Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ndugu yangu unafikiri watu wakiacha kuheshimu utawala wa sheria hao polisi watasurvive masaa mangapi kitaa?Majambazi chadema mjiandae
Ningelikusema, basiMajambazi chadema mjiandae
Wakuu habari za leo?
Nimemsikia Mh Rais wakati akizungumza na Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo yandani kuwa endapo askari polisi akifanikiwa kumuua mtuhumiwa wa ujambazi basi yeye hataki kusikia eti askari wake amewekwa mahabusu kwajili ya uchunguzi. Amemtaka IGP kumpandisha cheo na kumpatia zawadi zingine ikiwemo kumuongezea mshahara wake badala ya kumsweka rumande kwa uchunguzi.
Je ni sahihi kwa Mkuu wa nchi kutamka maneno yale tena hadharani??
Kila mara tumekuwa tukiwalalamikia Polisi kwa kuwabambikizia kesi raia vp kwa maneno yale kweli Mh Rais ni Mtetezi wa Wanyonge au ndiye kitanzi kwa Wanyonge??
kweli kabisa .wanao ambiwa wapime na kauli zake ilimradi siyo amri .askari utaamua kuua halafu anarudi kuishi na hao hao raia mtaaniMuda mwingine anajitamkia tu kila kinachomtokea mdomoni. Wanaoambiwa ndio wanatakiwa watafakari
Hivi mnafikiri na sisi tukianza kujibu .mapigo mnafikiri mtalala kwa usalama mkiua mpinzani eti kwa kumsingizia kuwa ni Jambazi na sisi tunamuondoa kiongozi wenu muhimu ambaye mnamtegemea ili roho ziwaume mpaka heshima iwarudie.Majambazi chadema mjiandae
Kama kweli kayasema hayo maneno basi sina shaka jiwe hazimtosh kabsaWakuu habari za leo?
Nimemsikia Mh Rais wakati akizungumza na Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo yandani kuwa endapo askari polisi akifanikiwa kumuua mtuhumiwa wa ujambazi basi yeye hataki kusikia eti askari wake amewekwa mahabusu kwajili ya uchunguzi. Amemtaka IGP kumpandisha cheo na kumpatia zawadi zingine ikiwemo kumuongezea mshahara wake badala ya kumsweka rumande kwa uchunguzi.
Je ni sahihi kwa Mkuu wa nchi kutamka maneno yale tena hadharani??
Kila mara tumekuwa tukiwalalamikia Polisi kwa kuwabambikizia kesi raia vp kwa maneno yale kweli Mh Rais ni Mtetezi wa Wanyonge au ndiye kitanzi kwa Wanyonge??
Hiyo ICC unaijua majukumu yake au unatamka tu?Huyu atapelekwa ICC, haya yanawekwa kwenye records!
Tutarajie madudu zaidi kutoka kwa polisi wetu ..Kimsingi polisi hatakiwi kuua, hata jambazi unless jambazi aamue mapambano ya silaha.Wakuu habari za leo?