Yaani malimau na tangawizi yawe msaada? Unadhani Covid 19 ni mafua ya kawaida?Sawa Sina akili,kwaiyo unataka watu wafanyeje? maana hata huko mnaowategeme awana dawa ya corona,hayo malimau unayoyadharau yameisha saidia wengi sana Ndio maana unaona kwetu corona sio tishio tena,ila jifunze kuandika vizuri.
Wewe mburula unajua maana ya serikali? Na unajua majukumu ya wizara ya afya? Kwa nini tulichagua Ccm iunde serikali?Watanzania tunajua kulaumu sana ... kwani kuna mtu amezuiwa kuchukua tahadhari ? MIPASHO MUNGI BONGO KWELI NYOSO
Wewe tunakufahamu ni mwimba mapambio kwa mahaba,Bila kujali uhalisia wa pambio tena kwa sauti ya juu kabisa.Wapi tena ndugu yangu? Mimi huwa sipindishi maneno kwenye fyongo.
Ngoja nicheke tu.Wewe tunakufahamu ni mwimba mapambio kwa mahaba,Bila kujali uhalisia wa pambio tena kwa sauti ya juu kabisa.
Hii nchi haina mtu anayeimiliki ni mali ya watanzania.Mwenye nchi ameshasema hakuna Corona Tanzania.
Cha msingi acheni propaganda kwenye gonjwa hili la hatari viongozi wenye dhamana wanyoonyeshe maelezo juu ya tahadhari zote muhimu na sio kujificha nyuma ya kichaka cha maombi.Watanzania tunajua kulaumu sana ... kwani kuna mtu amezuiwa kuchukua tahadhari ? MIPASHO MUNGI BONGO KWELI NYOSO
Hakuna mtu anaeitwa Ccm ... sema uliyemchaguaWewe mburula unajua maana ya serikali? Na unajua majukumu ya wizara ya afya? Kwa nini tulichagua Ccm iunde serikali?
Sasa kaa usubiri viongozi wakuambie ujilinde.Cha msingi acheni propaganda kwenye gonjwa hili la hatari viongozi wenye dhamana wanyoonyeshe maelezo juu ya tahadhari zote muhimu na sio kujificha nyuma ya kichaka cha maombi.
Hapo lazima dunia nzima itatushangaa na kutuona sisi ni watu wa ajabu kuwahi kutokea tangu kuumbwa kwa dunia kwani ni juzi tu tulikuwa tunaibeza Chanjo ya corona kwa kutangaza kuwa tupo salama na hatuna Korona kabisa alafu leo Hii Makamu wa Rais anakutwa na virusi vya korona
. Ni aibu ya mwaka
Ccm kama chama kilichaguliwa kushika dola.Hakuna mtu anaeitwa Ccm ... sema uliyemchagua
Kwani katiba inasemaje kuhusu SUK?Maalim Seif ni mpinzani, taarifa zozote za kumhusu zinataka kuleta taharuki kati ya Serikali na watu wake.
Tanzania hakuna corona.
Kwani katiba inasemaje kuhusu SUK?
Mimi sisubiri kuambiwa na kima yoyote yule wafikirie shangazi zako wa kule namtumbo ambao wanayumbishwa na maneno ya viongozi wenye dhamana.Sasa kaa usubiri viongozi wakuambie ujilinde.
Anataka aone wanakufa wengi.Unataka uone nini?
Wewe huna akili,ndio maana umekili ni mjinga.
Serikali ya Jiwe haitaki kuwajibika kwa watu wake. Jiwe anapenda mamlaka lakini hawathamini waliomchagua na ndio maana anaweka mkazo kwenye miradi inayomfaidisha kuliko maisha ya watu .INASHANGAZA SANA KWANINI WASIUTANGAZIE UMMA WA WATANZANIA TU KUWA JANGA LIPO ILI TUCHUKUE TAHADHARI ZOTE,WASIHOFU TUNACHOHITAJI NIKUAMBIWA KWELI NAWALA SIKUJIFUNGIA NDANI COZ GVNMT HAITAKI KUWAJIBIKA KWA WATU WAKE