Hili la mbunge baraza la wawakilishi kuwadharau samaki aina ya Kambale na Sato wa ziwa Victoria lisipite pasipo mjadala. Linatoa picha mbaya

Hili la mbunge baraza la wawakilishi kuwadharau samaki aina ya Kambale na Sato wa ziwa Victoria lisipite pasipo mjadala. Linatoa picha mbaya

Hajui kwamba raisi wake amesign blue economy na Mzungu hao changu, kolekole atawasikia tu mtaletewa kambale kwa kwenda mbele.

Kolekole ni wa Mzungu na Mchina meli kubwa za uvuvi za EU zinavua kila kitu mpaka watoto wa samaki wameruhusiwa, Magufuli (RIP) angekuwepo mngekula hao kolekole na changu, ila kwa sasa zoeeni tu kambale mpaka mshike adabu!
Huijui Zanzibar. Sikulaumu
 
Ubaguzi ni kitu kibaya sana
Ukeshakuwa na mtazamo wako wa awali ni vigumu kuelewa na hasa lugha ikiwa sio ya kuzaliwa. Kule Zanzibar watu 99 9% wanakula samaki wa maji chumvi. Ni kama ilivyo Mwanza ambao watu takriban 97% wanakula samaki wa maji baridi. Kumbuka: Huyu anazungumza kwenye Baraza la Wawakilishi la Zanzibar kuhusu Zanzibar.
 
Huijui Zanzibar. Sikulaumu

Haya wewe unayeijua nieleze iweje Kisiwa kilichozungwa na Bahari wale Kambale wa mtoni kwenye maji machafu au tu waletewe samaki wa kwenye mabwawa maji baridi ?
 
Ndiyo ni wa ajabu ajabu,sasa kama hatuwez kuwala na hawana ladha tueaiteje sheikh?? Kuleni wenyewe

Mtukufu mtume (saw) alipokuwa anakaribishwa kula chakula, kama alikuwa hapendi chakula fulani alichokaribishwa basi yeye alikula kidogo tu licha ya kwamba hakupenda chakula hicho, hapo lazima tujifunze adabu na heshima ya vyakula halali japokuwa wewe hupendi chakula hicho, usidharau chakula alichotupatia Allah kwani inawezekana ikatokea siku njaa ikakupiga kiasi kwamba hata hicho chakula cha "ajabu ajabu" ukakikosa na ukaishia kula nguruwe aliyeharamishwa.

Heshimu chakula halali japokuwa kwako wewe hukipendi kwani ni Allah ndiye aliyeleta hivyo vyakula.
 
Huo ubaguzi nashangaa watu wanalalamika
Wengi hatuli kambale na maisha yangu sijawahi kula na ni bara

Huo sio ubaguzi kwani kila watu wana utashi waI

Nakumbuka miaka ya nyuma sana tulikuwa tunatupa utumbo, makongoro na hata mapafu ya mbuzi
Na mpaka leo nyumbani hatuli utumbo wala kichwa wala mapafu
Huo unawezaje kuuita ubaguzi Labda kumbagua KAMBARE[emoji3][emoji23]
 
Unamshangaa hyo wakati wengine huyo kambare kwao ni haramu kabisa, wa sabato.

Au nguruwe, biblia inasema nruruwe ni najisi na mnafakamia. Mbona hamsemi biblia inawabagua?
Wewe tunakujua kuwa ni mbaguzi wa dini na unaichukia sana dini tofauti na uislm
 
Mtukufu mtume (saw) alipokuwa anakaribishwa kula chakula, kama alikuwa hapendi chakula fulani alichokaribishwa basi yeye alikula kidogo tu licha ya kwamba hakupenda chakula hicho, hapo lazima tujifunze adabu na heshima ya vyakula halali japokuwa wewe hupendi chakula hicho, usidharau chakula alichotupatia Allah kwani inawezekana ikatokea siku njaa ikakupiga kiasi kwamba hata hicho chakula cha "ajabu ajabu" ukakikosa na ukaishia kula nguruwe aliyeharamishwa.

Heshimu chakula halali japokuwa kwako wewe hukipendi kwani ni Allah ndiye aliyeleta hivyo vyakula.
Nakupongeza kwa kutoa somo la uadilifu.
 
Unamshangaa hyo wakati wengine huyo kambare kwao ni haramu kabisa, wa sabato.

Au nguruwe, biblia inasema nruruwe ni najisi na mnafakamia. Mbona hamsemi biblia inawabagua?
Mbona wewe unaitamani sana kiti moto?
 
Nashindwa kuelewa tofauti zao hao wawili ...msaada please
Almost the same... tofauti hawa wapo Zanzibar!

Kumbuka kuwa Zanzibar kuna wabunge , ambao hawana nafasi kwenye Baraza la Wawakilishi.

Usishangae sana... ndio aina ya muungano wetu.
 
Mbona wewe unaitamani sana kiti moto?
 
Wewe tunakujua kuwa ni mbaguzi wa dini na unaichukia sana dini tofauti na uislm

Haitakusaidia kitu wewe ajuza
 
Back
Top Bottom