Hili la vibali vya kazi Rais ashauriwe zaidi

Karibu kuwa mwelewa kidogo ndugu yangu sijasema na sintosema JPM ndio Kila kitu ninachosema kwa kaulia ya mama tunarusi kule kule kwa mlinzi wa getini kutoka uingereza na dereva wa Dumpa kutoka South Africa kwa kisingizio ni mwekezaji. Mnaweza kwenda Botswana na kisha fanya Kama mama anavyoaema ndio utanielewa
 
Hivi vibali vya Kazi imekuwa kama unaomba viza ya kwenda USA hawa jamaa wa wizara ya Kazi ni jipu, mbona wenzao wa uhamiaji ukienda wanatoa fasta vibali vya ukaazi kwani tatizo lipo wapi, Kale kamama ka uhamiaji kamewabana kisawasawa uhamiaji.
 
Wakija hapa hao Dr au lawyers tuna wa subject to it ? Au hao wahasibu
Sijui unanielewa.
Na zaidi ya hapo kama tunasema hatuna hao wataalamu au mwekezaji hamwamini mbongo, sasa iweje sisi tumwamini yeye.

Kuna key areas ambazo ninaweza kukubali anapoanza uwekezaji, lakini baada ya miaka kadja anatakiwa awe amepata mtu wa kuweza kufanya kazi yake e.g. Uhasibu, au Chef kwenye Hotel .
Au ikiwa kiwandani au kwenye processing industry after say 3 years wabongo kwa kuona watakuwa bado hawa huo ujuzi wa kazi na nidhamu
 
Wakija hapa hao Dr au lawyers tuna wa subject to it ? Au hao wahasibu
Sijui unanielewa.
Na zaidi ya hapo kama tunasema hatuna hao wataalamu au mwekezaji hamwamini mbongo, sasa iweje sisi tumwamini yeye.

Kuna key areas ambazo ninaweza kukubali anapoanza uwekezaji, lakini baada ya miaka kadja anatakiwa awe amepata mtu wa kuweza kufanya kazi yake e.g. Uhasibu, au Chef kwenye Hotel .
Au ikiwa kiwandani au kwenye processing industry after say 3 years wabongo kwa kuona watakuwa bado hawa huo ujuzi wa kazi na nidhamu
Jobs in Japan for foreigners can be difficult to come by, and when it comes to jobs in Japan, employment opportunities don't just leap out at you. But once you know a little more about the job industry here, it becomes much easier and more straightforward.21 Mar 2019
 
Kaka yetu macho
 
Sheria nyingi kandamizi zimetungwa kulenga Mtu au taasisi fulani, na pia kuchochea chuki na ubaguzi uliobatizwa ‘mabeberu wanatunyonya na uzalendo’! Kama sheria hizi kandamizi zingezingatiwa na nchi zote duniani Watz tungeweza kupata ajira yoyote nje ya mipaka yetu? Dunia ya utandwazi ni kijiji kimoja, tunaoleana na kufanya kazi popote, almradi sheria zinafuatwa!
Kusema ukweli kwa miaka michache iliyo pita kumekua na imani potofu ya kujiona Sisi ni wa-kipekee! Eti vita za kiuchumi, na ubaguzi uliopitiliza! Wawekezaji wengi wamenyimwa vibali na hivyo kufukuza wawekezaji wengi pasipo na sababu za msingi!
 
Na hakuna mwekezaji anataka kuajiri mtanzania huo ndio ukweli
Top Jobs Among All Immigrants
  • Plasterers and Stucco Masons.
  • Sewing Machine Operators.
  • Drywall Installers, Ceiling Tile Installers, and Tapers.
  • Agricultural Workers.
  • Tailors, Dressmakers, and Sewers.
  • Maids and Housekeeping Cleaners.
  • Pressers, Textile, Germanet, and Related Materials.
  • Taxi Drivers and Chauffeurs.
Itabidi na sisi hapa tuagizie wakurugenzi wa mashirika ya umma na mawaziri
 
Migrants choose locations with available jobs and fill labor shortages. Whether high- or low-skilled, migrants rarely substitute directly for native workers. Instead, migrants often complement native workers or accept jobs that natives don't want or can't do.
 
Siyo hiyo tu mkuu, kuna mpaka usecretary, mm najua kwa mtu asiyejua hawezi kukuelewa
Hata angekua mfagizi, kila Mtu anaajiri Mtu anayeelewana naye na anamfaa kwa kazi yake! Serikali haitakiwi kuingilia hili, bali kudhingatia kwamba huyu mwajiriwa kakidhi vigezo, na kalipia kibali cha kazi na uhamiaji katimiza vigezo!
South Africa, wazawa ni wavivu kwa hizi kazi ndogo ndogo na wanataka malipo makubwa, wahamiaji wa nchi zetu za 3rd world wana piga kazi hizo na kwa bei Pouwa, wazawa wana-mind! Mnapo jadili haya mambo vaeni viatu vya wawekezaji pia!
Kisha kuna mashirika ya dini, wamissionary, na taasisi za kujitolea, wanaendesha mashule na kutoa misaada kibao, unawafukuza! Mzawa gani ataendesha kitua cha watoto yatima? Kwa mtaji upi?
 
Mimi sijui hiyo lugha yako bhana, lakini we are not talking about only jobs! We are talking about diplomacy and globalization! We need to go abroad, so we must accept those migrants, you are talking about! Sawa Bwana August?
 
Kabisa. Kuwepo kwa wageni wengi hakumfanyi mtanzania mwenye sifa kukosa kazi. Wageni waje tu wafanye kazi. Haya mambo ya kusema wageni wanachukua kazi za wazawa ni ufinyu wa mawazo tu.
Lazima ajira za wazawa zilindwe.Hata Kwenye soka kuna Idadi inayoruhusiwa. Pia uwekwe Utaratibu mwenyeji awe analipwa zaidi kuliko mgeni kama wanafanya kazi ya aina moja.
 
Lazima ajira za wazawa zilindwe.Hata Kwenye soka kuna Idadi inayoruhusiwa. Pia uwekwe Utaratibu mwenyeji awe analipwa zaidi kuliko mgeni kama wanafanya kazi ya aina moja.
Kila Mtu alipwe kulingana na capacity yake ya kazi, siyo ulete uzawa wakati kiutendaji huna sufficiency! Kama unproduce quality unastahili ulipwe vizuri, otherwise wageni wafanye kazi!
 
Sheria iko wazi baadhi yetu tunajadili bila kujua sheria, sheria inamtaka mwekezaji aje na watu wasiozidi watano ila kqma kuna nafasi hakuna mzawa mwenye ujuzi anaruhusiwq kuja na watu wake lakini awe na mpango wa kuandaa watanzania wapate ujuzi ili wageni hao wqkiondoka watanzania washike hizo nafasi.
Faida mojawapo ya uwekezaji ninkutoa ajira unapoanza kuruhusu ajira ovyo kwa wageni unaharibu dhana nzima ya uwekezaji.
 
Mimi sijui hiyo lugha yako bhana, lakini we are not talking about only jobs! We are talking about diplomacy and globalization! We need to go abroad, so we must accept those migrants, you are talking about! Sawa Bwana August?
Tunafanya diplomacy kila siku, na globalisation kwani sisi sio kisiwa , lakini kila nchi cha kwanza ni kulinda rasilimali zake na watu wake, ndio maana USA kila siku ana tombana na china . Hizi international politics inaonekana huzijuwi.
Au USA ku influence nchi za ulaya zisinunue gas toka Russia n.k
 
Kila Mtu alipwe kulingana na capacity yake ya kazi, siyo ulete uzawa wakati kiutendaji huna sufficiency! Kama unproduce quality unastahili ulipwe vizuri, otherwise wageni wafanye kazi!
Kama unapruduce quality unastahili ulipwe vizuri, otherwise wageni wafanye kazi???? Sijakuelewa vizuri labda ungetumia kama ni English tupu. Lazima uelewe sheria za kazi kati ya wazawa na wageni ziliwekwe kwa nia nzuri, umesahau kilichotokea Afrika Kusini!
 
SA kulikua na wazawa wavivu na wabinafsi wanaobagua Waafrica wenzao! Hawakua tayari kufanya kazi ngumu kwa bei rahisi, lakini wahamiaji walikua tayari!
Lakini kinachogomba hapa ni aina gani ya hizo sheria za kazi za wahamiaji! Unaweza kutetea wazawa sana, kama tu hauna kampuni na hulazimiki kuajiri au kufanya kazi na wahamiaji!
 
Ni kweli sizijui sana hizo International politics, kama unavosema, na kuna mambo ambayo hujui pia, ni ubinadamu wa kawaida! Lakini ujue tu kwamba nimewahi kuwa mhamiaji USA na Norway, na sasa hivi Nipo office ya uhamiaji ya mkoa, nafuatialia vibali vya kazi vya watenda kazi wenzangu kutoka nje ya Tz, bwana August !
 
Mafano mzuri tu ni hapa kwetu mikoa na wilaya haijengwi na wazawa wapale inajengwa na wageni wa kutoka sehemu nyingine
 
So does your statement make any sense of real what U what to explain to the wide world Bwana Uhamiaji.
Those who are working with U have followed the rules and regulations either being an investor himself or herself , or staff/ workers who have a special expertise, which most Tz they don't have or we can say there is a scarcity of such expertise.
Australia or Canada they point base system of immigration, all this have been created to manage immigration and the net effect of the immigration should have a positive effect on economy.
USA na hizo green card is nearly the same .
Lakini hapa Tz especially watu wa Bara la Asia wao watataka kuleta every one from their place , with the aim of undermining the locals , or creating an opportunity to their fellows , kwa western countries wao wanatumia those opportunity to transfer most of the profit , via mngt fees, , under declaration of sales, over pricing of their goods and services etc. So U should understand this ndio utaelewa kwanini watu wana sita kukubali hali hiyo.
Na for e.g. Mwl asinge manage umiliki wa Ardhi, sijui hali ingekuwaje. Sasa hivi vitu vinafanyika katika muktada wa kukuza uchumi, kuongeza ufanisi, social interaction, kulinda uhuru na uchumi wa Nchi.
 
Mafano mzuri tu ni hapa kwetu mikoa na wilaya haijengwi na wazawa wapale inajengwa na wageni wa kutoka sehemu nyingine
Lakini aliyejenga ni mtanzania mwenye haki ya kuwa pale, amasivyo tuseme tulikosea kuwaondoa wakoloni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…