Drifter
JF-Expert Member
- Jan 4, 2010
- 5,122
- 5,104
Shukran Mkuu kwa hizi sentensi za kijasiri. Binafsi, sioni cha kuongeza wala kujadili zaidi ya hapo.Wakati tunaingia kwenye ule Muungano ile 1964, hakuna mtu yeyote aliyeulizwa, ila kwa upande wa Tanganyika Bunge la Tanganyika angalau lili ratify ule mkataba na kutunga sheria ya Muungano, lakini Zanzibar hakukufanyika ratification yoyote!, bali ni Rais Karume aliwaita wana Balozi na kuwaeleza tumeungana!. Je, wajua kuwa Zanzibar haikuridhia Muungano? Ina Maana Gani?
Enzi za Nyerere, Mwinyi Mkapa na JK, ilikuwa ni mwiko kuujadili Muungano, chuma kilipoingia , JPM akatoa onto la fyoko fyoko Chonde Chonde Ndugu zetu Wazanzibari, Msilete Fyoko Fyoko, Mtaumia bure! aliyeruhusu watu kuujadili Muungano ni huyu "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza
Hivyo elimu ya Muungano is made very simple!.
P