Hili la kuweka vibao viwili Kwa Nchi Moja Tanzania na Zanzibar limekaaje?

Shukran Mkuu kwa hizi sentensi za kijasiri. Binafsi, sioni cha kuongeza wala kujadili zaidi ya hapo.
 
Huyu mama akimaliza muda wake hivyo vituko hutaviona tena.

Watu wanapenda sana uchawa , Yote hayo yanafanyika kumfurahisha mtu,

At what expense?
 
Wenye nchi wasipokuwa makini kila kitu kitapelekwa zanzibar. Ila wenye nchi wako busy kusifu kwa nyimbo na mapambio huku wakikenua meno tu. Sijui kwanini hii nchi haina wazalendo walioko kwenye ngazi za maamuzi.
 
Hivi huna hata elimu ya kujua a chart of management? Or
A vertical organizational chart?

Endelea kufrahisha kijiwe bwashee
Wewe ndiyo unafurahisha kijiwe,si useme tu kwa mujibu wa katiba ibara fulani au kipengele fulani cha sheria atachukua hatua gani,simple tu.
 
Wewe nawe maswali gani haya?
Yaani wawapige nyie waache kuwapiga Wachina?
Swali ni je, Mchina anajua huo utofauti?🤣🤣🤣
Kwa kweli Mchina hawezi kujua, maana Mchina hajui Siasa , anajua mambo ya kuzalisha, sayansi,tekenolojia na Uchumi
 
Mzee nakushauri uendelee na my
mzee nakushauri uendelee na mambo yako mengine kwa sababu utakuja kuchanganyikiwa bure. Hata hao walioweka hivyo vibao hawana majibu
 
Kwa kweli Mchina hawezi kujua, maana Mchina hajui Siasa , anajua mambo ya kuzalisha, sayansi,tekenolojia na Uchumi
Na humo humo ndimo ccm wanapitia kuwaibia! Hawawezi kufanya hivyo kule England!
Once a thief always a thief!
 
Sijui tuwaeleze vipi ninyi MACHOGO WA BARA, Siye hatuwataki ninyi wala muungano na machogo yenu
Hakika. Miaka yote nimekaa Unguja na Pemba huo ndo msimamo wa wenyeji!
Sijui kwanini wadanganyika hawaamki usingizini!
Au ni Raha sana kuwa na koloni?
 
Mzee nakushauri uendelee na my

mzee nakushauri uendelee na mambo yako mengine kwa sababu utakuja kuchanganyikiwa bure. Hata hao walioweka hivyo vibao hawana majibu
Mkuu ukapotelea wapi aisee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…