Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Nimeshutukia hilo. Nchi hii hakuna anayetujali.Hayo ni maandalizi ya kuandaa tenda za upigaji, wataandaa makampuni yao wenyewe na kujipa tenda wenyewe.
Hayo ni maandalizi ya kuandaa tenda za upigaji, wataandaa makampuni yao wenyewe na kujipa tenda wenyewe.
Kila kitu ni mchongo babuNimeshutukia hilo. Nchi hii hakuna anayetujali.
Huyo mwanasheria aweza kuwa sehemu ya mpango haramuWalisema mkataba uko kwa Mwanasheria Mkuu kabla hawajausaini.
Wafumue tuwe na grid hata 4 ili tusijekaa gizani
Mwanzoni aliomba vituo vidogo vyote vijengwe upya kakubaliwa, leo anautaka mfumo mzima nchini ufanyiwe mageuzi.Mfumo huo uliopo una changamoto zipi zisizo tatulika mpaka kufumua mfumo mzima?
Alafu dili zake zimeenda shule, hushirikisha wataalam wa kila nyanja. Unakumbuka Nishati Safi?Kila ninapotafakari deal za February naona kabisa historia ya waziri wa nishati kupigwa pingu inaweza kujirudia.
Ndiyo hapo panapoibua Shaka.Mfumo huo uliopo una changamoto zipi zisizo tatulika mpaka kufumua mfumo mzima?
Mwanzoni aliomba vituo vidogo vyote vijengwe upya kakubaliwa, leo anautaka mfumo mzima nchini ufanyiwe mageuzi.
Nasikia kuna harufu ya upigaji inanukia.. sijasema kwa nia mbaya lakini.Je ana nia njema ya kutupatia umeme wa uhakika au ana agenda yake nyuma?
huchonga mzingaMlamba asali halambi mara moja, wahenga walisema