Hili la TANESCO kufumua mfumo mzima wa Gridi ya Taifa, halina dalili za upigaji?

Kipara hajui anachokiongea, TANESCO wana enjoy waziri pamoja na MD hawana wanalokijua kuhusu umeme, wanalishwa matango pori kama yote, na bahati mbaya mengine wanayoropoka hadharani 🤣🤣.

Labda ni mambo ya "scratch my back", si unajua 2025 iko karibu!
 
Kuna wapendwa na wateule, wapendwa ni Nape, Riz1,Mwezi wa Kwanza hawa msitegeemee kama wataguswa ila wateule ndio wataendelea kubadilishwa kila siku.

Cha msingi wale biashara zao zinazo tumia majenereta nunueni Majenereta, ila huko mbali hali itakuwa ya hovyo.
 
jamaa utadhani hawatakufa, mikakati yaupigaji tu hamna lolote kila siku nyimbo hizo hizo za kukatika umeme itakua historia kumbe wanajipigia tu dah!
 
January ni mzee wa 20%
 
Sema wakati mwingine Rais wetu kipenzi cha wote awe makini na watendaji wake, asiwaachie uhuru kupitiliza tusirudi kwa akina epa na Richmond
Yaani kila Waziri saivi anaruhusiwa kubuni mradi. Huko ndiko upigaji huanzia.
 
Mods unganisha huu uzi
 
Hui nchi ni bhana..kuna sehemu mwaka jana mwanzoni walikuwa wanabadilisha nguzo za umeme za zamani kuweka mpya walitumia mwezi mzima hiyo operation...miezi mitano mbele wanachkmoa zile wanaweka nguzo za zege
Alafu supplier ni huyohuyo na kalipwa kwa awamu zote.
 
Hivi Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO si Engineer wa umeme?
 
Maandalizi ya uchaguzi 2025. Kuna watu wanajipanga kubaki madarakani hata iwe kwa kununua kura moja kwa 1bn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…