Hili la Maalim Seif kupatikana na maambukizi ya COVID19 linatia ukakasi. Ni aibu kubwa kwa Serikali yetu

Mungu ana Mipango yake!
 
Ahahahaaaàa [emoji23][emoji1787]. chagu wa malunde . Kwa hiyo ulikuwa hujaamini kuwa Corona ipo ?!. Kikwete aliwahi kukwambia za kuambiwa changanya na za kwako

Jamaa yetu ana arllegy na Corona. Ikitajwa tu anabadilika , unaona anacrash kila kitu kuanzia maabara, chanjo, lockdown na hata barakoa !!

Odhis *
 
Kwani hukusikia alivyosema kuna watu wameleta Corona ya ajabu ajabu na Jaffo ametangaza nyungu season 3 inaanza kesho. Au ulitaka kutangaziwaje?
 
Sidhani kama upo sahihi.
 
NI ugonjwa wa kawaida ila HOFU NDO ITAWAMALIZA.
1.paul dybala aliumwa kapona.
2.rolnado aliumwa kapona.
3.mo salaah aliumwa kapona n.k
Kama Kinga zako za mwili NI DHAIFU lazma utaichukia Corona na kupanic.
Malimao yapo tangawizi zipo.
Chaguo ni lako.
Akina nani waache kupaniki? Sisi au wale ambao wamekutana naye for the past 10 to 30 days?
 
Maalimu Seifu atakua kama anayo kweli atakua kipimo kizuri juu ya ukali wa huu ugonjwa.

Kama akifa basi tutachukua tahadhari, akipona bas tunaendelea na business as usual .
 
''Zanzibar’s First Vice President Seif Sharif Hamad is receiving treatment for the coronavirus, his party said Sunday. Hamad, 77, was on Friday admitted at a hospital in Tanzania’s semi-autonomous archipelago.

“His doctors have advised him to remain under strict medical supervision as he receives treatment against the coronavirus,” said Ado Shaibu, secretary general of his party, Alliance for Change and Transparency (ACT Wazalendo).

His wife and aides have also contracted the virus. The party said the condition of Hamad and his wife is improving.

This development comes days after Tanzania’s president provoked outrage when he urged health authorities to shun COVID-19 vaccines. Instead, he asked citizens to inhale steam to quash the virus''

Wacha wajifukize tu, hayo ni kama mafua tu!
 

Huenda itakuwa busara sn ikiwa mamlaka itatoka na kauli ya kiserikali juu ya jambo hili. Nimeona UTV wameiripoti kupitia Hamad Rashid Mohamed,inazidisha utata na hasa ikizingatiwa unyeti wa jambo lenyewe. Hata hivyo Mh.Rais alishasema tuendelee kuchukua hatua za kujikinga,so pengine hatuhitaji sn kusubri tamko la serikali ikizingatiwa anayeongelewa hapa ni mmoja wa viongozi wa juu serikalini.
Tujikinge tu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…