MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
-
- #21
Nakupa A kwenye lugha umeifanyia vyema,
Tz SGR Imeshafikia 50% kama ukiamua usione hatua walizofikia huwezi kuona ndio...
Sasa ukisema Jpm hajafanya kitu ntakushangaa sana maana mradi wa miaka mitatu hauwezi kuisha chini ya miaka 3..
Raisi mwenyewe ndio anajaza mwaka wake wa nne October na sgr awamu ya kwanza inakua tayari November. ..
MK254 mwakani wakati anamalizia awamu ya kwanza reli itakua imeshafika DODOMA ambazo ni 722km Za reli Ila umbali halisi wa Dar -Dom kwa barabara ni 450 km
Taarifa za kwamba mumefika 50% huwa zinatoka kwako, sijawahi kuziona sehemu yoyote rasmi, lakini hata hivyo kwa mwaka mmoja uliosalia ni dhahiri hii reli hamtaitumia kwenye kampeni za mkulu kama alivyofanya rais Uhuru, kasafiri kwa treni ya SGR kutoka Mombasa hadi Nairobi akifanya kampeni, safu yote ya 500km aliijenga ndani ya awamu yake ya kwanza.
Anyway nawatakia kila la heri ila muache kubabaika kwa masuala ya SGR ya Kenya na mkopo wa Mchina, mnaiongelea hata kuwazidi Wakenya ilhali mnapotoshana wenyewe na kuongopeana.