PostGE2025 Hili la kuwaombea marehemu wa Oktoba 29 linanitafakarisha sana

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

kiroka

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2018
Posts
417
Reaction score
1,999
Kwa utaratibu wa haya makanisa yetu makubwa Kuna vigezo unatakiwa uvifikie ndo upate huduma Yao ya kiroho, hata kama umekufa kama hujafikia vigezo vyao hata huduma ya mazishi hupati

Najiuliza tu, hivi hii Misa ya kuwakumbuka waliofariki October 29 inawahusu waliokua waumini kamili au hata wasiokua waumini, kama tunawaombea wasio waumini ni unafiki tu, hivi mtu asie muumini akiuawa na police kwa kuonewa utaratibu wa kanisan unaruhisu kuzika.kama hauruhusi unawezaje kumfanyia Misa ya kumbukumbuk

Me nadhani Kuna kitu zaidi ya vile Vifo
Hivi kuna mzazi anaweza kumhamadisha mwanae aende aende akaandamane kweli
 
Bado hamjasema, na tutafanya hivi miaka yote
 
Mali zina thamani mbele ya mtu mmoja ambaye ni kibaka, yaani mali zile zinahudumia maelfu ya watu, halafu atokee mtu mmoja aharibu maisha ya watu.

Kuna watu wameajiriwa kwenye vituo vya mafuta, wewe unachoma, waende wapi?

Kuna watu wanatumia Mwendokasi kufika makazini mapema kuanza kazi, wewe unachoma.

Unaingia dukani, unavunja duka la mtu yeye aishije, halafu cha ajabu huyo mtu hahusik kabisa na mambo yenu.

Amejitafuta ndani ya miaka 20 au 10 kuipata huo mtaji, leo amefikia pazuri akisema sasa hapa niikuze biashara yangu, anatokea mshenzi mmoja anachoma duka, anaiba mali zote. Fikiria maumivu ya huyo mtu yatakuwaje?

Uhai wa mtu mmoja hauwezi kusababisha watu elf 1 kufa kwa njaa. Ni bora huyo mmoja aondoke tuokoe hao elf moja.

Ukweli utabakia pale pale, yale hayakuwa maandamano bali ni vurugu na wizi. Huwezi kutetea, hakuna maandamano ya vile, wangeshika mabango yao wanatembea na viongozi wao wapo, hapo ingekuwa saw
 
Najiuliza tu, hivi hii Misa ya kuwakumbuka waliofariki October 29 inawahusu waliokua waumini kamili au hata wasiokua waumini, kama tunawaombea wasio waumini ni unafiki tu, hivi mtu asie muumini akiuawa na police kwa kuonewa utaratibu wa kanisan unaruhisu kuzika.kama hauruhusi unawezaje kumfanyia Misa ya kumbukumbuk
Hilo ni jambo la kiroho sio jambo la kibinadamu au niseme kimwili, amsha akili yako kijana Mdogo ujifunze kutoka kwa waliokutangulia, hii ingefaa ukalileta hapa km swali usikurupuke ungefaa uje kwa nia ya kupata elimu ungekuja na swali ungepokea majibu na ungekua umejifunza baada ya kupata darasa
 
Mali zina thamani mbele ya mtu mmoja ambaye ni kibaka, yaani mali zile zinahudumia maelfu ya watu, halafu atokee mtu mmoja aharibu maisha ya watu.

Kuna watu wameajiriwa kwenye vituo vya mafuta, wewe unachoma, waende wapi?

Kuna watu wanatumia Mwendokasi kufika makazini mapema kuanza kazi, wewe unachoma.

Unaingia dukani, unavunja duka la mtu yeye aishije, halafu cha ajabu huyo mtu hahusik kabisa na mambo yenu.

Amejitafuta ndani ya miaka 20 au 10 kuipata huo mtaji, leo amefikia pazuri akisema sasa hapa niikuze biashara yangu, anatokea mshenzi mmoja anachoma duka, anaiba mali zote. Fikiria maumivu ya huyo mtu yatakuwaje?

Uhai wa mtu mmoja hauwezi kusababisha watu elf 1 kufa kwa njaa. Ni bora huyo mmoja aondoke tuokoe hao elf moja.

Ukweli utabakia pale pale, yale hayakuwa maandamano bali ni vurugu na wizi. Huwezi kutetea, hakuna maandamano ya vile, wangeshika mabango yao wanatembea na viongozi wao wapo, hapo ingekuwa saw
Umewahi kuua mtu? Yaan hata km uliua tu kwa kutokukusudia umewahi kuua?
 
Kwa utaratibu wa haya makanisa yetu makubwa Kuna vigezo unatakiwa uvifikie ndo upate huduma Yao ya kiroho, hata kama umekufa kama hujafikia vigezo vyao hata huduma ya mazishi hupati

Najiuliza tu, hivi hii Misa ya kuwakumbuka waliofariki October 29 inawahusu waliokua waumini kamili au hata wasiokua waumini, kama tunawaombea wasio waumini ni unafiki tu, hivi mtu asie muumini akiuawa na police kwa kuonewa utaratibu wa kanisan unaruhisu kuzika.kama hauruhusi unawezaje kumfanyia Misa ya kumbukumbuk

Me nadhani Kuna kitu zaidi ya vile Vifo
Hivi kuna mzazi anaweza kumhamadisha mwanae aende aende akaandamane kweli
Mbona wamekuwa wakifanya maombezi ya taifa hata ya kiserikali kama ajali ya MV BUKOBA ..Serikali ilikuwa inaita dini zote kuombea ..tunacho shangaa sasa kwa nini mashekh wapo kimya kuombea ...huku wanadai kuwa hata waislamu waliuliwa tena hata kuna shekh alikufa
 
Mali zina thamani mbele ya mtu mmoja ambaye ni kibaka, yaani mali zile zinahudumia maelfu ya watu, halafu atokee mtu mmoja aharibu maisha ya watu.

Kuna watu wameajiriwa kwenye vituo vya mafuta, wewe unachoma, waende wapi?

Kuna watu wanatumia Mwendokasi kufika makazini mapema kuanza kazi, wewe unachoma.

Unaingia dukani, unavunja duka la mtu yeye aishije, halafu cha ajabu huyo mtu hahusik kabisa na mambo yenu.

Amejitafuta ndani ya miaka 20 au 10 kuipata huo mtaji, leo amefikia pazuri akisema sasa hapa niikuze biashara yangu, anatokea mshenzi mmoja anachoma duka, anaiba mali zote. Fikiria maumivu ya huyo mtu yatakuwaje?

Uhai wa mtu mmoja hauwezi kusababisha watu elf 1 kufa kwa njaa. Ni bora huyo mmoja aondoke tuokoe hao elf moja.

Ukweli utabakia pale pale, yale hayakuwa maandamano bali ni vurugu na wizi. Huwezi kutetea, hakuna maandamano ya vile, wangeshika mabango yao wanatembea na viongozi wao wapo, hapo ingekuwa saw
Mtaendelea kuwa wajinga mpaka lini? Wengi waliouawa hawakuwa waandamanaji; walifuatwa hadi majumbani, wengine waliuawa wakiwa kazini. Watoto wa Mwanza walikuwa kwenye academy na wengine 16 walikuwa kwenye banda la mpira, lakini wote waliuliwa..kuna Fundi seremala na fundi ujenzi nao oia waliuawa wakiwa kazini.
Acheni kuhalalisha mauaji kwa kisingizio cha wizi na uharibufu wa mali. Si kila aliyeuawa alikuwa mwandamanaji
 
Huu ni ukweli mchungu, hakukuwa na namna zaidi ya kunusuru walio wengi,unadhani kama wale watu wasingedhibitiwa nini kingetokea .

MUNGU ibariki Tanzania
Tudumishe Amani yetu
 
Kwa utaratibu wa haya makanisa yetu makubwa Kuna vigezo unatakiwa uvifikie ndo upate huduma Yao ya kiroho, hata kama umekufa kama hujafikia vigezo vyao hata huduma ya mazishi hupati

Najiuliza tu, hivi hii Misa ya kuwakumbuka waliofariki October 29 inawahusu waliokua waumini kamili au hata wasiokua waumini, kama tunawaombea wasio waumini ni unafiki tu, hivi mtu asie muumini akiuawa na police kwa kuonewa utaratibu wa kanisan unaruhisu kuzika.kama hauruhusi unawezaje kumfanyia Misa ya kumbukumbuk

Me nadhani Kuna kitu zaidi ya vile Vifo
Hivi kuna mzazi anaweza kumhamadisha mwanae aende aende akaandamane kweli
Usichanganye Mambo bro, 1994 watu waliuwawa kule Rwanda, kama milioni hv,
Ile inaitwa genocide, mauaji ya kimbari,
Kilichotokea October 29,walikufa watu Saudi ya elfu kumi, vyote ni vifo,Vita ya ukraine wamekufa malaki,vyote ni vifo lakini sio vifo vyote ni genocide, kwahiyo hata jinsi ya kuenenda navyo ni tofauti,
Wakifa watu 518 kwa, mafuriko, au watu 518 kwa vurugu za kisiasa, vyote ni vifo, Ila jinsi ya ku deal navyo inategemea wahusika chanzo ni nini
 
Mtaendelea kuwa wajinga mpaka lini? Wengi waliouawa hawakuwa waandamanaji; walifuatwa hadi majumbani, wengine waliuawa wakiwa kazini. Watoto wa Mwanza walikuwa kwenye academy na wengine 16 walikuwa kwenye banda la mpira, lakini wote waliuliwa..kuna Fundi seremala na fundi ujenzi nao oia waliuawa wakiwa kazini.
Acheni kuhalalisha mauaji kwa kisingizio cha wizi na uharibufu wa mali. Si kila aliyeuawa alikuwa mwandamanaji
Sawa, ndiyo maana kama ukijua nature ya majanga iko hivo wakati wewe ukifurahia mvua kustawisha mazao yako kuna watu mvua inabomoa nyumba na kuharibu kila kitu.

Wakati wewe ukifurahia jua kukaushia mazao yako uliyoanika ,kuna sehemu jua linakausha mazao yaliyopandwa.

Ile siku vituo vya Polisi vilichomwa Polisi wengi walikufa ,Polisi waliporwa sare zao na beji zao.

Wengine walipoteza familia zao huku wakiwa hawana kosa.

Kosa lao ni nini,?

Ulitaka Polisi watumie vifaa gani kujua mhalifu na asiye mhalifu.yaani uandaname,kisha uzidiwe halafu ukimbilie Banda la mpira ujifanye ulikuwa mpirani.

Usichojua wanajeshi na Polisi wengi walikuwa sehemu ya maandamano kila fujo mliyoifanya waliijua.
Na ikijirudia litakuja gharika na wote tutasimama hatuwezi kupoteza Amani ya nchi Kwa kupelekeshwa na watu wachache kisa tu wananyimwa madaraka.

Maanina zenu
 
Mali zina thamani mbele ya mtu mmoja ambaye ni kibaka, yaani mali zile zinahudumia maelfu ya watu, halafu atokee mtu mmoja aharibu maisha ya watu.

Kuna watu wameajiriwa kwenye vituo vya mafuta, wewe unachoma, waende wapi?

Kuna watu wanatumia Mwendokasi kufika makazini mapema kuanza kazi, wewe unachoma.

Unaingia dukani, unavunja duka la mtu yeye aishije, halafu cha ajabu huyo mtu hahusik kabisa na mambo yenu.

Amejitafuta ndani ya miaka 20 au 10 kuipata huo mtaji, leo amefikia pazuri akisema sasa hapa niikuze biashara yangu, anatokea mshenzi mmoja anachoma duka, anaiba mali zote. Fikiria maumivu ya huyo mtu yatakuwaje?

Uhai wa mtu mmoja hauwezi kusababisha watu elf 1 kufa kwa njaa. Ni bora huyo mmoja aondoke tuokoe hao elf moja.

Ukweli utabakia pale pale, yale hayakuwa maandamano bali ni vurugu na wizi. Huwezi kutetea, hakuna maandamano ya vile, wangeshika mabango yao wanatembea na viongozi wao wapo, hapo ingekuwa saw
KANISA KATOLIKI Lengo Lao ni nchi ipinduliwe

Sasa lengo lao halikufanikiwa na ndiyo maana wanahaha
 
Sawa, ndiyo maana kama ukijua nature ya majanga iko hivo wakati wewe ukifurahia mvua kustawisha mazao yako kuna watu mvua inabomoa nyumba na kuharibu kila kitu.

Wakati wewe ukifurahia jua kukaushia mazao yako uliyoanika ,kuna sehemu jua linakausha mazao yaliyopandwa.

Ile siku vituo vya Polisi vilichomwa Polisi wengi walikufa ,Polisi waliporwa sare zao na beji zao.

Wengine walipoteza familia zao huku wakiwa hawana kosa.

Kosa lao ni nini,?

Ulitaka Polisi watumie vifaa gani kujua mhalifu na asiye mhalifu.yaani uandaname,kisha uzidiwe halafu ukimbilie Banda la mpira ujifanye ulikuwa mpirani.

Usichojua wanajeshi na Polisi wengi walikuwa sehemu ya maandamano kila fujo mliyoifanya waliijua.
Na ikijirudia litakuja gharika na wote tutasimama hatuwezi kupoteza Amani ya nchi Kwa kupelekeshwa na watu wachache kisa tu wananyimwa madaraka.

Maanina zenu
Chawa hauwezi kuwa na akili mavi yapo kichwani ubongo upo matakoni
 
Mali zina thamani mbele ya mtu mmoja ambaye ni kibaka, yaani mali zile zinahudumia maelfu ya watu, halafu atokee mtu mmoja aharibu maisha ya watu.

Kuna watu wameajiriwa kwenye vituo vya mafuta, wewe unachoma, waende wapi?

Kuna watu wanatumia Mwendokasi kufika makazini mapema kuanza kazi, wewe unachoma.

Unaingia dukani, unavunja duka la mtu yeye aishije, halafu cha ajabu huyo mtu hahusik kabisa na mambo yenu.

Amejitafuta ndani ya miaka 20 au 10 kuipata huo mtaji, leo amefikia pazuri akisema sasa hapa niikuze biashara yangu, anatokea mshenzi mmoja anachoma duka, anaiba mali zote. Fikiria maumivu ya huyo mtu yatakuwaje?

Uhai wa mtu mmoja hauwezi kusababisha watu elf 1 kufa kwa njaa. Ni bora huyo mmoja aondoke tuokoe hao elf moja.

Ukweli utabakia pale pale, yale hayakuwa maandamano bali ni vurugu na wizi. Huwezi kutetea, hakuna maandamano ya vile, wangeshika mabango yao wanatembea na viongozi wao wapo, hapo ingekuwa saw
Wewe una mali gani kati ya hizo zinazohudumia watu elfu 1
 
Sawa, ndiyo maana kama ukijua nature ya majanga iko hivo wakati wewe ukifurahia mvua kustawisha mazao yako kuna watu mvua inabomoa nyumba na kuharibu kila kitu.

Wakati wewe ukifurahia jua kukaushia mazao yako uliyoanika ,kuna sehemu jua linakausha mazao yaliyopandwa.

Ile siku vituo vya Polisi vilichomwa Polisi wengi walikufa ,Polisi waliporwa sare zao na beji zao.

Wengine walipoteza familia zao huku wakiwa hawana kosa.

Kosa lao ni nini,?

Ulitaka Polisi watumie vifaa gani kujua mhalifu na asiye mhalifu.yaani uandaname,kisha uzidiwe halafu ukimbilie Banda la mpira ujifanye ulikuwa mpirani.

Usichojua wanajeshi na Polisi wengi walikuwa sehemu ya maandamano kila fujo mliyoifanya waliijua.
Na ikijirudia litakuja gharika na wote tutasimama hatuwezi kupoteza Amani ya nchi Kwa kupelekeshwa na watu wachache kisa tu wananyimwa madaraka.

Maanina zenu

Ahsante
 
Back
Top Bottom