Hili la kuweka vibao viwili Kwa Nchi Moja Tanzania na Zanzibar limekaaje?

Tumeona picha ya ujumbe wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ukiwa katika kikao huko China unavibao viwili. Kimoja kimeandikwa Tanzania na zingine kina wajumbe wameweka Bangor akiwa kibao cha Zanzibar. Hizi ndio Sera ya Nchi yetu sasa, baada ya kupata Waziri Mpya wa Mambo ya Nje au ilikuwepo kabla. Na nini tafsiri yake kimataifa na ndani ya nchi

Pia soma:Nchi zilizoungana ni Tanganyika na Zanzibar, kwanini Zanzibar ipo na sisi ni Tanzania bara, kwanini wasioitwe Tanzania Visiwani?

Kuna mambo Zenji inasimama kama nchi, labda tujue huo mjumuiko ulikuwa ni wa nini?
 
Wengine husema Zanzibar ni nchi ndani, na siyo nje! Yaani tukitoka nje Tanzania ni nchi moja, lakini tukiwa ndani ni nchi mbili.
 
Acha unyumbu wako!, athari ni kubwa!, hujui tu, hujui zanzibar ni mpaka hata sitaji, lakini hii dar uliyopo ni zanzibar!, unadhani mwalimu alikuwa mjinga!
Tuimarishe muungano wetu.
Siyo kweli kwamba Dar ni Zanzibar.

Nachofahamu, ukanda wa pwani ya Afrika Mashariki ulikuwa eneo la miliki ya Sultani wa Zanzibar.
 
ni muda sasa tanganyika tuvunje huu muungano hakuna maana hapo
Kumbuka bara tunakichukulia hiki kisiwa kimkakati sana, kipindi hicho ilikua lazima tukitae, iwe kwa muungano au kwa lazima. Hiki kisiwa asirimia 70. Watu wake kutoka bara ni sawa na china na taiwani, kuvunja muungano ni gumu sana, bora kufikiria njia nyingine.
 
tukiteke sivyo
 
nchi ni 1 inaitwa JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, ina serikali mbili.......(upo sawa mkuu)
NAJAZIA...
hapo kwenye uwakilishi hiyo zanzibar imewakilishwa kama serikali
so bila kujali nia yao ni nini,hapo kuna uwakilishi wa serikali ya TANZANIA(kama kuna faida itagwana bara na visiswani)
pia kuna uwakilishi wa serikali MAPINDUZI ZANZIBAR(kama kuna faida itaenda visiwani)
sina hakika kama kuna kosa kisheria serikali ya mapinduzi ikiwakilishwa hapo au popote
ni kama wanavyoamua kwenda (IMF) au (WB) kukopa ni sawa tu
NB: uchambuzi huo kama una makosa naruhusu kukosolewa na kusahihishwa
Inatakiwa iwe sawa kwa wote ili kuodoa, huu mngawanyiko!?
 
Zanzibar wamemwaga DAMU kupambana Uhuru wao,hawakupewa Uhuru Mezani kama sisi.
Tuheshimu Hilo,tuendelee kuishi vizuri.
Kumbuka kwenye uhuru watu wengi kutoka bara ndo ulipiganea uhuru kupatikana zanzibar, make zanzibar ilipokua inavamiwa na waarabu kutoka oman, walichukua watumwa kutoka bara na kuwatumikisha kwenye mashamba ya mikafuu na kilimo cha nazi, kilikua kisiwa cha wavuvi kutoka bara, waarabu wakatoka na kutuachia machotara wengine, wazanzibara na wabara wakaamua kuungana make walikua na utamaduni mmoja, sasahv wengine kunajiona tofauti, bila kujua historia.
 
Tumeona picha ya ujumbe wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ukiwa katika kikao huko China unavibao viwili. Kimoja kimeandikwa Tanzania na zingine kina wajumbe wameweka Bangor akiwa kibao cha Zanzibar. Hizi ndio Sera ya Nchi yetu sasa, baada ya kupata Waziri Mpya wa Mambo ya Nje au ilikuwepo kabla. Na nini tafsiri yake kimataifa na ndani ya nchi

Pia soma:Nchi zilizoungana ni Tanganyika na Zanzibar, kwanini Zanzibar ipo na sisi ni Tanzania bara, kwanini wasioitwe Tanzania Visiwani?
Mpaka

Mpaka sada hajatambua tu.
Tunakoenda sijui kama TZ itakuwepo.
 
Back
Top Bottom