Hili la TANESCO kufumua mfumo mzima wa Gridi ya Taifa, halina dalili za upigaji?

Nimemsikia Waziri wa Nishati Mh January Makamba alisema, wizara yake imepanga kufumua mfumo mzima wa Gridi ya Taifa. Anadai wataweka vifaa vipya. Hii hujumuisha pia Sub stations ya vituo vidogo vya uzalishaji umeme.

Hii gharama ya kuufumua mfumo itakuwa kubwa mno. Atakayeumia ni mlipa kodi, sio Waziri wala Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO.

January anautaka urais 2030 na hata 2025 ikibidi na hilo lipo wazi. Je ana nia njema ya kutupatia umeme wa uhakika au ana agenda yake nyuma?

Mimi pia Sina nia mbaya na mpango huu, ila nahisi Jambo
Huyu anatafuta hela ya kugombea urais atatuletea hasara kabisa. Mpango wake ni upigaji tu. Eti anatuambia grid ni ya kufumua. Hatuwezi kuja na mipango na mahitaji ya kila waziri.
Niulize swali, je huu mpango uko kwenye ilani ya ccm au amezusha januari na maharage wake?
Grid ifanyiwe ukaguzi na kufanyiwa matengenezo 'maintanance' au ukarabati kwa sehemu mbovu. Huu wazimu wa kufumua grid yote ni ubadhilifu tu kufaidisha mahitaji binafsi ya wapigaji.
 
Nimemsikia Waziri wa Nishati Mh January Makamba alisema, wizara yake imepanga kufumua mfumo mzima wa Gridi ya Taifa. Anadai wataweka vifaa vipya. Hii hujumuisha pia Sub stations ya vituo vidogo vya uzalishaji umeme.

Hii gharama ya kuufumua mfumo itakuwa kubwa mno. Atakayeumia ni mlipa kodi, sio Waziri wala Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO.

January anautaka urais 2030 na hata 2025 ikibidi na hilo lipo wazi. Je ana nia njema ya kutupatia umeme wa uhakika au ana agenda yake nyuma?

Mimi pia Sina nia mbaya na mpango huu, ila nahisi Jambo
Makamba ni shetani anapiga pesa za 2030
 
Huyu anatafuta hela ya kugombea urais atatuletea hasara kabisa. Mpango wake ni upigaji tu. Eti anatuambia grid ni ya kufumua. Hatuwezi kuja na mipango na mahitaji ya kila waziri.
Niulize swahi, je huu mpango uko kwenye ilani ya ccm au amezusha januari na maharage wake?
Grid ifanyiwe ukaguzi na kufanyiwa matengenezo 'maintanance' au ukarabati kwa sehemu mbovu. Huu wazimu wa kufumua grid yote ni ubadhilifu tu kufaidisha mahitaji binafsi ya wapigaji.
january Makamba njoo huku ujibu maswali
 
Lakini huenda mama ndo amebariki maana yeye ndo rais
 
Hayo ni maandalizi ya kuandaa tenda za upigaji, wataandaa makampuni yao wenyewe na kujipa tenda wenyewe.
Na hivyo ndivyo ilivyo michongo sio kwenye PhD tu kazi km hizi michongo ipo wanapigiana pande na kampuni bubu
 
Niulize swahi, je huu mpango uko kwenye ilani ya ccm au amezusha januari na maharage wake?
Jibu

Bwana February Marope na Maharage Kande walikaa chini wakazusha huo mchongo haupo kwenye ilani ya chama.
 
Baadhi ya watanzania mnapenda sana kulalamika. Kwa kifupi hamna jema wala hamsomeki. Hauhitaji PhD kubaini kwamba hatua za kufumua na kusuka upya gridi ya Taifa haliepukiki na limekuja wakati muafaka. Watanzania kuweni optimistic, so far JM is doing great job with outstanding performance. Tatizo letu tunakaririshana chuki.
 
Huyo mtu wako 'credibility' yake ni sufuri kabisa.

Haya mambo ya gridi kuwa mbovu yalianza lini; na wote waliowahi kuwa huko Tanesco hawakujuwa chochote kuhusu hiyo gridi kuwa mbovu?
Mipango ya serikali mtu anakaa chini na kuota kama ndoto? Hiyo ni serikali ya aina gani!
 
Kwanza sasahv kuna mgao wa umeme maeneo mengi na hakuna taarifa yyte juu ya hili kimya kimya.
 
Huyo waziri hajui anachoongea na kashajua watanzania hawaelewi kinachoendelea,
Kufumua grid nzima it's insane kwakweli kwanza kila plant,substation, na distribution lines zinafanyiw maintenance na ndo kazi ya artisan na technician
Nimemsikia Waziri wa Nishati Mh January Makamba alisema, wizara yake imepanga kufumua mfumo mzima wa Gridi ya Taifa. Anadai wataweka vifaa vipya. Hii hujumuisha pia Sub stations ya vituo vidogo vya uzalishaji umeme.

Hii gharama ya kuufumua mfumo itakuwa kubwa mno. Atakayeumia ni mlipa kodi, sio Waziri wala Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO.

January anautaka urais 2030 na hata 2025 ikibidi na hilo lipo wazi. Je ana nia njema ya kutupatia umeme wa uhakika au ana agenda yake nyuma?

Mimi pia Sina nia mbaya na mpango huu, ila nahisi Jambo
 
Huyo waziri hajui anachoongea na kashajua watanzania hawaelewi kinachoendelea,
Kufumua grid nzima it's insane kwakweli kwanza kila plant,substation, na distribution lines zinafanyiw maintenance na ndo kazi ya artisan na technician
10% mzee 10% inapiganiwa kivyovyote punda afe mzigo ufike
 
Back
Top Bottom