babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Uzuri wa Tanzania maendeleo kila kona, JPM akienda mahali lazima vitu vitatu vitokee kwa mpigo kuzindua kiwanda, hospitals, barabara kila mkoa kila wilaya, so far Tanzania ndio inaongoza ukanda huu kwa mtandao mkubwa wa barabara za lami zenye viwango
JPM 2020 wala hana muda wa kupanda jukwaani
Tembelea uzi wa sgr ya TZ na keLol hebu lete aerial view ya hiyo reli yenu.
Jipange urudi tenaNakumbuka nikiwa shule ya msingi, somo la GHC mwalimu alinifunza kutumia nyuzi kupima urefu wa barabara iliyo na corners. Hivi kina geza ulole hawajui kitu cha msingi kama hicho?
SGR nbi to mbsa ni 500km.
Hapo nimekusoma Kaka
ππππ Taifa fukara na mufilisi kama Kenya halina uwezo hata wa kukwangua kutu kwenye rail ya mkoloni kwa pesa zake lenyewe, juzi JPM katoa down payments ya hundreds of millions of USD almost 800 billion kwa mkandarasi wa stiglierz pesa ya ndani hiyoJamaa wamepanic
kinacho nishangaza et Kanyimwa SGR ila Kapewa yakukarabati Kitu cha mkoloni
Yaani hadi chamkoloni Unaomba!!
Mnauchumi gani
Magu anajenga SGR ya umeme Kesh pesa yetu yabila mkopo
Pia anarekebisha Njia ya Mkoloni Bila taabu
Jamaa hawana uwezo wa Kujenga hata 1Km kwa pesa yao!!
Sie wewe ulie kuwa unaomba Picha ya 1km leo hii umekimbilia 200km TenaYani magu ameshindwa kabisa na km200 hadi morogoro na vile mnapiga kelele kila siku. tuusan weka aeriel view ya hiyo 50% complete ama ukubali hiyo ni kiki tu.
Sie vijana wapo kazini Kufufua Reli ya Mkoloni ya kati na ile ya Tanga na wala hatuna taabu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Taifa fukara na mufilisi kama Kenya halina uwezo hata wa kukwangua kutu kwenye rail ya mkoloni kwa pesa zake lenyewe, juzi JPM katoa down payments ya hundreds of millions of USD almost 800 billion kwa mkandarasi wa stiglierz pesa ya ndani hiyo
Wao wamebebana Ikulu yote na upinzani wote kwenda China kulilia vijipesa vya kufufua rail ya mkoloni, kweli hii dharau ya karne
ππππ Mbona wataelewa showTell them maana macho yao yamezoea story za kutunga na kuona bad news, wanajuaga sijui chuki chuki zao zitavuka border [emoji23][emoji23][emoji23]
ππππ Taifa fukara na mufilisi kama Kenya halina uwezo hata wa kukwangua kutu kwenye rail ya mkoloni kwa pesa zake lenyewe, juzi JPM katoa down payments ya hundreds of millions of USD almost 800 billion kwa mkandarasi wa stiglierz pesa ya ndani hiyo
Wao wamebebana Ikulu yote na upinzani wote kwenda China kulilia vijipesa vya kufufua rail ya mkoloni, kweli hii dharau ya karne
ππππ Hawajui kama tumefufua mpaka rail ya Uganda kwa pesa yetu wenyewe wala sio deni, kipande cha kutoka port bell mpaka Kampala almost 30 kilometres ni serikali ya Tanzania ndio imekitengeneza kwa pesa yake, hilo walijueSie vijana wapo kazini Kufufua Reli ya Mkoloni ya kati na ile ya Tanga na wala hatuna taabu
Vidume na Milingoti yao Wima kwa mwanaume mwenzie kuomba Dunia Gunia
Huwa nawaeleza Uchumi wao Wakenya upo kwenye makaratasi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hawajui kama tumefufua mpaka rail ya Uganda kwa pesa yetu wenyewe wala sio deni, kipande cha kutoka port bell mpaka Kampala almost 30 kilometres ni serikali ya Tanzania ndio imekitengeneza kwa pesa yake, hilo walijue
Huwa nawaeleza Uchumi wao Wakenya upo kwenye makaratasi
Umeshakula kwanza? Usije ukanifia hapa nikabambikiwa murder case πππSasa Dangagiza sijui tutaliitaje. LIINCHI masikini kuliko Haiti. Ptaah
Hiyo tofauti hipo kwenu tu!! Mbona hujamsema mwenzako alivyo sema Dar-Moro ni km 200kuna tofauti kati ya distance ya barabara na railway line
Nimesema elimu yako ni fupi kijana.Shuleni mnakwenda kusomea nini haswa, maana mawazo yenu huwa hayaendani na elimu...
Mkondo wa reli haufuati wa barabara https://www.businessdailyafrica.com...pc-complete/4003122-5032960-v964n9/index.html
Na wewe shule ulienda kunywa uji! Dar-Moro inakuwaje 200kmShuleni mnakwenda kusomea nini haswa, maana mawazo yenu huwa hayaendani na elimu...
Mkondo wa reli haufuati wa barabara https://www.businessdailyafrica.com...pc-complete/4003122-5032960-v964n9/index.html