Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
NdioMachogo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NdioMachogo?
Ndiyo sababu uhai wa muungano wetu unategemea kulindwa kwa nguvu zote.Shida ni kwamba, hata kama ukielezea vipi, maswali hayaishi.
Huu muungano mwishowe utakuja kufanywa kama dini. Ukiuliza asili yake ni dhambi au unakufuru.
Kuna maswali mengi sana lakini mwisho wa siku unaambiwa jibu hilohilo moja kwa maswali yote…
Kwamba Zanzibar siyo nchi.
Kuna shida kubwa sana.
Kuna viashiria vingi sana vinavyoonyesha tofauti na kauli zenu ndo maana hizi back and forth hazitaweza kwisha.
Kwahiyo atatumia hayo majeshi kumlazimisha DC wa Zanzibar kutekeleza jambo ambalo amekaidi kulifanya! Basi sawa.Mama ni amiri jeshi mkuu wa majeshi ya jamhuri ya muungano wa Tanzania, zanzibar ikiwemo,
Endelea kufrahisha baraza
Uhai wake unalindwa kivipi?Ndiyo sababu uhai wa muungano wetu unategemea kulindwa kwa nguvu zote.
Qatar iko katika UAE ? Pole sanaHaina kiti UN ni sawa na Qatar kwenye UAE
Uyaratibu ni kwamba, kama ni mkopo, Seriksli ya Muungano itaenda yenyewe kukopa halafu Zanzibar lazima wapate sehemu yao ya mkopo sababu Zanzibar ni sehemu ya Muungano, na Serikali ya Muungano ndiyo itakayolipa.Tumeona picha ya ujumbe wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ukiwa katika kikao huko China unavibao viwili. Kimoja kimeandikwa Tanzania na zingine kina wajumbe wameweka Bangor akiwa kibao cha Zanzibar. Hizi ndio Sera ya Nchi yetu sasa, baada ya kupata Waziri Mpya wa Mambo ya Nje au ilikuwepo kabla. Na nini tafsiri yake kimataifa na ndani ya nchi
Pia soma:Nchi zilizoungana ni Tanganyika na Zanzibar, kwanini Zanzibar ipo na sisi ni Tanzania bara, kwanini wasioitwe Tanzania Visiwani?
Wanasheria Mzee Warioba na wengineo wanaelea ndio maana wakaja na Muungano wa sirikali tatu.Hakika. Miaka yote nimekaa Unguja na Pemba huo ndo msimamo wa wenyeji!
Sijui kwanini wadanganyika hawaamki usingizini!
Au ni Raha sana kuwa na koloni?
Jibu lako linahitaji tafakari kubwa Sana.Uyaratibu ni kwamba, kama ni mkopo, Seriksli ya Muungano itaenda yenyewe kukopa halafu Zanzibar lazima wapate sehemu yao ya mkopo sababu Zanzibar ni sehemu ya Muungano, na Serikali ya Muungano ndiyo itakayolipa.
Kama ni msaada ni lazima ziende serikali zote mbili, ya Muungano na Zanzibar sababu Zanzibar ni nchi kamili hivyo inatakiwa ikachukue fungu lake, pia itatakiwa ipewe sehemu yake kwenye ule msaada uliochukuliwa na Serikali ya Muungano sababu zanzibar ni sehemu ya Muungano
Katika serikali ya Jamhuri ya Muungano kuna Wizara za Muungano na kuna Wizara zisizo za Muungano.Jibu lako linahitaji tafakari kubwa Sana.
Kwenye mkopo ambao kuna kulipa Zanzibar haiendi maana sio nchi.
Kwenye msaada ambao hauna kulipa Zanzibar wanafuata mzigo wao maana ni nchi.
Mkapa akiwa rais aliingia pale Zanzibar akatandika kuanzia mesenja mpaka viongozi na amani abeid karume rais wao aliwepo na alikuwa kimya,Kwahiyo atatumia hayo majeshi kumlazimisha DC wa Zanzibar kutekeleza jambo ambalo amekaidi kulifanya! Basi sawa.
Kiongezeke na cha Tanganyika hakina ubaya.Tumeona picha ya ujumbe wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ukiwa katika kikao huko China unavibao viwili. Kimoja kimeandikwa Tanzania na zingine kina wajumbe wameweka Bangor akiwa kibao cha Zanzibar. Hizi ndio Sera ya Nchi yetu sasa, baada ya kupata Waziri Mpya wa Mambo ya Nje au ilikuwepo kabla. Na nini tafsiri yake kimataifa na ndani ya nchi
Pia soma:Nchi zilizoungana ni Tanganyika na Zanzibar, kwanini Zanzibar ipo na sisi ni Tanzania bara, kwanini wasioitwe Tanzania Visiwani?
Nafikiri tunazungumza lugha tofauti,nikutolee mfano wa juzi tu hapo DC wa Longido alipozingua alitengua uteuzi wake mara moja sasa je ikitokea hali kama hiyo kwa DC wa Zanzibar anaweza kumtengua? Mimi sijazungumzia habari ya kupiga watu sasa naona unarukaruka kama maharage yanayochemka!Mkapa akiwa rais aliingia pale Zanzibar akatandika kuanzia mesenja mpaka viongozi na amani abeid karume rais wao aliwepo na alikuwa kimya,
Usichezee mamlaka ya rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania
Mbona nilishakueleza mda tu, huyo namba moja wao tu anawajibika kwa mama ndio iwe dc?haijalishi ni wa longido au kusini magharibi wote ni mali ya mama, labda kichwa hapo juu imejaa tope au uji ndio uminyanie hiliNafikiri tunazungumza lugha tofauti,nikutolee mfano wa juzi tu hapo DC wa Longido alipozingua alitengua uteuzi wake mara moja sasa je ikitokea hali kama hiyo kwa DC wa Zanzibar anaweza kumtengua? Mimi sijazungumzia habari ya kupiga watu sasa naona unarukaruka kama maharage yanayochemka!
Kumbe tunasumbuana muda wote na mtu mpumbavu! Hujui lolote.Mbona nilishakueleza mda tu, huyo namba moja wao tu anawajibika kwa mama ndio iwe dc?haijalishi ni wa longido au kusini magharibi wote ni mali ya mama, labda kichwa hapo juu imejaa tope au uji ndio uminyanie hili
Endelea kufrahisha baraza
Hivi ni vitu vidogo, kuna nchi nyingi kabla ya Muungano zilikuwa na ubalozi Tanganyika na ubalozi Zanzibar, baada ya Muungano, nyingi zilifunga balòzi zake za Zanzibar na kubaki za Tanganyika zilizogeuka za Tanzania, miongoni mwa nchi ambazo hazikufunga ubalozi wake Zanzibar ni pamoja na yale mataifa makubwa matano yenye veto UN, Marekani, Urusi, Uingereza, Ufaransa na China, India pia haikufunga, bali walizigeuza balozi hizo kuwa balozi ndogo. Nchi hizi zinai treat Zanzibar with a special treatment of autonomous, hivyo wakitoa mualiko Tanzania inàalikwa kama nchi Tanzania na Zanzibar inaalikwa kama autonomous part of Tanzania hivyo kila mtu na mwaliko wake na kibao chake, bali Tanzania kama nchi ni nchi moja tuu, JMT!.
P