Hili la kukopa pesa IMF/ WB kwa ajili ya Ruzuku ya Mafuta hapana

Wanakomba zote
 
Nusu ya makusanyo yanalipa malishahara, robo inalipa Deni, iliyobaki inatumika kwenye matumizi mengine haya ya kuendesha serikali ,kidogo sana kichobaki ndio kinaenda kwenye Maendeleo.
Nchi ya kusadikika hii
 
Nusu ya makusanyo yanalipa malishahara, robo inalipa Deni, iliyobaki inatumika kwenye matumizi mengine haya ya kuendesha serikali ,kidogo sana kichobaki ndio kinaenda kwenye Maendeleo.
Nchi ya kusadikika hii
Ndio maana tunasema waondoe huo ujinga..

Imagine Afisa elimu kata anafanya Kazi gani? Futa hicho cheo na mavyeo mengine ya kipuuzi
 
Wakifuta ajira zitapungua
Mzee uwe unafikiria,Tanzania kuna kata zaidi ya 3,000 hapo unafuta hiyo ofisi ila hao watumishi ni walimu unawapanga kazini..

Inamaana hapo utakuwa umeondoa gharama ya kuendesha ofisi ikiwa ni pamoja na posho za madaraka wanazoliowa Sao hakuna ajira iliyopungua bali ume cut administration cost.
 
8.Ubunge wa viti maalum na wa kuteuliwa ufutwe

9.Nafasi za Mkuu wa wilaya zifutwe, wabaki DAS.

10. Ziara za mawaziri zidhibitwe, hakuna haja ya waziri Nape kuzunguka na chopa.

11.Nafasi za Manaibu waziri zipunguzwe, wabaki makatibu wakuu wa wizara.
 
Hizo zingine zinahaitaji mchakato wa Katiba ila zile za Juu ni sheria tuu fasta zinaondolewa.
 
huko wanaopenda si wataziba gap la watu 3000 ambao ilibidi waajiriwe.
 
Hujajadili mkopo kwa data.

You are an innumerate.
 
Naunga mkono hoja yako

Kukopa kwa ajiri ya mafuta hapana! Je itakuwaje bei ikizidi kupanda? Tutaendelea kukopa?

Hapa zitumike njia mbadala kama hii iliyotumika sasa ya kutoa bil 100. Kukopa ni mzigo sana
Hayo mawazo ndio tulitegemea yatolewe na mawaziri wetu kama suluhisho la matatizo ya mfumuko wa bei kwa jumla na sio kupanda kwa bei ya mafuta tu. Hopefully, wabunge watapita humu na kuchota hekima wakati Hangaya yuko nje ya nchi!!
Kutafuta shortcuts za kwenda kukopa IMF/WB kwa tatizo la mafuta sio suluhisho la matatizo yetu ila ni kujiongexea matatizo!
Ziko njia nyingi za Kubana matumizi serikalini zaidi ya hizo zilizoaishwa hapo awali ambazo zikitekelezwa kwa dhati zitakuwa bora kuliko kwenda kuongeza deni la Taifa bila tija!
 
sidhani kama ni kweli bilion 100 ni fedha kidogo sana ukiangalia na ukubwa wa tatizo matajiri wachache wanaweza kukopesha serikali hiyo hela au kwa selikali kuuza bond zake hivyo sio kweli tunadanganyana
Hata mm nashangaa watu wanafurahia na kumsifisa kwa hela kidogo namna hio,bil 100 kwa serikali ni hela ndogo saaana tena saana
 
Wabunge wa wapi wale pimbi wakati walipewa hiyo fursa na ndio walikuwa wanashadidia mikopo na eti kutoa Kodi wakati kuna sehemu muhimu za kuweza kutoa pesa.
 
Kwa kweli una mawazo mazr xn ndg, ingekua viongozi wetu wanauzalendo wa kweli wangeyachukua na kuyafanyia kazi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hapo kwa Mwinyi umepuyanga....Mwinyi aliikuta nchi haina kitu kabisa....uchumi ulikuwa hoi....Mwinyi akainyanyua
 
We shoga acha kelele mjambiani ana upiga mwingi
 
Unapandishiwa kodi ya nyumba kisha wewe unaenda kukopa kwa riba kufidia ongezeko la kodi. Hii kwangu mm ni wrong move.
 
Magufuli alikopa Trilioni 30 mkakaa kimya ila hiyo bilioni 100 inawawasha.
Sukuma gang MNA shida sana.
Huyo mtoa mada ni team hangaya [emoji23][emoji23][emoji23] mmeanza kupakaziana wenyewe. Muacheni JPM apumzike, alikua best ma ukweli kamwe hautojificha.
 
Huyo mtoa mada ni team hangaya [emoji23][emoji23][emoji23] mmeanza kupakaziana wenyewe. Muacheni JPM apumzike, alikua best ma ukweli kamwe hautojificha.
Sinaga ushabiki maandazi kwa hiyo nikiona serikali inakosea nawajibika kutoa ushauri naoona unafaa..

Mkopo wa mafuta hapana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…