Hili la kukopa pesa IMF/ WB kwa ajili ya Ruzuku ya Mafuta hapana

Hili la kukopa pesa IMF/ WB kwa ajili ya Ruzuku ya Mafuta hapana

Kwamba mkopo wa Til2.4 wa juzi utakwenda kupunguza athari za vita ya Ukraine,how? Kama ni ruzuku kwenye mafuta hapana.
 
Tulikubaliana kama Taifa tutakopa kwa ajili ya miradi ila sio kwa ajili ya kula na mambo kama hayo.

What is an ‘economic hitman’? | Decoded​


Do economic hitmen exist? Hollywood actor @amrwaked investigates whether powerful nations and wealthy companies are strong-arming poor countries of their resources and political power.
Source : Al Jazeera
 
Back
Top Bottom