Hili la Prof. Assad kumaliza kipindi chake limekaa kisiasa zaidi na siyo kisheria

Mkuu hiyo Katiba unayo peke yako?
 
Pasco umekuwa bush lawyer siku hizi
Unajua maana ya neno "shall" kwenye context ya kisheria?
Najua unajua ila siku hizi akili zako zimepotelea kwenye kunyemelea uteuzi
Mkuu Nyabhingi, ile "shall" ya pale imetumika kama preposition ya subject to eligibility. Mteuzi halazimishwi kumteua tena. Presidential appointments is at his pleasure, kama ilivyo kwa mgombea urais, the term ya urais ni miaka mitano but shall be eligible for re election, haimaanishi lazima aendelee but ni subject ya kuteuliwa tena na chama chake. Jee unajua kikatiba, kisheria, kikanuni na kiutaratibu, sio lazima Magufuli ndiye ateuliwe kuwa mgombea wa CCM mwakani, ila kwa CCM, huo ndio utaratibu wao.
P
 
Mkuu karibu unapatia ila umechemka, Ni hivi CAG ili aondoke madarakani lazima kwanza atimize miaka ya kustaafu 60, pia lazima atumikie vipindi vya miaka mitanomitano kama term ya kwanza inaisha kabla ya umri Wa kustaafu.kwa Mfano Assad alipaswa kuongezewa term ya pili kwa vile hajatimiza umri Wa kustaafu.ila angemaliza kipindi cha pili rais angeweza kumuongezea angetaka au lah.
 
Duh, nimeamini wanasheria wanapindisha maneno duh.hongera Mkuu.lakini uteuzi utapata tu.
 
Hakuna sehemu katiba imesema lazima aongozewe miaka mitano. Soma vizuri sentence ya kwanza. Imeweka wazi kabisa C.A.G atahudumu kwa fixed term ya miaka mitano and shall be eligible, hapa maana yake incase mamlaka ya uteuzi ikiona Kuna haja ya kuendelea inaweza kumteua kwa miaka mingine mitano. Period!
 

Sasa hii early retirement emu fafanua vizuri huwa kisheria aliyekuteua ndo ana mamlaka kukustaafisha mapema akitaka au Prof. Assad mwenyewe tuseme alipeleka maombi ya kustaafu mapema??

Nyoosha vizuri kwa kifungu hadi kifungu ili tusiojua tufumbue macho angalau.,
 
Eligibility hapo imemaanisha vigezo gani?vitaje..
Usinichefue na mifano ya ccm(angalizo)
 
Rudi kwenye katiba kuhusu suala la CAG maana hilo la vipindi vya Urais ulilotuwekea hapo umelitoa kwenye katiba. Sasa wewe unachukua upande mmoja wa kwenye katiba unalinganisha na upande mwingine wa kanuni. Katiba ilinganishe kwa katiba tafadhali.
 
Nendeni EU mkuu. Kama raundi ile.
Hakuna UE wajibu wetu Ni kumuhoji MTU tuliyeingia naye mkataba Wa kulinda katiba yetu, mbaya zaidi aliapa kwa kutumia biblia ila kakiuka.kwa mtazamo wangu huu Ni usaliti kwa taifa letu pendwa.
 
Hakuna UE wajibu wetu Ni kumuhoji MTU tuliyeingia naye mkataba Wa kulinda katiba yetu, mbaya zaidi aliapa kwa kutumia biblia ila kakiuka.kwa mtazamo wangu huu Ni usaliti kwa taifa letu pendwa.
Wewe si ulichagua chadema?
 
Tafsiri sahihi ya hiyo Ibara ni kuwa,

Baada ya kumaliza muda wake wa Miaka mitano, ataweza kuteuliwa tena kwa kipindi kisichozidi miaka mingine mitano.

Sio sahihi kuweka ulazima wa uteuzi wa miaka mingine mitano baada ya mitano ya awali kuisha.

ILA, kuondoka kabla ya miaka mitano, taratibu za kisheria lazima zifuatwe, ibara hiyo, imeainisha namna.
 

CAG si mkuu wa mkoa ambaye unaweza kumbadilisha every 5 years. Kazi yake inahitaji uhuru na uhakika wa kibarua chake ile aweze kuifanya kiuadilifu. Kama hii ni precedent basi hii ofisi it's as good as dead.

Hii ni sababu katika historia hakuna CAG aliyekaa miaka mitano na kuondoka kabla ya retirement age.

Unatumia "may" in place of "shall" kuelezea appointment ya CAG ukijua vizuri kabisa tofauti kubwa tu kati ya "shall" na "may" kisheria.

Let's serve the country, not "a" man!
 
60 au 65?
 

Labda Kwa sababu "NCHI ILIYOPATA MAENDELEO FEDHA HAINA SAMANI" jamaa anamkwanja Sana atakuwa anadharau report Kwa sababu ni story "FEDHA KUINGIA KWENYE MZUNGUKO"
 

Labda Kwa sababu "NCHI ILIYOPATA MAENDELEO FEDHA HAINA SAMANI" jamaa anamkwanja Sana atakuwa anadharau report Kwa sababu ni story "FEDHA KUINGIA KWENYE MZUNGUKO"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…