Choosen85
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 1,143
- 2,475
hivi mkuu huyo bwana mayala n mwanasheria kbs hv ni kweli hajui katiba ya zanzibar inasema zanzibar ni nchi sa yeye anakataa kwa kutumia ktu gn sasa zaid ya ugari maana ukshakuwa mwanaccm huwa wanatoa akili na ubongo wanakuwekea upumbavu we yafatilie humu utayagundua tu.Shida ni kwamba, hata kama ukielezea vipi, maswali hayaishi.
Huu muungano mwishowe utakuja kufanywa kama dini. Ukiuliza asili yake ni dhambi au unakufuru.
Kuna maswali mengi sana lakini mwisho wa siku unaambiwa jibu hilohilo moja kwa maswali yote…
Kwamba Zanzibar siyo nchi.
Kuna shida kubwa sana.
Kuna viashiria vingi sana vinavyoonyesha tofauti na kauli zenu ndo maana hizi back and forth hazitaweza kwisha.