Hili la Prof. Assad kumaliza kipindi chake limekaa kisiasa zaidi na siyo kisheria

Kipindi hiki tunawaomba waKaskazini, Waislamu na wapinzani mtusamehe kwakuwa tuko bize tunaijenga nchi
 
logic fails you miserably. does he believe in everything the present government says? if no, then you must be a hopeless imbecile. you have written to let us know that there's one nincompoop in the name of Babel!
Hahahahaha it's funny...
 
Lugha ya kisheria huijui wewe dada!! Tulia dawa iwaingie sawasawa. Mchangie pesa akafungue kesi mahakamani.
 
Aisee wakuu,naona kabisa katiba imekiukwa. Yaani kila nikisoma hizo sections watu wanazotupia hewani, kichwa kinapata moto. Joto ni kali sana.
Kichwa kitaungua kabisa hiyo lugha inahitaji wataalamu wa lugha ya kisheria siyo nyumb mkuu. Pole!!
 
Nchi hii Imepata mharibifu kweli anafanya massive abuse of power openly.
 

Jamani, tusiwe tu tunataka kuleta ubishi mahali usipokuwepo. Uteuzi wa CAG si wa maisha. Katika kipindi chake cha miaka mitano hawezi kuondolewa na mtu yeyote isipokuwa kwa taratibu zilizowekwa kumuondoa au kuondoka. Ikipita miaka mitano anaweza (eligible) kuteuliwa tena kwa miaka mingine mitano. Asipoteuliwa hawezi kudai "niteueni tena"!
 
Kwa serikali hii kuvunja katiba Ni kawaida sana, tatizo wabunge wanafiki hasa Wa upinzani wameshindwa hata kutumia bunge kumshitaki rais kwa kuvunja katiba wanalalama tu.
 
Je kulikuwa na sababu za msingi kumng'oa Assad?
Assad hajang'olewa, bali miaka yake mitano ilifikia ukomo, na hakuwa re appointed ili kusubiria umri wa miaka 60.

Katika uteuzi huu mpya, JPM amefanya kama walivyomfanyia Tido pale TBC, mkataba ulipoisha tuu, akateuliwa. Kikawaida muda wa mkataba wenye reappointiment extention, ukifika, kama huna nia ya kumpa extension, anatakiwa kuwa notified in writing 28 days prior to due date.
Prof Assad has never been notified.

Huyo ndiye JPM.
P
 
Hii kitu imekaa vibaya. Kwa kifupi ni kwamba JPM kamtumbua Assad kwa sababu anazozijua mwenyewe. CAG hajastaafu kwani bado hajagonga 60 years. Inaleta ukakasi sana kama JPM ana nia ya dhati kabisa ya kupambana na wizi wa fedha za Umma
Hahaha achana na JPM afanye kazi yake..tafuta na wewe urais utimize matakwa yako.. Kila kitabu na zama zake. Unadhani urais mchezo. Pambana na wewe jomba..wananchi asilimia 90 tupo nyuma ya Magufuli na tunakubaliana na anayofanya...
 
Tunataka waimba mapambio wa kusifu na kuabudu, otherwise unatolewa kwenye nafasi yako.
 
Hivi mkuu utawaweza hao nyumb kwa ubishi?
 
Nchi hii Imepata mharibifu kweli anafanya massive abuse of power openly.
Leo mmeibukia wapi..Kama Kuna massive abuse of power si mwende mahakamani mkatafute tafsiri ya sheria inasemaje..acheni ukibaraka mmetumwa na m..a..b.w..a.na zenu sasa naona...nendeni mjipange kivingine. Hii mbinu imefeli
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...

Wanataka yale yanayowapendeza wao...


Cc: mahondaw
Na wengine wanatumiwa tu..wamekuwa watumwa wa matumbo yao..wabinafsi. hawajali maisha ya majority ambao ni watu wa hali ya kipato Cha chini na wanataka kupata vipngozi wanaowajali
 
Tunaomba kujua hiyo sehemu uliyonukuu hicho kifungu
Katiba inasema atatumikia miaka mitano na anaweza kuteuliwa miaka mitano mingine. Kuteuliwa kipindi cha pili ni mapenzi ya mteuaji.
 
Sasa Yale yanayohusu mavyama vyetu mbona hujayataja..Yale mabilioni yaliyofisadiwa huku kwenye vyama vya upinzani..kwanini hamuyataji hayo ambayo ya ukweli mnarukia Mambo ambayo hayana hata ushahidi..Mambo ya kutunga..na mlaaniwe mnaopindisha ukweli kuwa uongo na uongo kuwa ukweli..sisi wananchi ili mradi ukweli tunaujua sasa hatudanganyiki Tena...tafuteni gia nyingine
 





Watu wangu mtaangamia kwa kukosa maarifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…