Hauko sahihi mkuu, badili msimamo wako haraka kuhusu hili.Unafahamu kuwa Covid 19 inashambulia zaidi watu wenye uwezo na kipato kikubwa?
Mtanzania mwenye kipato cha 1600 kwa siku anajilinganisha na R7?NI ugonjwa wa kawaida ila HOFU NDO ITAWAMALIZA.
1.paul dybala aliumwa kapona.
2.rolnado aliumwa kapona.
3.mo salaah aliumwa kapona n.k
Kama Kinga zako za mwili NI DHAIFU lazma utaichukia Corona na kupanic.
Malimao yapo tangawizi zipo.
Chaguo ni lako.
Aibu sio kuugua Korona bali aibu ni pale unapojaribu kuficha ugonjwa kwa kujiaminisha na kuiaminisha dunia kuwa Taifa lipo salama wakati ugonjwa upo. UK wao wapo wazi kuwa ugonjwa kwao upo na ni hilo liko obvious MkuuAibu gani?
Hata waziri mkuu wa UK aliugua corona
Jifukizeni badala ya kusubiri lockdown
Sema pia na Mimi siwezikupata hiyo kitu.Maalim Seif ni mpinzani, taarifa zozote za kumhusu zinataka kuleta taharuki kati ya Serikali na watu wake.
Tanzania hakuna corona.
Sema pia na Mimi siwezikupata hiyo kitu.
Mtanzania mwenye kipato cha 1600 kwa siku anajilinganisha na R7?
Saivi nipo hospital nina mgonjwa wa covid19 hospital karibu zote kubwa hapa Dar mashine za oxy2zimejaa wangonjwa, manesi na madaktari wamevaa barakoa ila hawalazimishi watu kuvaa isipokuwa CCBRT.
Ugonjwa upo kwa kiasi kikubwa kuliko tunavyofikiria mgonjwa akifa unaambiwa ni "pneumonia" but its corona?
Kama huna mgonjwa ni rahisi.kukoment otherwise ila ukija muhimbili au ukaenda mloganzila nilipotoka mimj ndio utaelewa ukubwa wa tatizo.
Rais anajua ndio.maana amejificha chato kama alivyojificha mwaka jana ugonjwa ukipolipuka
Serikali ya Jiwe haitaki kuwajibika kwa watu wake. Jiwe anapenda mamlaka lakini kawathamini waliomchagua na ndio maana anaweka mkazo kwenye miradi inayomfaidisha kuliko maisha ya watu .
Akili yake inamtuma kuwa akikubali uwepo wa corona, serikali Itabidi utumie fedha nyingi kukabiliana na huo ugonjwa kwa kununua chanjo hivyo miradi yake kudorola!! Ndio maana anahimiza watu watu mie nyungu!!
Leo karudi dodoma sasa napo mtasemajeSaivi nipo hospital nina mgonjwa wa covid19 hospital karibu zote kubwa hapa Dar mashine za oxy2zimejaa wangonjwa, manesi na madaktari wamevaa barakoa ila hawalazimishi watu kuvaa isipokuwa CCBRT.
Ugonjwa upo kwa kiasi kikubwa kuliko tunavyofikiria mgonjwa akifa unaambiwa ni "pneumonia" but its corona?
Kama huna mgonjwa ni rahisi.kukoment otherwise ila ukija muhimbili au ukaenda mloganzila nilipotoka mimj ndio utaelewa ukubwa wa tatizo.
Rais anajua ndio.maana amejificha chato kama alivyojificha mwaka jana ugonjwa ukipolipuka
Kinacho sikitisha zaidi ni pale nionapo Viongozi wanatumia microphone ile ile kwenye mikutano na makongamano nimejaribu kulifatilia hili kwa muda mrefu - hakuna tahadhali yoyote inayo chukuliwa kusema kweli, hii inashangaza sana.
Easy say than done! Kama hukauguza ndugu wiki mbili hizi utasema unavyosema. Ila kesho njoo tutembelee hapa uone mamitungi ya oxygen yalivyojaa waodiniACHA TUFE..
Sisi sio wa kwanza kufa
Atajifungia ndani na kutoka kwa taimingi hasalimiani na watu kama zamaniLeo karudi dodoma sasa napo mtasemaje
Maalimu ameisha tweet huko kuwa anaendelea vizuri,kaisha piga malimau,kama sio mafua ya kawaida mbona Maalimu kapona na umli umeisha mtupa mkono sasahivi anaumli kuanzia miaka 75+ ,na wataamu wanasema umli ukisha kutupa ukipatwa na korona hauombi maji,huku kwetu africa korona ni mafuta ya kawaida tuYaani malimau na tangawizi yawe msaada? Unadhani Covid 19 ni mafua ya kawaida?
Hii ndio shida ya wapinzni wa Magufuli awataki kukubali ukweli,hapa mlikuwa mnapiga kelele kuwa Magufuli kakimbilia chato kukwepa corona,utafikiri chato ni mbinguni, Sasa karudi dodoma mnaaza kusema amekuja kujificha,hivi unafikiri Rais ni mtu wa kuzurura hovyo hovyo au anakutana na kila mtu anayetaka kumwona.Atajifungia ndani na kutoka kwa taimingi hasalimiani na watu kama zamani
Unashukuru nini? Maana hili gonjwa ni baya sana,alafu unachukulia poa.Najivunia kuwa MJINGA.
Nashukuru
Kwa nini usikae kimya kuliko kupost upumbavu unaokuvua nguo kuwa wewe ni mburula?WE KILAZA!
Tangu covid19 imeanza duniani.
Viongozi wangapi wa kitaifa na kimataifa?
wamepatikana na maambukizi ?
Seif ndio wa kwanza?
Kila siku mnasema tutapukutika,mbona hatuishi?
Acheni umalaya wa mitandao!
Hili janga halina mwenyewe ni la kidunia na sio vema kulitumia kisiasa humu JF.
Muulize Maxence mello ni hivi majuzi tu alikuwa serengeti yeye na gamilia yake.
Je ana tatizo lolote mpaka sasa?
Wewe kajilinde na familia yako na usikae kupiga kelele humu.
Kwani serikali ikitangaza ndio corona itakimbia?
Hoja kubwa ni kupinga kutoambiwa ukweli kuwa kuna maambukizi hapa nchini. Kama amepona ni jambo jema,lakini tukubali ukweli kuwa kuna maambukuzi hapa nchini.Maalimu ameisha tweet huko kuwa anaendelea vizuri,kaisha piga malimau,kama sio mafua ya kawaida mbona Maalimu kapona na umli umeisha mtupa mkono sasahivi anaumli kuanzia miaka 75+ ,na wataamu wanasema umli ukisha kutupa ukipatwa na korona hauombi maji,huku kwetu africa korona ni mafuta ya kawaida tu