Hili la TANESCO kufumua mfumo mzima wa Gridi ya Taifa, halina dalili za upigaji?

HALINA - HA = ____________ (Now Yo Know It !!!)
 
Nimemsikia Waziri wa Nishati Mh January Makamba alisema, wizara yake imepanga kufumua mfumo mzima wa Gridi ya Taifa. Anadai wataweka vifaa vipya. Hii hujumuisha pia Sub stations ya vituo vidogo vya uzalishaji umeme.

Hii gharama ya kuufumua mfumo itakuwa kubwa mno. Atakayeumia ni mlipa kodi, sio Waziri wala Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO.

January anautaka urais 2030 na hata 2025 ikibidi na hilo lipo wazi. Je ana nia njema ya kutupatia umeme wa uhakika au ana agenda yake nyuma?

Mimi pia Sina nia mbaya na mpango huu, ila nahisi Jambo
Mkuu hakuna ubaya wa kufumua na kuisuka upya miundo mbinu ya umeme.
Ni kupunguza au kuondoa breakdown za mara kwa mara sababu ni nyingi tu kwa mfano njia za kusambaza umeme haziendani na matumizi yanayo ongezeka kila kukicha(overloaded).
Lakini maboresho hayo yafanyike kwa awamu,na yazingatie uwepo wa fedha,mkandarasi makini na mbobezi, vipuli au vifaa vyenye kiwango,bila kusahau msimamizi hodari kila hatua ya ujenzi.
 
Makamba alipoingia aliomba siku 20 tatizo liwe historia ajabu ndiyi likaongezeka mara dufu
 
Baadhi ya watanzania mnapenda sana kulalamika. Kwa kifupi hamna jema wala hamsomeki. Hauhitaji PhD kubaini kwamba hatua za kufumua na kusuka upya gridi ya Taifa haliepukiki na limekuja wakati muafaka. Watanzania kuweni optimistic, so far JM is doing great job with outstanding performance. Tatizo letu tunakaririshana chuki.
Amekutuma umtetee?
 
Atawekwa na system nyuma yake kuna Maza, JK, Kinana, Rostam na wapiga dili wengine
System mavi!!! Hiyo system ilishindwa kumweka Membe na Magufuli kuambulia kura za hasira za waliokatwa. Ndivyo itavyokuwa kwa January Makamba.
 
Mkuu hakuna ubaya wa kufumua na kuisuka upya miundo mbinu ya umeme.
Ni kupunguza au kuondoa breakdown za mara kwa mara sababu ni nyingi tu kwa mfano njia za kusambaza umeme haziendani na matumizi yanayo ongezeka kila kukicha(overloaded).
Lakini maboresho hayo yafanyike kwa awamu,na yazingatie uwepo wa fedha,mkandarasi makini na mbobezi, vipuli au vifaa vyenye kiwango,bila kusahau msimamizi hodari kila hatua ya ujenzi.
Ukimsoma Makamba anataka hili lifanyike haraka Sana na hela kuidhinishwa hata kwa mpango wa dharura kunusuru uchumi. Shida ipo hapo. Mipango Ni mingi mno, yeye kaja na Mwingine. Ana ajenda gani?
 
Kil serikali huja miradi ya kuneemeka. Wako kazini
 
Nyerere Hydroelectric inalamba Trillion 6.5

Ukarabati Gridi ya Taifa inalamba Trillion 1.

Juzijuzi hapa wamesema wanafanya ukarabati kinyerezi 2 bilions of money wamekula!

Yule mhindi aliempa mkataba nae sijui yuko wapi! Kwani alipewa kazi gani? Au bado anafanya mobilization?
Hatujui hata Sasa anapiga ishu gan
 
Nimemsikia Waziri wa Nishati Mh January Makamba alisema, wizara yake imepanga kufumua mfumo mzima wa Gridi ya Taifa. Anadai wataweka vifaa vipya. Hii hujumuisha pia Sub stations ya vituo vidogo vya uzalishaji umeme.

Hii gharama ya kuufumua mfumo itakuwa kubwa mno. Atakayeumia ni mlipa kodi, sio Waziri wala Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO.

January anautaka urais 2030 na hata 2025 ikibidi na hilo lipo wazi. Je ana nia njema ya kutupatia umeme wa uhakika au ana agenda yake nyuma?

Mimi pia Sina nia mbaya na mpango huu, ila nahisi Jambo

Ma -Deal ya kukusanya fedha za kampeni 2025!
 
Wewe huwa haununui nguo mpya? Kwahiyo mahitaji yanapo ongezeka waendelee na mifumo ile ile isiyotoshelezi.
 
Back
Top Bottom