Hili la Polisi kuruhusiwa 'kuwanyanganya' silaha majambazi na kupandishwa vyeo limekaaje?

Kweli Tanzania tumepatikana, kichaa anatamka lolote linalomjia, ni bora asisafiri akae hapa atatutia aibu nje huyu.
Mtanyooka tu awamu hii mlizoea reremama!!
 
Kauli ya rais inakatisha tamaa juu ya haki za binadamu!hapo ina maana polisi hata akimpuga risasi mpenzi wake kwa wivu wa mapenzi hana kesi.KATIBA MPYA NDIO SOLUTION YA HAYA YOTE
 
Kauli ya rais inakatisha tamaa juu ya haki za binadamu!hapo ina maana polisi hata akimpuga risasi mpenzi wake kwa wivu wa mapenzi hana kesi.KATIBA MPYA NDIO SOLUTION YA HAYA YOTE
Hopeless comments
 
Makosa yalifanyika ile siku ya jumapili tarehe 25/10/2015 wakati wa kupiga kura kuchagua rais
 
Ndio maana aliyemuuwa AQWILINA yupo huru...
polisi nyongaaa
ila na nyinyi mkiua tena ndugu zetu mjiandae, maana mmepanga hukuhuku kwenye miji yetu..
jitoeni ufahamu kwa ajili ya mshahara mlitumikie kafiri !
 
Alaaniwe WA awamu ya 3
 
Mleta mada ni mpumbavu! Hujaelewa alichosema!

Ifike hatua moods, kama mtu akileta habari kama hizi alete na video ili kuthibisha alicholeta maana upotoshaji ni mwingi sana humu siku hizi
 
Ahaha siku hizi majambazi nao ni wanyonge?
Ua kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…