PostGE2025 Hili la kuwaombea marehemu wa Oktoba 29 linanitafakarisha sana

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mimi ni mkatoliki lakini kanisa linajidhalilisha mno ,linatia aibu ,,UNAFIKI
😳😳😳.sema Mimi ni mkatoliki ccm.
Yaani nipo katoliki ila ccm ndo makazi tungekuelewa tu.
Kwa mfano Mimi ni muislam.ila SIWEZI kumtetea Samia Kwa ajili ya dini yake.au kuwatetea bakwata sababu ni viongozi wangu.
Mauaji Yale yalitakiwa yaombolezwe na kila MTANZANIA.Wa ccm na upinzani.
 
Mbona Kila mwenye akili timamu anajua mkuu, kuwa ile sio ibada Bali ni Shari tu inayofukunyuliwa katika utawala huu?!!! Lengo lao kubwa ni kuhakikisha utawala unaanguka, hilo ndo lengo lao mama. Changamoto pekee inayowakabili mpaka Sasa ni vile tu kwakuwa Mungu ni wetu sote na anayaona yaliyo mioyoni mwetu. Wana hasira hatari na Samia......
 
Kama ilivyo Kwa mama yako ambaye nilimuomba Tundu moja yeye akanipa mawili
Posho Buku 7 kila siku unaishi kusifu na kuiabudu familia ya samia na kikwete,kwenu maisha magumu lazima uwe na hasira.
matokeo yake akili zimehamia matakoni,mavi yamejaa kwenye ubongo wako
 
Posho Buku 7 kila siku unaishi kusifu na kuiabudu familia ya samia na kikwete,kwenu maisha magumu lazima uwe na hasira.
matokeo yake akili zimehamia matakoni,mavi yamejaa kwenye ubongo wako
Umekaririshwa kila asiyekuwa upande wenu analipwa pesa mjinga wewe .pole
 
Kuna watu waliuwa kwenye Banda la mpira uchunguz ufanyike wauaji wawajibishwe

Ukija upande wetu sharti utumie ubongo kufikiri sio uko lumumba mnavyotumia matako kufikiri
Hawa Lumumba ndo viongozi lakini
 
Mamako aliyenipa Tundu lingine kuliko sehemu halali Mimi na yeye Nani mjinga
Mbona unapenda kuongelea sana mambo ya tundu? Au uko lumumba ndio kawaida yenu machawa kufirwa?
Shahawa zinakutekenya kinyeo iko
 
Ni wangapi jumla? Maana kila uzi wanatajwa hao hao akina Shariff Majini, Master Tindwa, watoto wa Mwanza nk
 
Itasaidia nini??

Tuone Kama Akija Rais mkatolik Kama mtaendelea na huu ufala wenu

Ni Chuki tuh zimewajaa mipapai nyinyi

Nimetangulia kusoma kabla ya kuangalia mchangiaji!! Kumbe ni lile ibilisi shetani BIG SHOW! haishangazi kwa mwendawazimu mwenye roho ya shetani kama BIG SHIW kuweka comment kama hii!
 
Huu ni ukweli mchungu, hakukuwa na namna zaidi ya kunusuru walio wengi,unadhani kama wale watu wasingedhibitiwa nini kingetokea .

MUNGU ibariki Tanzania
Tudumishe Amani yetu
Ingekuwa Sudan nyingine. Maana mwaka 2019 binti wa Chuo Kikuu mwenye miaka 22 aliongoza maandamano ya kumtoa Omar Bashi na Jeshi likaunga mkono.

Leo ni miaka 7 bado Sudan hakujatulia, nchi imegawanyika chini ya Mahenerali wawili
 
Mimi ni mkatoliki lakini kanisa linajidhalilisha mno ,linatia aibu ,,UNAFIKI

Hakuna mkatoliki anayetembea na roho ya shetani. Kusema uwongo kuwa wewe ni mkatoliki wakati ni mwabudu majini, haishangazi kwa sababu ibilisi shetani mnayemwabudu, aliyemkaba shingo Mudy, ni bingwa wa hadaa, na wewe naona unafuata mfano wake.
 
Kifo ni kifo lakini inatakiwa ifahamike mtu kafaje .

Nilichogunduwa hata CCM wenyewe hawajui raia walikufaje ndiyo Maana. Mtu anakuja na nadharia ya ajari ya gari au mv bukoba mwingiñe anasema kw siku watu wanakufa wangapi ? Hayo ni mawazo Mgando .

CCM hivi vifo hamvijui kw sababu mlikuwa busy mnahamisha mabokisi empty wengine mlikuwa busy mkiangalia message za elfu saba saba.

Watu wengi waliuwawa bila hatia hili linafahamika na lipo wazi.

Hili ni janga ambalo wahusika litawamaliza kizazi na kizazi .

VIONGOZI walikosea sana .

Mlileta mijitu milefu iliuwa watu kama SISImizi .

Je,majeshi yenu hamuyaamini mpak mkaomba back up au mliogopa Nini?
 
Hao walichochea ,walijifanya wana nguvu..Tatizo ni ile bandari ,hata wao wanajali maslahi ....wafanya biashara hao ,kazi kubwa kutaka kujifanya wako juu...Ngoja tuone kama wataendelea kila mwaka ..
Walikuwa wazee wa matamko kila siku ili kuchochea watu kihisia ..Leo bandari inafanya vizuri ila hawawezi kusifu ,wao hata uwafanyie mazuri mia ila moja tu basi wanafunua midomo.

Lolote likimpata Rais basi hata hizo ibada hazitikuwepo maisha ,patakuwa kama congo hapa.
 
Mali zina thamani mbele ya mtu mmoja ambaye ni kibaka, yaani mali zile zinahudumia maelfu ya watu, halafu atokee mtu mmoja aharibu maisha ya watu
Mali na uhai ,je nguvu iliyotumika inaendana na akili ? Je wote waliouwawa walikuwa vibaka,kuna haja gani yakuwa na magereza ? Kama ulipoteza ndugu yako huwezi kuja na hoja hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…