Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Hii habari ambayo inawataka wanasiasa wapeleke hotuba zao wazipitie kabla ya kuzitoa kwenye majukwaa, inania ya kukomaza demokrasia au kuifuta demokrasia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Polisi wanatimiza maelekezo toka CCM ili hotuba za wapinzani zipelekwe CCM kabla hawajawhutubia wananchi ili zifanyiwe marekebisho.Na huku jf na mitandai mingine watakuwa wanafanya the same? Hawa Polisi wanasumbuliwa na kuto kuwa na shule, na wenye shule wote ni wanatumia vyeti vya ndugu zao. hili ndio Tatizo.
Social media zipo? kwanza mikutano ya hadhara inaelekea kupitwa na wakatiPolisi wanatimiza maelekezo toka CCM ili hotuba za wapinzani zipelekwe CCM kabla hawajawhutubia wananchi ili zifanyiwe marekebisho.
Ukitoa hotuba ambayo haijapitiwa na Polisi utakamatwa.Wanasiasa wengi wa upinzani hutoa hotuba zao vichwani bila kuandika popote, hata wakipewa hotuba za kuandikwa mara nyingi huishia kutokuzisoma na kusema zaidi yaliyopo vichwani mwao. Sijui polisi watapiga marufuku hotuba zilizopo vichwani?
Hata ukitumia mitandao bado ni hotuba, hivyo utalazimika kupeleka Polisi wakipitie kwanza unachotaka kuandika kwenye mtandao, usipofanya hivyo ni kosa.Social media zipo? kwanza mikutano ya hadhara inaelekea kupitwa na wakati
Huenda mimi ndio sijaelewa ila kama nimekuelewa basi huyo aliyeagiza hivyo ni mpumbavu.Hii habari ambayo inawataka wanasiasa wapeleke hotuba zao wazipitie kabla ya kuzitoa kwenye majukwaa, inania ya kukomaza demokrasia au kuifuta demokrasia?
Sooner or later watu wataitaka Nchi yao.Bado hawajajifunza kusoma alama za nyakati au watu wa zama hizi wanawadekeza.Haki haiombwi.
Watuambie wao vichwa maji wanataka tuandike Insha tuwapatie waikague ilihali shule walizengua huu utakuwa ufala.Huenda mimi ndio sijaelewa ila kama nimekuelewa basi huyo aliyeagiza hivyo ni mpumbavu.
Hakuna hotuba ya kuandikwa katika mikutano ya hadhara, hotuba inatoka kichwani, sifa kuunya mwanasiasa ni kuweza kuitwka hadhara kwa ushawishi kutoka kichwani kwako na siyo kuandikiwa.
Hii habari ambayo inawataka wanasiasa wapeleke hotuba zao wazipitie kabla ya kuzitoa kwenye majukwaa, inania ya kukomaza demokrasia au kuifuta demokrasia?
Huenda mimi ndio sijaelewa ila kama nimekuelewa basi huyo aliyeagiza hivyo ni mpumbavu.
Hakuna hotuba ya kuandikwa katika mikutano ya hadhara, hotuba inatoka kichwani, sifa kuunya mwanasiasa ni kuweza kuitwka hadhara kwa ushawishi kutoka kichwani kwako na siyo kuandikiwa.
Ukitoa hotuba ambayo haijapitiwa na Polisi utakamatwa.
Polisi wanatimiza maelekezo toka CCM ili hotuba za wapinzani zipelekwe CCM kabla hawajawhutubia wananchi ili zifanyiwe marekebisho.
Hii ni dalili ya mwisho kabisa ya kushindwa kwa Jeshi la Polisi, tangu lini Watu wanaopiga kampeni za kwenye mikutano ya hadharani hotuba zao zikawa zimeandikwa?Bado hawajajifunza kusoma alama za nyakati au watu wa zama hizi wanawadekeza.Haki haiombwi.
Mliona hotuba ya Msigwa aliyoandikiwa aisome alipohamia CCM, tulimcheka bila kujua kuwa ule ulikuwa utambulisho wa siku zijazo.Hii ni dalili ya mwisho kabisa ya kushindwa kwa Jeshi la Polisi, tangu lini Watu wanaopiga kampeni za kwenye mikutano ya hadharani hotuba zao zikawa zimeandikwa?
Wenye nchi yao wanataka wakuandikie ili wakupunguzie stress, wewe jukumu lako ni kusoma tu, mbona Msigwa aliandikiwa na akaweza kuisoma japo alibabaika kidogo.Huenda mimi ndio sijaelewa ila kama nimekuelewa basi huyo aliyeagiza hivyo ni mpumbavu.
Hakuna hotuba ya kuandikwa katika mikutano ya hadhara, hotuba inatoka kichwani, sifa kuunya mwanasiasa ni kuweza kuitwka hadhara kwa ushawishi kutoka kichwani kwako na siyo kuandikiwa.
JF mbona washaanza. Kuna mods wana kazi ya kufuta comments wanazohisi zinakinzana na maoni yao binafsi, hata kama si za kichochezi ama kudhalilisha.Na huku jf na mitandai mingine watakuwa wanafanya the same? Hawa Polisi wanasumbuliwa na kuto kuwa na shule, na wenye shule wote ni wanatumia vyeti vya ndugu zao. hili ndio Tatizo.
Where we dare to talk openly haipo tena.JF mbona washaanza. Kuna mods wana kazi ya kufuta comments wanazohisi zinakinzana na maoni yao binafsi, hata kama si za kichochezi ama kudhalilisha.
Maxence Melo kuweka public staff yako imeleta matatizo, maana sasa baadhi yao kwa kujua wanajulikana basi wanaingiza itikadi zao binafsi kwenye maoni huru ya wachangiaji kwa matumaini ya teuzi kutoka kwa wale wanaohisi wanawatetea.
Imekuwa kama watangazaji wa radio na tv na kuonyesha dhahiri mirengo yao ya kisiasa in hopes of kupewa teuzi za kisiasa.
Nahisi hata hii comment aidha itafutwa au nitalimwa ban.