Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 6,788
- 16,227
😁😁😁Habari, Hujambo mwanangu?
Nitatuma wasaidizi wangu waje kuchukua vyeti vyako nawe ulambe asali pale utumishi.
Ninawasemea wengine mkuu.wala Sina Huo wivu kama unavyomaanisha.Mkuu Kama wewe ndiye muhitimu wa zamani sema tukupe ajira, usiwe na wivu kama wa nyegere dhidi ya wahitimu wa miaka hii.
Kwa hiyo hawa wa miaKa ya nyuma wengi wao wanaferi usaili?Kigezo ni usaili
Kwa hiyo unamwona wivu mpwa wako kisa kakutangulia kuajiriwa.Kuna mpwa wangu alimaliza chuo mwaka 2022 kwa ngazi ya diploma kada ya ualimu alisoma mchepuo wa EGM kapangiwa tayari ajira lakini Kuna jamaa zangu wamemaliza vyuo miaka ya 2014 mpaka 2017 kwa mchepuo huohuo bado wanasota Mtaani hii inanishangaza kidogo.
Nimekuwa nikifuatiria wahanga mbalimbali wa ajira za serikali, moja ya jambo linalonishangaza ni kuona wahitimu wa vyuo wa miaKa hii yaani 2020 mpaka 2024 wengi wao wakipata ajira za serikali kwa wingi zaidi ukilinganisha na wale waliomaliza vyuo kwa miaka 2014 mpaka 2021 je kigezo kinachotumika ni kipi hasa! Nadhani wakuu mnaweza kuwa na majibu kuhusu hili.
Hayo ni mawazo yako na maoni yako piaKwa hiyo unamwona wivu mpwa wako kisa kakutangulia kuajiriwa.
Hiyo tabia ni mbaya sana.
Hahahaha 😂Ninawasemea wengine mkuu.wala Sina Huo wivu kama unavyomaanisha.
Kweli kabisa kwa sababu wengi wao wao wanakimbilia miaka 40 ya utu uzimaKama umemaliza 2014 sasa hivi unatakiwa uwe unafikiria kustaafu
Shughuli ndio inaanzia hapo mwenye mawazo ya kiutu uzima hawezi kuwa mtumishi muoga na mtiifu lazima atafute njia fupi ya kujihakikisha kesho yakeKweli kabisa kwa sababu wengi wao wao wanakimbilia miaka 40 ya utu uzima
Mkuu ndiyo maana Kuna interview, wanaofanya vizuri ndio wanaajiriwa wanaaoboronga wanaendelea kusota kwa mtaa.Hayo ni mawazo yako na maoni yako pia