Simba mundu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 1,343
- 1,679
Hapo na ww una tatzo la kufikir utawala unaweza kuangushwa Kwa watu kufanya maombi ya kuwaombea wafu? Huo utawala ni wa mapepo au? Nyie ndo mnakuza mamboo sanaa ,,Kuna shida gan watu kufanya maombi ya kuwaombea wafu??Mbona Kila mwenye akili timamu anajua mkuu, kuwa ile sio ibada Bali ni Shari tu inayofukunyuliwa katika utawala huu?!!! Lengo lao kubwa ni kuhakikisha utawala unaanguka, hilo ndo lengo lao mama. Changamoto pekee inayowakabili mpaka Sasa ni vile tu kwakuwa Mungu ni wetu sote na anayaona yaliyo mioyoni mwetu. Wana hasira hatari na Samia......
Kwa nini unaongelea matatizo ya October 29 2025 kama hapo ndipo matatizo yalipoanzia?Kina nani wamepotea?
Wamepotezwa na nani,Kwa ushahidi upi?
Unajua nikwambie kitu mkuu,nchi siyo kama nyumba kwamba Baba au mama wanaweza kuwatambua watoto wao wote Kwa idadi ,majina na tabia zao.
Swala la nchi ni swala gumu kiuongozi na kiutawala,yaani unamuongoza mtu ambaye humjui hujawahi kumuona.
Na inapokea siku anakuja na matamko yasiyo na kichwa wala miguu.
Maneno kama tutavuruga uchaguzi.
Ni kweli ulivurugika wewe mwenyewe uliona na kusikia wapo Raia wema walikatwa vidole kisa Wana ule wino baada ya kupiga kura wapo waliopigwa mawe (wasimamizi katika vituo vya kupiga kura)
Halafu tutakinukisha.
Ni kweli vituo vya mafuta vingi vilichomwa ,magari ya watu ,biashara na wizi wote uliofanyika.
Haya yote yalifanywa na watoto wa masikini,ambao hawajui aliyetamka haya maneno ana kusudi gani.
Kumbe ni mtu ambaye yupo tayari kuuza nchi Kwa watu wa nje Kwa manufaa ya familia yake.
Mkuu Mimi ni social engineer naijua jamii na angle zake ,naujua uovu mwingi uliofanyika mwaka Jana
Kanisa katoliki linautaratibu wa kuombea marehemu wote kila wakati linapoadhimisha Misa Takatifu wakati wa mageuzi.Kwa utaratibu wa haya makanisa yetu makubwa Kuna vigezo unatakiwa uvifikie ndo upate huduma Yao ya kiroho, hata kama umekufa kama hujafikia vigezo vyao hata huduma ya mazishi hupati
Najiuliza tu, hivi hii Misa ya kuwakumbuka waliofariki October 29 inawahusu waliokua waumini kamili au hata wasiokua waumini, kama tunawaombea wasio waumini ni unafiki tu, hivi mtu asie muumini akiuawa na police kwa kuonewa utaratibu wa kanisan unaruhisu kuzika.kama hauruhusi unawezaje kumfanyia Misa ya kumbukumbuk
Me nadhani Kuna kitu zaidi ya vile Vifo
Hivi kuna mzazi anaweza kumhamadisha mwanae aende aende akaandamane kweli
Ndugu yangu, unatumia sana hoja za kidini kwanini? Kwanini unapenda wenye Imani tofauti wafarakane!KANISA KATOLIKI Lina Chuki na Samia
Na simply because she’s Muslim
Hawana hoja yoyote zaidi ya hiyo
Huna akili kabisa kabisa!!! PatheticHapo na ww una tatzo la kufikir utawala unaweza kuangushwa Kwa watu kufanya maombi ya kuwaombea wafu? Huo utawala ni wa mapepo au? Nyie ndo mnakuza mamboo sanaa ,,Kuna shida gan watu kufanya maombi ya kuwaombea wafu??
Mnafiki ,kukosoa kuna staha ..Kama unaleta mambo ya huko ughaibuni bora ukaishi huko.(Soma kwa sauti ya Tundu Lissu)
Kwanza kuvuruga amani ni nini?
Amani ni nini?
Tanzania kuna amani sasa hivi?
Tanzania kulikuwa na amani kabla ya October 29 2025?
Unafahamu tofauti ya amani na utulivu?
Sehemu yenye uonevu mwingi, kwa nini amani iwe kipaumbele zaidi ya mapinduzi?
Unaweza kumwambia mtumwa aliyefungwa minyororo asitake kufanya mapinduzi kwa sababu akifanya mapinduzi ataharibu amani?
Watu wamepotezwa, wametekwa , wameuawa, wameibiwa muda mrefu kabla ya October 29 2025. Hiyo nayo unaita amani?
Amani gani?
Vigezo gani wanatakiwa kuvifikia ili waombewe?Kwa utaratibu wa haya makanisa yetu makubwa Kuna vigezo unatakiwa uvifikie ndo upate huduma Yao ya kiroho, hata kama umekufa kama hujafikia vigezo vyao hata huduma ya mazishi hupati
Najiuliza tu, hivi hii Misa ya kuwakumbuka waliofariki October 29 inawahusu waliokua waumini kamili au hata wasiokua waumini, kama tunawaombea wasio waumini ni unafiki tu, hivi mtu asie muumini akiuawa na police kwa kuonewa utaratibu wa kanisan unaruhisu kuzika.kama hauruhusi unawezaje kumfanyia Misa ya kumbukumbuk
Me nadhani Kuna kitu zaidi ya vile Vifo
Hivi kuna mzazi anaweza kumhamadisha mwanae aende aende akaandamane kweli
Kuna watu waliuwa kwenye Banda la mpira uchunguz ufanyike wauaji wawajibishweMtaendelea kuwa wajinga mpaka lini? Wengi waliouawa hawakuwa waandamanaji; walifuatwa hadi majumbani, wengine waliuawa wakiwa kazini. Watoto wa Mwanza walikuwa kwenye academy na wengine 16 walikuwa kwenye banda la mpira, lakini wote waliuliwa..kuna Fundi seremala na fundi ujenzi nao oia waliuawa wakiwa kazini.
Acheni kuhalalisha mauaji kwa kisingizio cha wizi na uharibufu wa mali. Si kila aliyeuawa alikuwa mwandamanaji
Usichanganye Mambo bro, 1994 watu waliuwawa kule Rwanda, kama milioni hv,
Ile inaitwa genocide, mauaji ya kimbari,
Kilichotokea October 29,walikufa watu Saudi ya elfu kumi, vyote ni vifo,Vita ya ukraine wamekufa malaki,vyote ni vifo lakini sio vifo vyote ni genocide, kwahiyo hata jinsi ya kuenenda navyo ni tofauti,
Wakifa watu 518 kwa, mafuriko, au watu 518 kwa vurugu za kisiasa, vyote ni vifo, Ila jinsi ya ku deal navyo inategemea wahusika chanzo ni nini
Hawa Lumumba ndo viongozi laUkija upande wetu sharti utumie ubongo kufikiri sio uko lumumba mnavyotumia matako kufikiri
Kukataa kuzika muumini wako na kuombea marehemu kwa ujumla kipi ni unafikiWewe nawe ni mpumbavu tu. Kwa hiyo kuna ubaya gani kuombea watu wote, hata kama unataka kufanya ubaguzi, utaseparate vipi hayo maombi kuwa haya yaende kwa wanaostahili na yasiwafikie wasiostahili
Kama inawauma sana kunyweni sumu mfe.Kwa utaratibu wa haya makanisa yetu makubwa Kuna vigezo unatakiwa uvifikie ndo upate huduma Yao ya kiroho, hata kama umekufa kama hujafikia vigezo vyao hata huduma ya mazishi hupati
Najiuliza tu, hivi hii Misa ya kuwakumbuka waliofariki October 29 inawahusu waliokua waumini kamili au hata wasiokua waumini, kama tunawaombea wasio waumini ni unafiki tu, hivi mtu asie muumini akiuawa na police kwa kuonewa utaratibu wa kanisan unaruhisu kuzika.kama hauruhusi unawezaje kumfanyia Misa ya kumbukumbuk
Me nadhani Kuna kitu zaidi ya vile Vifo
Hivi kuna mzazi anaweza kumhamadisha mwanae aende aende akaandamane kweli
Kwa utaratibu wa haya makanisa yetu makubwa Kuna vigezo unatakiwa uvifikie ndo upate huduma Yao ya kiroho, hata kama umekufa kama hujafikia vigezo vyao hata huduma ya mazishi hupati
Najiuliza tu, hivi hii Misa ya kuwakumbuka waliofariki October 29 inawahusu waliokua waumini kamili au hata wasiokua waumini, kama tunawaombea wasio waumini ni unafiki tu, hivi mtu asie muumini akiuawa na police kwa kuonewa utaratibu wa kanisan unaruhisu kuzika.kama hauruhusi unawezaje kumfanyia Misa ya kumbukumbuk
Me nadhani Kuna kitu zaidi ya vile Vifo
Hivi kuna mzazi anaweza kumhamadisha mwanae aende aende akaandamane kweli
Kanisa haliombi sababu rais ni mkatoliki , linafanya ksababu ni taratibu, kuna sala za marehemu ambazo zimekuwa ni taratibu kwa miaka na miakaItasaidia nini??
Tuone Kama Akija Rais mkatolik Kama mtaendelea na huu ufala wenu
Ni Chuki tuh zimewajaa mipapai nyinyi
Huyu jamaa anatumia mbinu ya kufarakanisha ili atawale. Anaingiza ghiliba, husda, chuki na matusi kwenye mambo ya Imani za watu.Kanisa haliombi sababu rais ni mkatoliki , linafanya ksababu ni taratibu, kuna sala za marehemu ambazo zimekuwa ni taratibu kwa miaka na miaka
Latoliki haiendeshwi kwa dini ya rais
Umekiri jambo ambalo nimekuwa nalisema. Ndani ya waandamaji kulikuwa na mapandikizi ambayo siyo tu yaliandamana, bali yalikuwa sehemu na hata source ya kuchochea watu wafanye vurugu ili kuharibu lengo mama la maandamano yale. Mtu yoyote anayejua counter-intelligence na operation za ujasusi zinavyofanya kazi anajua operation iliyofanyika na ni nani mhusika mkuu wa vurugu zilizotokea.Usichojua wanajeshi na Polisi wengi walikuwa sehemu ya maandamano kila fujo mliyoifanya waliijua.
Na ikijirudia litakuja gharika na wote tutasimama hatuwezi kupoteza Amani ya nchi Kwa kupelekeshwa na watu wachache kisa tu wananyimwa madaraka.
**** LA mama KOMali zina thamani mbele ya mtu mmoja ambaye ni kibaka, yaani mali zile zinahudumia maelfu ya watu, halafu atokee mtu mmoja aharibu maisha ya watu.
Kuna watu wameajiriwa kwenye vituo vya mafuta, wewe unachoma, waende wapi?
Kuna watu wanatumia Mwendokasi kufika makazini mapema kuanza kazi, wewe unachoma.
Unaingia dukani, unavunja duka la mtu yeye aishije, halafu cha ajabu huyo mtu hahusik kabisa na mambo yenu.
Amejitafuta ndani ya miaka 20 au 10 kuipata huo mtaji, leo amefikia pazuri akisema sasa hapa niikuze biashara yangu, anatokea mshenzi mmoja anachoma duka, anaiba mali zote. Fikiria maumivu ya huyo mtu yatakuwaje?
Uhai wa mtu mmoja hauwezi kusababisha watu elf 1 kufa kwa njaa. Ni bora huyo mmoja aondoke tuokoe hao elf moja.
Ukweli utabakia pale pale, yale hayakuwa maandamano bali ni vurugu na wizi. Huwezi kutetea, hakuna maandamano ya vile, wangeshika mabango yao wanatembea na viongozi wao wapo, hapo ingekuwa saw
Hata mama yako analo na ndipo ulipita kuja duniani**** LA mama KO
Utasifia mpaka lini?.Mali zina thamani mbele ya mtu mmoja ambaye ni kibaka, yaani mali zile zinahudumia maelfu ya watu, halafu atokee mtu mmoja aharibu maisha ya watu.
Kuna watu wameajiriwa kwenye vituo vya mafuta, wewe unachoma, waende wapi?
Kuna watu wanatumia Mwendokasi kufika makazini mapema kuanza kazi, wewe unachoma.
Unaingia dukani, unavunja duka la mtu yeye aishije, halafu cha ajabu huyo mtu hahusik kabisa na mambo yenu.
Amejitafuta ndani ya miaka 20 au 10 kuipata huo mtaji, leo amefikia pazuri akisema sasa hapa niikuze biashara yangu, anatokea mshenzi mmoja anachoma duka, anaiba mali zote. Fikiria maumivu ya huyo mtu yatakuwaje?
Uhai wa mtu mmoja hauwezi kusababisha watu elf 1 kufa kwa njaa. Ni bora huyo mmoja aondoke tuokoe hao elf moja.
Ukweli utabakia pale pale, yale hayakuwa maandamano bali ni vurugu na wizi. Huwezi kutetea, hakuna maandamano ya vile, wangeshika mabango yao wanatembea na viongozi wao wapo, hapo ingekuwa saw
Hujambo rafikiHata walioandamana adhabu yao ilikuwa iwe mitutu ya kichwa??