara ya Morogoro kutokea Sokoine kwenda Hoteli ya Tiffany No. 1; Barabara ya Makunganya kutokea Azikiwe kwenda Hoteli ya Tiffany No. 2 na Barabara ya Garden kutokea barabara ya Lithuli kwenda Hoteli ya Southern Sun pamoja na Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa JNICC.
Ngurdoto ilikuwa na uwezo wa kukaaa na viongozi wote hao,wakaiua,sasa angalia wanavyotesela na Jiji lisilo kuwa na mpangilio.
 
Kwakweli dar haikupangiliwa kabisa, kuna maeneo ukiingia unabaki unashangaa mpangilio wa miundombinu karibia yote ulivyo wa kiwango cha chini.
 
Eneo la keko juu ya lile bonde la reli karibu na kamata,na msd Kuna viwanda vimetelekezwa ingeandaliwa barabara ya chini kwa chini mpaka airport kwa ajiri ya dharula kama hizi na eneo la bahari kwenye kisiwa kidogo pale magogoni lingegeuzwa capitol zone Ikulu Iko sehemu yenyewe harufu kali
 
JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam imetangaza kuwa Barabara tisa Jijini Dar es Salaam, zimefungwa kwa siku sita kuanzia leo Januari 25 hadi Januari 30, 2025 ili kupisha misafara ya viongozi wanaokuja kutoka nchi mbalimbali kuhudhuria mkutano wa Nishati Afrika.

Taarifa ya Polisi iliyotolewa leo Jumamosi Januari 25,2025 na Kamanda Kanda Maalumu ya Polisi Dar es Salaam, Jumanne Muliro, imesema Mkutano huo utakaofanyika jijini Dar es Salaam kuanzia Januari 27 hadi Januari 28, 2025, unatarajiwa kuhudhuriwa na zaidi ya marais 25 na mawaziri 60 kutoka nchi mbalimbali za Afrika ambapo pia bajaji na bodaboba hazitaruhusiwa kuingia katikati ya Jiji katika kipindi chote ambacho mkutano huo utakuwa ukifanyika.

Barabara zitakazofungwa ni pamoja na Barabara ya Nyerere kutokea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kwenda katikati ya Jiji, Barabara ya Sokoine, Kivukoni na Lithuli kuanzia taa za Gerezani kwenda Hoteli ya Johari Rotana, Hyatt Regency hadi Ikulu; Barabara ya Ohio kutokea Kivukoni kwenda Hoteli ya Serena na Barabara ya Ghana kutokea barabara ya Ohio kwenda Hoteli ya Onomo

Zingine ni Barabara ya Bibi Titi kutokea makutano ya barabara za Ohio na Ally Hassan Mwinyi kwenda Hoteli ya Crowne; Barabara ya Azikiwe kwenda Hoteli ya Four Points, Hoteli ya Golden Tulip City Center na Hoteli ya Holiday Inn; Barabara ya Morogoro kutokea Sokoine kwenda Hoteli ya Tiffany No. 1; Barabara ya Makunganya kutokea Azikiwe kwenda Hoteli ya Tiffany No. 2 na Barabara ya Garden kutokea barabara ya Lithuli kwenda Hoteli ya Southern Sun pamoja na Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa JNICC.
Wanaomshauri Rais wanamtengenezea chuki na wananchi
 
Nje ya bara la Africa; hivi wengine huko duniani nao huaga wanafunga barabara kama huku kwetu? Mfano, mkutano wa marais/nchi za G7 or G8 na wenyewe wanafungaga barabara kama hivi? Kwanini viongozi wa Africa hawanaga imani na wananchi wao? Wanawaibia sana or what? Ingekua enzi za Magufuli nina hakika hu mkutano ungepelekwa Dodoma na sio Dar.
Masikini wakazi wa Kigamboni
Hata wakifunga wana options nyingi ingawa huu upuuzi hamna. Si uliona mazishi ya Lizzy hawa wanaofunga njia leo walipakiwa kwenye daladala na walitulia tuliiii.
 
Wanaomshauri Rais wanamtengenezea chuki na wananchi
Waliangalie hili, inashangaza kuna vitu kukiwa na ugeni havipewi kipaumbele kabisa. Mfano ishu ya usafi naona dustbin nyingi kila kona wakati kabla ya ugeni hakuna kitu kama hicho, je zoezi litakuwa endelevu au ndio tunafanya usafi mgeni akiwepo tu?
 
Eneo la keko juu ya lile bonde la reli karibu na kamata,na msd Kuna viwanda vimetelekezwa ingeandaliwa barabara ya chini kwa chini mpaka airport kwa ajiri ya dharula kama hizi na eneo la bahari kwenye kisiwa kidogo pale magogoni lingegeuzwa capitol zone Ikulu Iko sehemu yenyewe harufu kali
Hayo maeneo uliyoyasema yana wenyewe sidhani kama ni rahisi kuwatoa na ukizingatia ni wale wale wenye mamlaka.
 
Back
Top Bottom