Hili la Prof. Assad kumaliza kipindi chake limekaa kisiasa zaidi na siyo kisheria

Anae teua wenzie na yeye mwisho wake ni miaka 5 (mwakani) baada ya hapo akajiajiri, mapori yapo mengi tu
 
Mbona neno la kawaida tu. Kuwa Anaweza ongezewa muda. Siyo Lazima kuongezewa.
 
You must be the first one in the list..I can assure you

Utakua na kichaa mkuu

Maana siamini chochote cha hii regime

Na premise ya sentensi yangu ni kwamba lazima uwe unaamini regime inachokisema ndio unakua idiot!

Mimi sijaamini,halafu unasema wa kwanza kua idiot ni mimi,nimeamini hii serikali lini mpaka useme hivyo!?

Akili umeweka matakoni?
 
Na umri Wa kustaafu vipi? Umri Wa kustaafu Ni miaka 60 Na CAG Assad kwa sasa ana 58.

Tena angekuwa kwenye kazi yake ya Ukufunzi angestaafu akiwa na umri wa miaka 70 kwa sheria ya sasa!

Madaktari na wakufunzi wanastaafu at 70 years old vinginevyo mtu afanye kuomba kustaafu kwa hiyari yake!
 
Mbona neno la kawaida tu. Kuwa Anaweza ongezewa muda. Siyo Lazima kuongezewa.
Huo muda anaongezewa akishatimiza umri Wa kustaafu Na rais akipenda.kwa Assad bado hajafika huko alipaswa kuendelea.Hill ni lazima sio hiari ya rais ni hitaji la kikatiba.
 
Huyu anayekuja aanzishe utaratibu wa kukagua doc online, huu utaratibu wa NAO kwenda halmashauri kukaa mwezi unaitia serikali hasara. Halmashauri ziwe zinatuma doc.online zinakaguliwe unatandikwa query zako unajibu na kufuta huko huko online
Mhh kama hardcopy tu utunzaji wake sheeeda seuze softcopies?
 
Naomba nitumie mfano wa Rais.

1. Article 33(1) inasema There SHALL BE a president of United Republic. 'Shall be' ikikaa peke yake maana yake ni lazima Rais wa Jamhuri awepo.

2. Article 40(1) inasema President SHALL BE ELIGIBLE for re-election. Ukiona eligible imekaa mbele ya 'shall be', maana yake inampa haki Rais aliyepo madarakani kuchaguliwa kwa mara pili lakini siyo lazima achaguliwe kwa mara pili.

Sasa tukija kwa CAG, Public Audit Act inasema CAG shall be eligible for renewal, kitendo cha kuweka 'eligible' mbele ya 'shall be', maana yake CAG ana haki ukiteuliwa mara ya pili lakini siyo lazima achaguliwe.

Asanteni
 
Huo mfano wako unakosa uhalali kwa sababu Rais hateuliwi, huchaguliwa. CAG hashindani na mtu, huteuliwa. Shall be eligible for renewal ni kwamba labda jambo pekee linaloweza kuzuia asiendelee kuwa CAG ni ukosefu wa sifa kama ilivyooanishwa kwenye Katiba. Ama kafikisha umri wa miaka 65 au kashindwa kazi kwa sababu mbalimbali na hii ya pili ina taratibu zake. Hizo taratibu hazijafuatwa.
 
Ingempendeza Raisi angeweza kumpa mkataba mwingine (CAG alikuwa eligible na hajafikisha 65). Raisi hana uwezo huo kama CAG anamaliza mhula wake wa pili au amefikisha miaka 65 (CAG inabidi aachie ofisi).
 
Tumia akili wewe,CAG yupo kwa mujibu wa katiba na si mamlaka au utashi wa mtu fulani....Kama Kamati ya "MADILI",kinga na madaraka ya bunge yametoa recommendation ya kumfukuza CAG basi ilitakiwa iundwe tume kwa mujibu wa katiba imeelezea taratibu za kufata.
 
Hicho kifungu cha CAG ulichokiandika mbona hukuweka "reference" tukisome kwa ukamilifu wake?

Soma namba 7 hapo halafu fata "reference" iliyowekwa hapo uje uweke vifungu vyake.

Huu mchezo hautaki haraka.
 
We mjinga katiba haijaongelea hilo
Katiba imesema CAG ataaachia nafasi akifikisha miaka 60/65
Assad kafikisha huo umri?
Halafu unajoita ifrs nipe namba yako yako pale NBAA kama ni GA,ACPA au FCPA
unaandika kama kilaza flani
Acha jazba, nadhani imejieleza maana si lazima aongezewe muda (eligibility)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…