Hili la Wachaga kutoajiriwa Serikalini na Taasisi za Umma awamu ya tano, Mbowe anadanganya umma?

Status
Not open for further replies.

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Namnukuu Mbowe

''Miaka mitano ya Hayati Magufuli ilikuwa ni miaka ya mateso kwa watu wa Kaskazini hususan Wachaga, ilifika wakati Magufuli akatoa maagizo ya Wachaga kutoajiriwa Serikalini na kwenye Taasisi za Umma''

Jamani, niweweka ushahidi ambapo mbowe amemutuhumu Magufuri kupendelea Wasukuma katika ajira nakuwafanya wasukuma wote kula keki ya nchi wakati wachaga waote walifukuzwa serikalini na kupoteza biashara.

Clip kama hii haiwezi kuchochea vita vya wasukuma na wachanga, mfano kama kwa sasa kuna msukuma ana ishi moshi vijiji au Dra Es Salaam katikati ya wachaga si wanaweza kuanza kumhujumu kwa kuwa ni Musukuma?
 
Mbowe ameathirika sana na taarifa za Kigogo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom