Mimi sipingi kauliMtu aliyewahi kuishi nje kauli ya mama ni nzuri sana ila kwa mtanzania ambaye hajawahi kuishi nje anaweza kupingana na mama.
Kweli kaka. Umeongea point.Mtu aliyewahi kuishi nje kauli ya mama ni nzuri sana ila kwa mtanzania ambaye hajawahi kuishi nje anaweza kupingana na mama. Muingiliano wa watu kutoka mataifa tofauti huchochea uchumi.
DefinetlyMtu aliyewahi kuishi nje kauli ya mama ni nzuri sana ila kwa mtanzania ambaye hajawahi kuishi nje anaweza kupingana na mama. Muingiliano wa watu kutoka mataifa tofauti huchochea uchumi.
Mimi sipingi kauli
Natamani iwepo clarification..
Je wageni waajiriwe bila kujali idadi?
Au usimamizi uwepo kama enzi za JK..
Marekani haijajengwa na wazawa. Canada haijajengwa na wazawa, South africa haijajengwa na wazawa. Wageni wanachochea ukuaji wa uchumi.Mimi sipingi kauli
Natamani iwepo clarification..
Je wageni waajiriwe bila kujali idadi?
Au usimamizi uwepo kama enzi za JK..
Kabisa. Kuwepo kwa wageni wengi hakumfanyi mtanzania mwenye sifa kukosa kazi. Wageni waje tu wafanye kazi. Haya mambo ya kusema wageni wanachukua kazi za wazawa ni ufinyu wa mawazo tu.Hata bila idadi ni sawa long as wanalipa kodi
Nikimnukuu Rais kasema mtu akiomba vibali vya kazi apewe sababu ndo watu Mwekezaji 'anaowaamini'.
Binafsi sina shida kabisa na hili iwapo tutafuata sheria zinavyotaka...
Sheria inasema muwekezaji anaruhusiwa kuja na wageni hadi watano akija na uwekezaji wake... wengine atattakiwa kuajiri wazawa..
Hii sheria haina shida iwapo inafuatwa
Na sheria inasema iwapo kutakuwa na nafasi ambayo hakuna mzawa anaiweza anaruhusiwa kuongeza mgeni Kwa nafasi hizo...
Nahofia kauli ya Rais Samia inaweza tafsiri kuwa sasa ni ruksa kuajiri wageni as many as you want...bila idadi
Ni vizuri Mama akashauriwa kutoa maelekezo Kwa mujibu wa sheria
Mbona wageni hawakuwepo na ajira kwa watanzania hazikuwepo? Sheria ya vibali vya kazi ilibana lakini ajira zenyewe hata kwa watanzania hazikuwepo (hazipo).Ni eneo ambalo kauli yake italeta shida. Issues za vibali ilikuwa tatizo zito! Asiturudishe kule, ndio Inawezekana kwenye udhibiti kuna mipaka ilivukwa yafanyiwe marekebisho lakini namna alivyozungumza tatizo la vibali kutoka kama pipi kwa mangi litarudi.
Kwa ufupi zipo sheria nzuri za vibali tusisitize ifuatwe! Malalamiko kwa baadhi ya hatua zilizochukuliwa na awamu iliyopita lazima yangekuwepo maana zilikuwa ni hatua mpya.
Mama awe makini asichomekewe agenda na watu waliochangia kuvuruga mfumo wa ajira nchini.
Inafika mahali tunajificha humo em tujihoji tunao utaalamu na taaluma?! Weka hisani pembeni tuimajin ajira zinagombewa tu na EA nzima are we competent? Kuna mda unaangalia wenzetu wanatoboa huko china kufundisha mpk unaliaKabisa. Kuwepo kwa wageni wengi hakumfanyi mtanzania mwenye sifa kukosa kazi. Wageni waje tu wafanye kazi. Haya mambo ya kusema wageni wanachukua kazi za wazawa ni ufinyu wa mawazo tu.
Siyo hiyo tu mkuu, kuna mpaka usecretary, mm najua kwa mtu asiyejua hawezi kukuelewaHuna akili wewe.
Yani mtu atoke China aje kufanya kazi ya Procurement bongo ? Hivi huwa mnatumia akili za miguuni kufikiri?
Wewe unaweza kwenda kufanya kazi ya HR south Africa au Rwanda ? Muwe mnasoma na miongozo ya ajira ya nchi zingine ikoje sio mnaandika pumba.
Kuna kazi za Wazawa lazima zilindwe kwa namna yoyote. Muwekezaji anakuja na experts tu ila wafagizi na kazi zingine lazima wawe Wazawa.