Hoyeee, na bado enzi zetu tulienda zenji kwa passportNchi ya Tanzania imecheza na nchi ya Zanzibar...muungano oyeee
Dah....Hoyeee, na bado enzi zetu tulienda zenji kwa passport
Kashalipwa posho yakeJamani kama taifa tuna kazi ya kufanya kweeeeriiii kweeeeeriiii.
Wakati viongozi wakuu wa wizara zinazo husika na muungano wakiumiza vichwa kuimarisha muungano wa Tanganyika na Zanzibar bado kuna wabunge wanaharibu juhudi hizo.
Sikikizeni hapo ili kwa umoja wetu tunajadili. View attachment 2252519
Act ni wabaguzi kama wabaguzi wengineKwani ACT Wazalendo wao wanasemaje?
Nashukuru kwa kunirekebishaHuyo ni Mwakilishi na si Mbunge..
Ubaguzi ni kitu kibaya sanaHicho kicheko cha huyo sijui ndio moderator... mimi hoi.
Ila wazanzi wanavituko sana.
Umeonaeeee?Hoyeee, na bado enzi zetu tulienda zenji kwa passport
Jamani kama taifa tuna kazi ya kufanya kweeeeriiii kweeeeeriiii.
Wakati viongozi wakuu wa wizara zinazo husika na muungano wakiumiza vichwa kuimarisha muungano wa Tanganyika na Zanzibar bado kuna wabunge wanaharibu juhudi hizo.
Sikikizeni hapo ili kwa umoja wetu tunajadili. View attachment 2252519
Hajui kwamba raisi wake amesign blue economy na Mzungu hao changu, kolekole atawasikia tu mtaletewa kambale kwa kwenda mbele.
Kolekole ni wa Mzungu na Mchina meli kubwa za uvuvi za EU zinavua kila kitu mpaka watoto wa samaki wameruhusiwa, Magufuli (RIP) angekuwepo mngekula hao kolekole na changu, ila kwa sasa zoeeni tu kambale mpaka mshike adabu!
Sio wabaguzi! Na hasa ukiangalia suala zima la kambale hapa kisiwani.Ubaguzi ni kitu kibaya sana
Amewaita kuwa ni SAMAKI WA AJABU AJABU ina maana watanzania bara wanakula vyakula vya ajabu?Hakuna ubaguzi hapo, kasema wao hawajazoe kula hao samaki wa maji baridi