Hili la mkopo wa SGR hebu tuwekane sawa na MaCCM maana naona nyie ndio mumeumia sana

Hili la mkopo wa SGR hebu tuwekane sawa na MaCCM maana naona nyie ndio mumeumia sana

Nakupa A kwenye lugha umeifanyia vyema,
Tz SGR Imeshafikia 50% kama ukiamua usione hatua walizofikia huwezi kuona ndio...
Sasa ukisema Jpm hajafanya kitu ntakushangaa sana maana mradi wa miaka mitatu hauwezi kuisha chini ya miaka 3..
Raisi mwenyewe ndio anajaza mwaka wake wa nne October na sgr awamu ya kwanza inakua tayari November. ..
MK254 mwakani wakati anamalizia awamu ya kwanza reli itakua imeshafika DODOMA ambazo ni 722km Za reli Ila umbali halisi wa Dar -Dom kwa barabara ni 450 km

Taarifa za kwamba mumefika 50% huwa zinatoka kwako, sijawahi kuziona sehemu yoyote rasmi, lakini hata hivyo kwa mwaka mmoja uliosalia ni dhahiri hii reli hamtaitumia kwenye kampeni za mkulu kama alivyofanya rais Uhuru, kasafiri kwa treni ya SGR kutoka Mombasa hadi Nairobi akifanya kampeni, safu yote ya 500km aliijenga ndani ya awamu yake ya kwanza.
Anyway nawatakia kila la heri ila muache kubabaika kwa masuala ya SGR ya Kenya na mkopo wa Mchina, mnaiongelea hata kuwazidi Wakenya ilhali mnapotoshana wenyewe na kuongopeana.
 
wacha kutulisha matango pori. miaka minne ndio sasa munafika 50% kisha baada ya miezi sita inayokuja (Nov) mutakua munapokea nini wakati miaka minne sasa hamuelewekieleweki
Kwani shida yako nn?subiri November
 
Taarifa za kwamba mumefika 50% huwa zinatoka kwako, sijawahi kuziona sehemu yoyote rasmi, lakini hata hivyo kwa mwaka mmoja uliosalia ni dhahiri hii reli hamtaitumia kwenye kampeni za mkulu kama alivyofanya rais Uhuru, kasafiri kwa treni ya SGR kutoka Mombasa hadi Nairobi akifanya kampeni, safu yote ya 500km aliijenga ndani ya awamu yake ya kwanza.
Anyway nawatakia kila la heri ila muache kubabaika kwa masuala ya SGR ya Kenya na mkopo wa Mchina, mnaiongelea hata kuwazidi Wakenya ilhali mnapotoshana wenyewe na kuongopeana.
Hufuatulii sasa ulitegemea kupata taarifa kwa style gani? TRC ndio wamesema ujenzi umefikia 50% sio taarifa zangu
 
Jamaa umeadimika, nilifikiria uhamiaji wamekushtukia.....
Huu mjadala wa mambo ya mkopo wa Mchina kweli umewagusa penyewe ikiwa hata wewe umechomoza kichwa.
Kabisaa Huyu jamaa kapotea sijui Bando taabu
Cc MOTOCHINI
 
Nakumbuka nikiwa shule ya msingi, somo la GHC mwalimu alinifunza kutumia nyuzi kupima urefu wa barabara iliyo na corners. Hivi kina geza ulole hawajui kitu cha msingi kama hicho?
SGR nbi to mbsa ni 500km.
 
Uzuri wa Tanzania maendeleo kila kona, JPM akienda mahali lazima vitu vitatu vitokee kwa mpigo kuzindua kiwanda, hospitals, barabara kila mkoa kila wilaya, so far Tanzania ndio inaongoza ukanda huu kwa mtandao mkubwa wa barabara za lami zenye viwango

JPM 2020 wala hana muda wa kupanda jukwaani

Mchina kawakata ngebe kikatili [emoji16][emoji16][emoji16]
Mchina Mungu akuweke
Jamaa wamepanic
kinacho nishangaza et Kanyimwa SGR ila Kapewa yakukarabati Kitu cha mkoloni
Yaani hadi chamkoloni Unaomba!!
Mnauchumi gani
Magu anajenga SGR ya umeme Kesh pesa yetu yabila mkopo
Pia anarekebisha Njia ya Mkoloni Bila taabu
Jamaa hawana uwezo wa Kujenga hata 1Km kwa pesa yao!!
 
Sawa
Hatukuoni Jf Tukajua Labda Umekubwa na Janga fulan
Sasa et haupo Tanzania niwapi hakuna Internet Au Kijijini Unalima
Elewa Sipo Tanzania Mada iishie hapo
IMG-20190429-WA0002.jpeg
IMG-20190429-WA0001.jpeg
 
Back
Top Bottom