Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Kuna kitu kinaitwa "is" na "ought". Ought ndio yenye constitutional justification, lakini is ni kile kitu kinachofanyika, sio kila kitu kinachofanyika kina constitutional justification, kuna vitu kibao vinafanyika kinyume cha Katiba na mfano mzuri ni mabadiliko ya katiba ya Zanzibar yaliyounda GNU, katiba ya JMT haiyatambui haitambui GNU wala haiitambua kama Zanzibar ni nchi, Rais wa JMT anakwenda Zanzibar, anatangulia kisha anakuja Rais wa Zanzibar, kwa katiba yao Zanzibar ni nchi, kwa katiba yetu Zanzibar sio nchi ni sehemu ya JMT!. Viongozi wa Zanzibar wasiotambuliwa na katiba yetu wanapigiwa ving'ora, hivyo sio kila kitu kina constitutional justificationAre these the facts or are just your feelings and imaginations brother Pascal Mayalla...?
Do you have constitutional justifications on all of these you have said..?
P