Jamaa mbaguzi sanaSio wabaguzi! Na hasa ukiangalia suala zima la kambale hapa kisiwani.
Ufugaji na uuzaji wa kambale bado ni kitu kigeni sana, na kwa wenyeji ambao hawajawaji kuvuka bahari ni jambo linalowastua sana!
Nenda kalale chato
Yaani ubaguzi hadi kwenye Misosi! Huyu Jamaa hatari sana!!Jamaa mbaguzi sana
Nimemsikiliza, amesema kitu gani kibaya?. Serikali ya Zanzibar imetenga billions of money kuanzisha ufugaji wa samaki Zanzibar. Samaki wanaofugika ni sato na kambale, Wanzanzibari hawali samaki hao, hivyo mradi huo ni kwa ajili ya wageni waishio Zanzibar, Mbunge huyo ana hoja ya msingi kabisa na haina tatizo lolote na huu muungano wetu adhimu.Jamani kama taifa tuna kazi ya kufanya kweli kweli.
Wakati viongozi wakuu wa wizara zinazo husika na muungano wakiumiza vichwa kuimarisha muungano wa Tanganyika na Zanzibar bado kuna wabunge wanaharibu juhudi hizo.
Sikikizeni hapo ili kwa umoja wetu tunajadili.
View attachment 2252519
Sijaona ubaguzi wowote hapo,ni Swala la kibiashara tu,unazalisha vipi kitu kisichokuwa na soko kwenye nchi yako?kama Kuna soko la nje la hao samaki Sawa,kwamba wazalishwe harafu wakauzwe nje,lakini kwanini wasiendeleze samaki wanaopatikana huko huko kama inawezekana?vile vile kama Kuna fulsa ya kuzalisha sato na kambale,Ili waingize pesa za kigeni,why not?Jamani kama taifa tuna kazi ya kufanya kweli kweli.
Wakati viongozi wakuu wa wizara zinazo husika na muungano wakiumiza vichwa kuimarisha muungano wa Tanganyika na Zanzibar bado kuna wabunge wanaharibu juhudi hizo.
Sikikizeni hapo ili kwa umoja wetu tunajadili.
View attachment 2252519
Huwezi kukiita chakula wanacho kula ndugu zako kuwa ni chakula cha HOVYO HOVYO.Sijaona ubaguzi wowote hapo,ni Swala la kibiashara tu,unazalisha vipi kitu kisichokuwa na soko kwenye nchi yako?kama Kuna soko la nje la hao samaki Sawa,kwamba wazalishwe harafu wakauzwe nje,lakini kwanini wasiendeleze samaki wanaopatikana huko huko kama inawezekana?vile vile kama Kuna fulsa ya kuzalisha sato na kambale,Ili waingize pesa za kigeni,why not?
HajitambuiMpuuzi mmoja
Kwanini akiite chakula wanacho kula ndugu zake wa upande wa pili wa muungano kuwa ni CHAKULA CHA HOVYO HOVYO?Mh! Sasa hapo Muungano au ubaguzi unaingiaje?
Ni kweli Zanzibar wamezoea Samaki wa baharini. Serikali kutenga mabilioni ya pesa kuwekeza kwenye mradi wa Samaki wa maji baridi inaweza kuwa matumizi mabaya ya rasirimali.
Kama bara wanafugwa na kupatikana Kwa wingi, kwanini wasisafirishwe kuuzwa Zanzibar kama solo lipo?
Binafsi sijaona jinsi ubaguzi na Muungano unavyoingia kwenye kauli ya Mheshimiwa.
Chakula anachokula ndugu yako kamwe huwezi kukiita ni chakula cha HOVYO HOVYO.Nimemsikiliza, amesema kitu gani kibaya?. Serikali ya Zanzibar imetenga billions of money kuanzisha ufugaji wa samaki Zanzibar. Samaki wanaofugika ni sato na kambale, Wanzanzibari hawali samaki hao, hivyo mradi huo ni kwa ajili ya wageni waishio Zanzibar, Mbunge huyo ana hoja ya msingi kabisa na haina tatizo lolote na huu muungano wetu adhimu.
Huyu jamaa ni Mhe. Hassan Hamisi Harish, ni Mwakilshi wa jimbo la Welezo, ni mzalendo sana msikilize hapo ni mzungumzaji wa pili katika video hii.
P
Ubaguzi mwingine huuWe don't need wachambawima please do more research.
Wazenji wanazarau sana,hata mapishi yetu ya bara wanayaona ni ya hovyo hovyo Kama vile tunachemsha tu nakula,lakini wao hawachemshi bali wao ndiyo wanapika chakula Safi!!!Chakula anachokula ndugu yako kamwe huwezi kukiita ni chakula cha HOVYO HOVYO.
Huo ubaguzi uusemao mbona sijauona?Jamani kama taifa tuna kazi ya kufanya kweli kweli.
Wakati viongozi wakuu wa wizara zinazo husika na muungano wakiumiza vichwa kuimarisha muungano wa Tanganyika na Zanzibar bado kuna wabunge wanaharibu juhudi hizo.
Sikikizeni hapo ili kwa umoja wetu tunajadili.
View attachment 2252519
Kwanini akiite chakula wanacho kula ndugu zake wa upande wa pili wa muungano kuwa ni CHAKULA CHA HOVYO HOVYO?
Ukishafikia ngazi fulani ya uongozi lazima uwe na uchaguzi wa maneno ya kusema mbele ya jamii unayo iongoza.