Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 4,951
- 19,766
Huna hoja kaa kimyaWewe una mali gani kati ya hizo zinazohudumia watu elfu 1
Huna hoja kaa kimyaWewe una mali gani kati ya hizo zinazohudumia watu elfu 1
😳😳😳.sema Mimi ni mkatoliki ccm.Mimi ni mkatoliki lakini kanisa linajidhalilisha mno ,linatia aibu ,,UNAFIKI
Mbona Kila mwenye akili timamu anajua mkuu, kuwa ile sio ibada Bali ni Shari tu inayofukunyuliwa katika utawala huu?!!! Lengo lao kubwa ni kuhakikisha utawala unaanguka, hilo ndo lengo lao mama. Changamoto pekee inayowakabili mpaka Sasa ni vile tu kwakuwa Mungu ni wetu sote na anayaona yaliyo mioyoni mwetu. Wana hasira hatari na Samia......Kwa utaratibu wa haya makanisa yetu makubwa Kuna vigezo unatakiwa uvifikie ndo upate huduma Yao ya kiroho, hata kama umekufa kama hujafikia vigezo vyao hata huduma ya mazishi hupati
Najiuliza tu, hivi hii Misa ya kuwakumbuka waliofariki October 29 inawahusu waliokua waumini kamili au hata wasiokua waumini, kama tunawaombea wasio waumini ni unafiki tu, hivi mtu asie muumini akiuawa na police kwa kuonewa utaratibu wa kanisan unaruhisu kuzika.kama hauruhusi unawezaje kumfanyia Misa ya kumbukumbuk
Me nadhani Kuna kitu zaidi ya vile Vifo
Hivi kuna mzazi anaweza kumhamadisha mwanae aende aende akaandamane kweli
Posho Buku 7 kila siku unaishi kusifu na kuiabudu familia ya samia na kikwete,kwenu maisha magumu lazima uwe na hasira.Kama ilivyo Kwa mama yako ambaye nilimuomba Tundu moja yeye akanipa mawili
Umekaririshwa kila asiyekuwa upande wenu analipwa pesa mjinga wewe .polePosho Buku 7 kila siku unaishi kusifu na kuiabudu familia ya samia na kikwete,kwenu maisha magumu lazima uwe na hasira.
matokeo yake akili zimehamia matakoni,mavi yamejaa kwenye ubongo wako
Ukija upande wetu sharti utumie ubongo kufikiri sio uko lumumba mnavyotumia matako kufikiriUmekaririshwa kila asiyekuwa upande wenu analipwa pesa mjinga wewe .pole
Kuna watu waliuwa kwenye Banda la mpira uchunguz ufanyike wauaji wawajibishweMtaendelea kuwa wajinga mpaka lini? Wengi waliouawa hawakuwa waandamanaji; walifuatwa hadi majumbani, wengine waliuawa wakiwa kazini. Watoto wa Mwanza walikuwa kwenye academy na wengine 16 walikuwa kwenye banda la mpira, lakini wote waliuliwa..kuna Fundi seremala na fundi ujenzi nao oia waliuawa wakiwa kazini.
Acheni kuhalalisha mauaji kwa kisingizio cha wizi na uharibufu wa mali. Si kila aliyeuawa alikuwa mwandamanaji
Usichanganye Mambo bro, 1994 watu waliuwawa kule Rwanda, kama milioni hv,
Ile inaitwa genocide, mauaji ya kimbari,
Kilichotokea October 29,walikufa watu Saudi ya elfu kumi, vyote ni vifo,Vita ya ukraine wamekufa malaki,vyote ni vifo lakini sio vifo vyote ni genocide, kwahiyo hata jinsi ya kuenenda navyo ni tofauti,
Wakifa watu 518 kwa, mafuriko, au watu 518 kwa vurugu za kisiasa, vyote ni vifo, Ila jinsi ya ku deal navyo inategemea wahusika chanzo ni nini
Hawa Lumumba ndo viongozi lakiniUkija upande wetu sharti utumie ubongo kufikiri sio uko lumumba mnavyotumia matako kufikiri
Mkatoliki matako au,kama linatia aibu nenda Kwa Tony kapora.Mimi ni mkatoliki lakini kanisa linajidhalilisha mno ,linatia aibu ,,UNAFIKI
Mamako aliyenipa Tundu lingine kuliko sehemu halali Mimi na yeye Nani mjingaMkatoliki matako au,kama linatia aibu nenda Kwa Tony kapora.
Matako ya mamaako
Mbona unapenda kuongelea sana mambo ya tundu? Au uko lumumba ndio kawaida yenu machawa kufirwa?Mamako aliyenipa Tundu lingine kuliko sehemu halali Mimi na yeye Nani mjinga
Kwanini niue mtu? Nimeajiri mlinzi nyumbani kwangu ndiye atakabiliana na wezi wakijaUmewahi kuua mtu? Yaan hata km uliua tu kwa kutokukusudia umewahi kuua?
Ni wangapi jumla? Maana kila uzi wanatajwa hao hao akina Shariff Majini, Master Tindwa, watoto wa Mwanza nkMtaendelea kuwa wajinga mpaka lini? Wengi waliouawa hawakuwa waandamanaji; walifuatwa hadi majumbani, wengine waliuawa wakiwa kazini. Watoto wa Mwanza walikuwa kwenye academy na wengine 16 walikuwa kwenye banda la mpira, lakini wote waliuliwa..kuna Fundi seremala na fundi ujenzi nao oia waliuawa wakiwa kazini.
Acheni kuhalalisha mauaji kwa kisingizio cha wizi na uharibufu wa mali. Si kila aliyeuawa alikuwa mwandamanaji
Itasaidia nini??
Tuone Kama Akija Rais mkatolik Kama mtaendelea na huu ufala wenu
Ni Chuki tuh zimewajaa mipapai nyinyi
Ingekuwa Sudan nyingine. Maana mwaka 2019 binti wa Chuo Kikuu mwenye miaka 22 aliongoza maandamano ya kumtoa Omar Bashi na Jeshi likaunga mkono.Huu ni ukweli mchungu, hakukuwa na namna zaidi ya kunusuru walio wengi,unadhani kama wale watu wasingedhibitiwa nini kingetokea .
MUNGU ibariki Tanzania
Tudumishe Amani yetu
Hata kama sina mali kitendo cha kuchoma petrol station moja unapoteza ajira za watu kama 10 au 20Wewe una mali gani kati ya hizo zinazohudumia watu elfu 1
Mimi ni mkatoliki lakini kanisa linajidhalilisha mno ,linatia aibu ,,UNAFIKI
Uhakika ni kuwa mama yako anayo,mabaya meusi,ila ulichoandika wewe hakipoMamako aliyenipa Tundu lingine kuliko sehemu halali Mimi na yeye Nani mjinga
Mali na uhai ,je nguvu iliyotumika inaendana na akili ? Je wote waliouwawa walikuwa vibaka,kuna haja gani yakuwa na magereza ? Kama ulipoteza ndugu yako huwezi kuja na hoja hii.Mali zina thamani mbele ya mtu mmoja ambaye ni kibaka, yaani mali zile zinahudumia maelfu ya watu, halafu atokee mtu mmoja aharibu maisha ya watu