Hili la TANESCO kufumua mfumo mzima wa Gridi ya Taifa, halina dalili za upigaji?

HALINA - HA = ____________ (Now Yo Know It !!!)
 
Mkuu hakuna ubaya wa kufumua na kuisuka upya miundo mbinu ya umeme.
Ni kupunguza au kuondoa breakdown za mara kwa mara sababu ni nyingi tu kwa mfano njia za kusambaza umeme haziendani na matumizi yanayo ongezeka kila kukicha(overloaded).
Lakini maboresho hayo yafanyike kwa awamu,na yazingatie uwepo wa fedha,mkandarasi makini na mbobezi, vipuli au vifaa vyenye kiwango,bila kusahau msimamizi hodari kila hatua ya ujenzi.
 
Makamba alipoingia aliomba siku 20 tatizo liwe historia ajabu ndiyi likaongezeka mara dufu
 
Amekutuma umtetee?
 
Atawekwa na system nyuma yake kuna Maza, JK, Kinana, Rostam na wapiga dili wengine
System mavi!!! Hiyo system ilishindwa kumweka Membe na Magufuli kuambulia kura za hasira za waliokatwa. Ndivyo itavyokuwa kwa January Makamba.
 
Ukimsoma Makamba anataka hili lifanyike haraka Sana na hela kuidhinishwa hata kwa mpango wa dharura kunusuru uchumi. Shida ipo hapo. Mipango Ni mingi mno, yeye kaja na Mwingine. Ana ajenda gani?
 
Kil serikali huja miradi ya kuneemeka. Wako kazini
 
Hatujui hata Sasa anapiga ishu gan
 
Hivi unamuonaje yule jamaa "aliye pale juu"?!!
Ni hataree weka mbali na watoto!
 

Ma -Deal ya kukusanya fedha za kampeni 2025!
 
Wewe huwa haununui nguo mpya? Kwahiyo mahitaji yanapo ongezeka waendelee na mifumo ile ile isiyotoshelezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…