neno ni upanga
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 727
- 2,421
Kigezo ni usailiKuna mpwa wangu alimaliza chuo mwaka 2022 kwa ngazi ya diploma kada ya ualimu alisoma mchepuo wa EGM kapangiwa tayari ajira lakini Kuna jamaa zangu wamemaliza vyuo miaka ya 2014 mpaka 2017 kwa mchepuo huohuo bado wanasota Mtaani hii inanishangaza kidogo.
Umri wa mwisho wa serikali kuajiriwa ni miaka 45 acha na wao warambe keki ya taifa hata kama ni miaka 15 inatosha kabisaKweli kabisa kwa sababu wengi wao wao wanakimbilia miaka 40 ya utu uzima
wangekuwa wao peke yao ungefanya nini..?Nilishangaa juzi kati vilikuja vitoto vinajing'atang'ata eti tumetumwa tuje kukagua leseni yako 🤣🤣
Ukiviangalia usoni vinaangalia chini... Vina bahati kuna mumama alikua nyuma yao
Ningewanunulia sodawangekuwa wao peke yao ungefanya nini..?
Hawa mashindikanaa waliokaa mtaani miaka mingi ukiwapa ofisi wanaifilisi 🤣🤣🤣Recent graduates hawana kiu ya pesa sanaa / no much distortions
Alomaliza long time ago ana desire maendeleo ya haraka ili ku-catch up na wenzake
Wanamini wa zamani mmeanza kujitegenemea na ujasiriamali!Haiko poa.Nimekuwa nikifuatiria wahanga mbalimbali wa ajira za serikali, moja ya jambo linalonishangaza ni kuona wahitimu wa vyuo wa miaKa hii yaani 2020 mpaka 2024 wengi wao wakipata ajira za serikali kwa wingi zaidi ukilinganisha na wale waliomaliza vyuo kwa miaka 2014 mpaka 2021 je kigezo kinachotumika ni kipi hasa! Nadhani wakuu mnaweza kuwa na majibu kuhusu hili.
Anaitoa wapi hio pesa ya kulipia Ada ya mastersDuh,tokea 2014 degree yako si itakua imeshaevaporate.
Kigezo cha kumwagwa ni kwamba kweli umesoma ila elimu yako ni ya muda mrefu sana,ni outdated
Suluhisho:Kapige hata masters au postgraduate diploma ui-upgrade uwe up to date
VETA je?Anaitoa wapi hio pesa ya kulipia Ada ya masters
INTA - VIYUUUU …jamaa zako waambie muda wa vya kunyonga umepita sasa ni kupambana , wanahitajika walimu BORA na sio BORA walimuKuna mpwa wangu alimaliza chuo mwaka 2022 kwa ngazi ya diploma kada ya ualimu alisoma mchepuo wa EGM kapangiwa tayari ajira lakini Kuna jamaa zangu wamemaliza vyuo miaka ya 2014 mpaka 2017 kwa mchepuo huohuo bado wanasota Mtaani hii inanishangaza kidogo.
Hicho kitu HAKIPOAjira zilizopita lilikua ni dili maana wapo walioajiriwa na interview hawajafanya na wametinga job