Hili la kukopa pesa IMF/ WB kwa ajili ya Ruzuku ya Mafuta hapana

Endelea hivyo hivyo kuwa na mashaka

Kwakweli hayawezi kuishaaa Mana haya madudu yote mnajadili hayajawai tokea hawamu yoyote tofauti na ya huyu Mama,kidogo na kwa kikwete Mana walikualaga hela za Dowans na umeme wao wa dharula....Alafu tuache chuki na marehemu
 
Una uwezo mdogo Sana wa akili Mzee,ngoja niishie hapa
 
Kajipange upya,ww unatia shaka sana manaongelea madudu ya Mama mnamtwisha JPM mzigo!!!,Unatumia bln 7 kutengeneza movie alafu unaenda kukopa hela ya kuleta unafuu wa maisha??
Kwa hiyo Kuna shida kurekodi movie? Una tatizo la afya ya ubongo wako..

Turudi Kwenye mada naona unaleta mada mpya.
 
Ulikuwepo kipindi cha Mwinyi? .......Mwinyi alikuta nchi haina kitu...Wananchi wana hali ngumu ya kimaisha...mahitaji muhimu ya kibinadamu kama sukari, mafuta ya kupikia, sabuni, nguo upatikanaji wake ni washida..... ....pesa za kulipa watumishi wa umma hakuna.....akabadili sera na kuwapa nafuu wananchi mpaka mahitaji yote hayo hapo juu yakapatikana.......YUPI NI BABA BORA...YULE ALIESABABISHA WATOTO WAKE WAKALA MILO MITATU...AU YULE ALIEWAFANYA WATOTO WAKE WAKALA MLO MMOJA?......Hata hizo nguo za mtumba unazovaa ni Mwinyi ndio aliziruhusu....Kipindi cha Nyerere hazikuwepo, wananchi walikuwa wanavaa kaniki .....nguo zimejaaa viraka kila kona.
Kama wewe ulikuwepo kipindi hicho cha Mwinyi kuanzia 1985-1995 basi usingepata tabu kuelewa nilichokiandika. Kwani Nyerere alishindwa kuruhusu hayo aliyoruhusu Mwinyi? Au unataka kusema kwamba Nyerere uwezo wake kiungozi ulikuwa ni wa chini sana kuliko Mwinyi na ndio maana aling'atuka? Simtetei Nyerere wala Mwinyi ila nimeelezea facts ambazo kila aliyekuwepo kipindi hicho na alikuwa na akili timamu anajua ukweli huo.
 
Unajua sababu za Edwin Mtei kujiuzulu Ugavana wa BOT? Unaikumbuka njaa iliyotokea mwaka 1982 kwenye utawala wa Nyerere mpaka tukapewa msaada wa mahindi ya kulisha nguruwe na Marekani?.... Nyerere pamoja na mazuri yake yote, lakini kwenye uchumi ALIFELI.
 
mie sio chadema mzee na sijawahi kuwa chadema ila huwa unajiondoaga akili sana kusifia unafiki
Mnafiki ni serikali ichukue mikopo kwa miradi sio kuwapa madereva mafuta ya bei ya Chini Kwa mkopo,hiyo hapana.

Mkopo wenyewe sijui ndio huu au inakuaje👇

Screenshot_20220512-184925.png

Screenshot_20220512-190952.png
 
Pamoja na Nia njema ya kuleta unafuu wa bei za mafuta/ petroli lakini njia ya kwenda Kukopa haifai.

Tulikubaliana kama Taifa tutakopa kwa ajili ya miradi ila sio kwa ajili ya kula na mambo kama hayo.

Kwa sasa Tanzania ina nafasi ya kukopesheka na ni fursa ya kuitumia kwa ajili ya kujengea miradi ya kimkakati ya kuchochea uchumi kama Bagamoyo Port,Liganga/ Mchuchuma,Magadi soda Engaruka nk lakini sio Kukopa Ili kulipia mafuta.

Serikali isipende kutafuta njia shortcut ambazo kesho zitaumiza uchumi na maisha ya watu.Nchi nyingi zinaumizwa na mikopo kama Zambia,Kenya,Ghana,Angola,Sri Lanka nk.

Serikali inaweza kabisa kutoa ruzuku kwa kupunguza gharama zake za utawala,kwa kufanya yafuatayo'

1. Kufuta au kupunguza kwa nusu ruzuku za vyama vya siasa.

2. Kuacha kununua Magari ya serikali yanayotumia mafuta mengi kama mashangingi kwa maofisa wake isipokuwa viongozi wa kitaifa tuu.

3. Kupunguza bajeti ya mafuta Kwa viongozi wa serikali maana yanatumika kwa binafsi kuliko kwa Kazi za serikali,na wengine huwa wanaenda kubadilisha kwenye vituo vya mafuta wanapewa pesa wanatafuna.

4. Kubadili mfumo wa magari ya serikali kuwa ya gas au umeme Ili kupunguza au kuacha kutumia mafuta..Hili hata watu binafsi wawekewe hii huduma ila lazima Serikali ionyeshe mfano.

4.Kupunguza au kufuta kabisa ile inayoitwa Mfuko wa Jimbo, yaani serikali inapeleka mabilioni kwenye Mfuko wa Jimbo kwa ajili ya nini hasa?

5. Kupunguza mishahara,marupurupu nk kwa viongozi wote wa juu kuanzia kwa wakuu wa Idara na Taasisi hadi Kwa Rais wakiwemo Wabunge.

6.Kupunguza na kufuta mamikataba yasiyo na tija kwa mfano Ule wa Tanesco na wahindi kwa ajili ya software..

7.Kupunguza Utitiri wa Taasisi za serikali zinazofanya majukumu yanayofanana eg Sido,Tirdo,Temdo,NDC,CAMARTEC,Temesa,Brela,TanTrade,TIC,EPZA,Wakala wa vipimo,TBS,TBA,NHC,Watumishi Housing,Mzinga Corporation,FCC,FCT,NEEC ,kila wizara kuwa na chuo/ vyuo vyake huko kozi zinazofundishwa zipo pia kwenye vyuo vingine nk

7.Kukusanya Kodi stahiki kwa sababu TRA inazembea kukusanya na kubuni vyanzo vipya vya mapato..

Yaani haihitaji Kukopa wala kuondoa Kodi kwenye mafuta au kufuta vyanzo vya maendeleo kama Kodi za Tarura,TanRoads,Fuwasa na Reli..

Tukikomaa na hayo niliyoeleza hapo juu na mengine mtakayoongeza tutaokoa na kupata pesa nyingi sana zaidi ya bil.600 ambayo inaweza kutoa ruzuku walau kwa miezi 5- 7 wakati tunajipanga kwa hatua za mda mrefu.

Wananchi tuungane kupinga na kukataa kuchukua mkopo kwa ajili ya Ruzuku.👇

Excellent. Wkt watu wanayaona hayo, kuna wanaopoteza muda wetu bungeni kujipigia debe waongezewe marprp na wngne, kama wake z marais wanaona wanachofanyiwa na serikali hakitoshi, wanagombea ubunge. Waanze na ya wabunge na za viongozi wa kisiasa.
Wako wagonjwa wasiojiweza na watt hawapati elimu stahiki kwa ajili ya wanasiasa kujilimbikizia miposho na mishahara ya ajabu.
Uzalendo ni pamoja na kuwakumbuka wanaoteseka
 
Marehemu angekosa kuwavuruga wawekezaji, sahizi tungekuwa na LNG plant. Magari mengi, hasa madogo, yangekuwa yanatumia liquidified gas badala ya petrol. Mapato makubwa toka kwenye gas yangeweza ku-subsidize bei ya diesel. Mtu mmoja akaharibu prospects za Watanzania wote.

Leo tunaanza upya kuwabembeleza wawekezaji ambao tayari tulikuwa nao.

Baada ya kutambua kuwa ameharibu,marehemu, akaanza kuwadanganya wajinga eti gas yetu imeuzwa kwa Wachina. Na majitu majinga yakaanza kushangilia, bila ya kujiuliza hiyo gas imeuzwaje kwa Wachina!!

Nchi hii tatizo kubwa ni kukosa viongozi wenye maono na uwezo. We had agreat leader Nyerere, akaja Mwinyi, akatudondosha, Mkapa alituinua sana toka kwenye lindi la uharibifu wa uchumi, Kikwete alipoingia akatapanya pesa lakini akaweza pia kutafuta pesa, akaja Magufuli akaharibu kabisa. Akaua hata kidogo tulichokuwa tumefanikiwa. Akafukuza wawekezaji wa ndani na wa kimataifa kutokana na uongozi wake mbaya. Sasa tunaye Samia, sijui atatufikisha wapi, lakini kwa vyovyote, she is much better than Magufuli.

Suluhisho ni kuwa na katiba itakayowabana watawala kuliko hii inayompa uhuru Rais kupuyanga kama anavyotaka.
Ni wewe pekee ndio haujui ule mradi wa gas umeuzwa na watu walipiga 10% za kutosha.

Ungejikita kuelezea jinsi Katiba Mpya itatupunguzia hii bei ya juu kuwahi kutokea ya mafuta ungekuwa wa maana sana.

Watanzania tuna matatizo ya kulalamika tu. Seems umejawa chuki dhidi ya awamu ya tano, pole.

Hakikisha wanao wanasoma kihalali wasijekughushi vyeti kama wewe. 🚮
 
Pamoja na Nia njema ya kuleta unafuu wa bei za mafuta/ petroli lakini njia ya kwenda Kukopa haifai.

Tulikubaliana kama Taifa tutakopa kwa ajili ya miradi ila sio kwa ajili ya kula na mambo kama hayo.

Kwa sasa Tanzania ina nafasi ya kukopesheka na ni fursa ya kuitumia kwa ajili ya kujengea miradi ya kimkakati ya kuchochea uchumi kama Bagamoyo Port,Liganga/ Mchuchuma,Magadi soda Engaruka nk lakini sio Kukopa Ili kulipia mafuta.

Serikali isipende kutafuta njia shortcut ambazo kesho zitaumiza uchumi na maisha ya watu.Nchi nyingi zinaumizwa na mikopo kama Zambia,Kenya,Ghana,Angola,Sri Lanka nk.

Serikali inaweza kabisa kutoa ruzuku kwa kupunguza gharama zake za utawala,kwa kufanya yafuatayo'

1. Kufuta au kupunguza kwa nusu ruzuku za vyama vya siasa.

2. Kuacha kununua Magari ya serikali yanayotumia mafuta mengi kama mashangingi kwa maofisa wake isipokuwa viongozi wa kitaifa tuu.

3. Kupunguza bajeti ya mafuta Kwa viongozi wa serikali maana yanatumika kwa binafsi kuliko kwa Kazi za serikali,na wengine huwa wanaenda kubadilisha kwenye vituo vya mafuta wanapewa pesa wanatafuna.

4. Kubadili mfumo wa magari ya serikali kuwa ya gas au umeme Ili kupunguza au kuacha kutumia mafuta..Hili hata watu binafsi wawekewe hii huduma ila lazima Serikali ionyeshe mfano.

4.Kupunguza au kufuta kabisa ile inayoitwa Mfuko wa Jimbo, yaani serikali inapeleka mabilioni kwenye Mfuko wa Jimbo kwa ajili ya nini hasa?

5. Kupunguza mishahara,marupurupu nk kwa viongozi wote wa juu kuanzia kwa wakuu wa Idara na Taasisi hadi Kwa Rais wakiwemo Wabunge.

6.Kupunguza na kufuta mamikataba yasiyo na tija kwa mfano Ule wa Tanesco na wahindi kwa ajili ya software..

7.Kupunguza Utitiri wa Taasisi za serikali zinazofanya majukumu yanayofanana eg Sido,Tirdo,Temdo,NDC,CAMARTEC,Temesa,Brela,TanTrade,TIC,EPZA,Wakala wa vipimo,TBS,TBA,NHC,Watumishi Housing,Mzinga Corporation,FCC,FCT,NEEC ,kila wizara kuwa na chuo/ vyuo vyake huko kozi zinazofundishwa zipo pia kwenye vyuo vingine nk

7.Kukusanya Kodi stahiki kwa sababu TRA inazembea kukusanya na kubuni vyanzo vipya vya mapato..

Yaani haihitaji Kukopa wala kuondoa Kodi kwenye mafuta au kufuta vyanzo vya maendeleo kama Kodi za Tarura,TanRoads,Fuwasa na Reli..

Tukikomaa na hayo niliyoeleza hapo juu na mengine mtakayoongeza tutaokoa na kupata pesa nyingi sana zaidi ya bil.600 ambayo inaweza kutoa ruzuku walau kwa miezi 5- 7 wakati tunajipanga kwa hatua za mda mrefu.

Wananchi tuungane kupinga na kukataa kuchukua mkopo kwa ajili ya Ruzuku.👇

Unajuwa ulicho andika? Haya bwana
 
Ni wewe pekee ndio haujui ule mradi wa gas umeuzwa na watu walipiga 10% za kutosha.

Ungejikita kuelezea jinsi Katiba Mpya itatupunguzia hii bei ya juu kuwahi kutokea ya mafuta ungekuwa wa maana sana.

Watanzania tuna matatizo ya kulalamika tu. Seems umejawa chuki dhidi ya awamu ya tano, pole. Hakikisha wanao wanasoma kihalali wasijekughushi vyeti kama wewe. 🚮
Ameuziwa nani? Tangu lini migodi ikawa ya serikali?
 
2. Kuacha kununua Magari ya serikali yanayotumia mafuta mengi kama mashangingi kwa maofisa wake isipokuwa viongozi wa kitaifa tuu.

3. Kupunguza bajeti ya mafuta Kwa viongozi wa serikali maana yanatumika kwa binafsi kuliko kwa Kazi za serikali,na wengine huwa wanaenda kubadilisha kwenye vituo vya mafuta wanapewa pesa wanatafuna.
Magari yenyewe muda mwingi yako bar
 
Back
Top Bottom