Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Nimemsikia Waziri wa Nishati Mh January Makamba alisema, wizara yake imepanga kufumua mfumo mzima wa Gridi ya Taifa. Anadai wataweka vifaa vipya. Hii hujumuisha pia Sub stations ya vituo vidogo vya uzalishaji umeme.
Hii gharama ya kuufumua mfumo itakuwa kubwa mno. Atakayeumia ni mlipa kodi, sio Waziri wala Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO.
January anautaka urais 2030 na hata 2025 ikibidi na hilo lipo wazi. Je ana nia njema ya kutupatia umeme wa uhakika au ana agenda yake nyuma?
Mimi pia Sina nia mbaya na mpango huu, ila nahisi Jambo