Hili la Polisi kuruhusiwa 'kuwanyanganya' silaha majambazi na kupandishwa vyeo limekaaje?

Hapa lazima kukumbuka ushauri wa JK, akili za kuambiwa changanya na zako. Ni wawanyonge au la? changanya sasa

 
Unajua kwa nidhamu ya uoga walio nayo hawa jamaa,kila agizo/neno wanalo sikia kutoka kwa mkuu wao huwa wanahisi kama wametumwa watekeleze yaani hapo sheria weka pembeni kwao wana tafsiri kama amri.Si umeona mfano wa jamaa yule mpaka yupo nondo baada ya tamko la pale maktaba udzm.
 
Kama kweli kayasema hayo maneno basi sina shaka jiwe hazimtosh kabsa
 
Lugola aling'aka kuhusu mbwa. Akajibiwa "Sisi tunafanya kazi kwa uchunguzi bila kukurupuka"
 
Tutarajie madudu zaidi kutoka kwa polisi wetu ..Kimsingi polisi hatakiwi kuua, hata jambazi unless jambazi aamue mapambano ya silaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…