Hili la kukopa pesa IMF/ WB kwa ajili ya Ruzuku ya Mafuta hapana

Hapo kwa Mwinyi umepuyanga....Mwinyi aliikuta nchi haina kitu kabisa....uchumi ulikuwa hoi....Mwinyi akainyanyua
Hvi ukikuta umskini nyumbani kwenu halafu ukatafuta pesa kwa nguvu zote ujanani halafu uzeeni ukala hiyo hela na malaya ukaacha familia yako hoi kipi kitakuwa na picha mbaya zaidi? Kukuta umaskini nyumbani kwenu halafu ukajitahidi kutafuta pesa na ukaipata au Kutumia pesa uliyoipata vibaya hadi familia yako ikabaki hoi? SO, THAT IS WHAT HAPPENED DURING MWINYI SENIOR'S REGIME!
 
Ulikuwepo kipindi cha Mwinyi? .......Mwinyi alikuta nchi haina kitu...Wananchi wana hali ngumu ya kimaisha...mahitaji muhimu ya kibinadamu kama sukari, mafuta ya kupikia, sabuni, nguo upatikanaji wake ni washida..... ....pesa za kulipa watumishi wa umma hakuna.....akabadili sera na kuwapa nafuu wananchi mpaka mahitaji yote hayo hapo juu yakapatikana.......YUPI NI BABA BORA...YULE ALIESABABISHA WATOTO WAKE WAKALA MILO MITATU...AU YULE ALIEWAFANYA WATOTO WAKE WAKALA MLO MMOJA?......Hata hizo nguo za mtumba unazovaa ni Mwinyi ndio aliziruhusu....Kipindi cha Nyerere hazikuwepo, wananchi walikuwa wanavaa kaniki .....nguo zimejaaa viraka kila kona.
 
Magufuli alikopa Trilioni 30 mkakaa kimya ila hiyo bilioni 100 inawawasha.
Sukuma gang MNA shida sana.
Qoomah kweli ww, alikopa trillion 30 toka mkoonduni mwako au? Acheni kumsingizia mzee wa watu vitu vya kipumbavu namna hio! Hakuwa na mahusiano mazuri na mabeberu sasa alikopaje hela zote hizo kama sio choko choko tu
 
Hebu thibitisha!
Hana lolote zaidi ya murvy kichwani huyo, mama wanaempigia chapuo na mawaziri wake wamefuja hela nyingi ndani ya miezi michache tu baada ya jembe letu kutuacha. Idadi ya hela alizokopa kwa miezi 10 ya awali tu baada ya kuachiwa nchi zinazidi alizokopa mwenzie kwa miaka 5
 
Hatimae leo umetumia kilichopo kichwani mwako vyema bila kuingiza mahaba kwa mama wa kambo
 
huko wanaopenda si wataziba gap la watu 3000 ambao ilibidi waajiriwe.
Kwani serikali inaajiri kwa sababu ya kukusaidia wewe jobless? Ina ajiri kulingana na mahitaji na uwezo..

Hawa watakuwa wamepangiwa majukumu mapya tuu kwa gani zao.
 
maranyingi tumekuwa tukipingana sana kwa hoja bhana @ Sunk Cost Fallacy ila kwa bandiko lako la leo nimekuelewa sana kaka

waswahili wanasema mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni

All the way up!

binafsi nimevutiwa na bandiko lako la leo
 
Naunga mkono hoja yako

Kukopa kwa ajiri ya mafuta hapana! Je itakuwaje bei ikizidi kupanda? Tutaendelea kukopa?

Hapa zitumike njia mbadala kama hii iliyotumika sasa ya kutoa bil 100. Kukopa ni mzigo sana
Chief kaona hii ni shortcut solution ya ku solve hili tatizo kumbe hajui kama anaongeza ukubwa wa tatizo

kikao walichokaa waliazimia kwamba hizo bilion 100 zitatoka kwenye bajet ya matumizi ya serikali

sasa inaskitisha kuona kwamba itifaki ya kile kikao haikuzingatiwa

kama hao waliopendekeza serikali ikakope walikuwa na mawazo yao mbadala bas hakukuwa na haja ya kukaa kile kikao
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
🀣🀣pole mkuu. Professionalism(weledi) ulionao hautasaidia kitu .
 
mawazo yako sio mabaya sana ila inatakiwa ufahamu kuwa ile pesa inayotumika kununua ndege ni pesa ambayo imesha pangiwa bajet kupitia wizara yake husika

nadhani unatambua ya kwamba kila wizara ina fungu lake

mfano : kipindi hiki cha bunge la bajeti maana yake kila wizara inawasilisha bajeti yake then serikar inafanya mapitio ya ile bajet kisha inaitengea fungu kwa ajili ya utekelezaji

sasa tukirudi kwenye case ya kupanda kwa gharama za mafuta hili ni swala mtambuka

kwamaana ya kwamba ni issue ambayo imeibuka tu ghafla pasi kutegemea , sasa unakuta serikali haijajiandaa kwa hili na ndio maana inaleta shida kidogo
 
Ww ulienda shule.
 

Mimi nikishaona Mtu anamsifia huyu mwanamke nakuwa tayari shakuwa na mashaka nae!,uliqnza vizuri ukamaliza hivyoo kabsaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…