Hili la kuwaajiri graduate wa miaKa hii na kuwaacha wa miaKa ya nyuma sana limekaaje?

Mwizukulu mgikuru

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2021
Posts
6,788
Reaction score
16,227
Nimekuwa nikifuatiria wahanga mbalimbali wa ajira za serikali, moja ya jambo linalonishangaza ni kuona wahitimu wa vyuo wa miaKa hii yaani 2020 mpaka 2024 wengi wao wakipata ajira za serikali kwa wingi zaidi ukilinganisha na wale waliomaliza vyuo kwa miaka 2014 mpaka 2021 je kigezo kinachotumika ni kipi hasa! Nadhani wakuu mnaweza kuwa na majibu kuhusu hili.
 
Kuna mpwa wangu alimaliza chuo mwaka 2022 kwa ngazi ya diploma kada ya ualimu alisoma mchepuo wa EGM kapangiwa tayari ajira lakini Kuna jamaa zangu wamemaliza vyuo miaka ya 2014 mpaka 2017 kwa mchepuo huohuo bado wanasota Mtaani hii inanishangaza kidogo.
 
Kwa hiyo unamwona wivu mpwa wako kisa kakutangulia kuajiriwa.

Hiyo tabia ni mbaya sana.
 
Nimekuwa nikifuatiria wahanga mbalimbali wa ajira za serikali, moja ya jambo linalonishangaza ni kuona wahitimu wa vyuo wa miaKa hii yaani 2020 mpaka 2024 wengi wao wakipata ajira za serikali kwa wingi zaidi ukilinganisha na wale waliomaliza vyuo kwa miaka 2014 mpaka 2021 je kigezo kinachotumika ni kipi hasa! Nadhani wakuu mnaweza kuwa na majibu kuhusu hili.
1744435199209.png
 
Kigezo ni usaili mkuu! Serikali hilo la kusota mtaani unalijua wewe, wao wanachoangalia ni compentet person na kigezo hicho wanakipima kwenye usaili! Wewe umemaliza 2014 unaulizwa state properties of matter hujui na swali hilo lina 25% huyu wa 2022 kajibu! Sasa hapo wanakusaidiaje??? Kumaliza miaka ya nyuma kwa sasa sio kigezo cha kupata ajira wala kujitolea pia kikubwa huko kumaliza miaka ya nyuma kukusaidie kupata maarifa zaidi na ujuzi wa ziada pamoja na uzoefu wa kazi ili ukienda kwenye usaili upefomu vizuri kushinda hao wa 2022

Note: hakuna huruma utumishi, usitegemee kuonewa huruma pale
 
Back
Top Bottom