Hili la Wachaga kutoajiriwa Serikalini na Taasisi za Umma awamu ya tano, Mbowe anadanganya umma?

Hili la Wachaga kutoajiriwa Serikalini na Taasisi za Umma awamu ya tano, Mbowe anadanganya umma?

Status
Not open for further replies.
Mimi sio muumini wa siasa za kikabila ila kiukwel Magufuli aliwachukia sana Wachaga, ila Mungu akampenda zaidi..

Hakuna uganga wala Uchawi juu ya nyumba ya Israeli..

Wachaga hawakipigana vita na Mwendazake, maana Mungu aliaahidi, for the battle is not yours ...

Ajaribu mwingine nae apendwe zaid....
 
Umeandika kwa uchungu na kumaanisha.
JIWE aliwachukia wazi wazi kabisa, yaani Mungu ni fundi asee.
 
Mimi sio muumini wa siasa za kikabila ila kiukwel Magufuli aliwachukia sana Wachaga, ila Mungu akampenda zaidi..

Hakuna uganga wala Uchawi juu ya nyumba ya Israeli..

Wachaga hawakipigana vita na Mwendazake, maana Mungu aliaahidi, for the battle is not yours ...

Ajaribu mwingine nae apendwe zaid....
Acha pumba zako, ulishuhudia jinsi JPM alivyopokelewa uchagani wakati wa kampeni?
 
Ni kweli na Jerry Muro amewahi kukiri hivyo baada ya Magufuli kufariki, alisema kwenye Utawala wa Magu ilikua ngumu sana kupenya hasa kama mtu anatokea kaskazini". Je Jery Muro nae anatudanganya? Nikipata ile clip nitaipandisha hapa.

Nyie mbuzi wa kijani ushahidi huo hapo sasa. Pumbavu nyie
 
Attachments

  • 2722721-003f583eabcce4efa70105b629430b5e.mp4
    2.3 MB
Serekali ilijaa Kanda ya ziwa ndo maana wasukuma wanaona nchi ya kwao wamejisahau
Si kweli.

Magufuli hakuwahi kuwapendelea wasukuma, Magu alikuwa na genge lake alilotoka nalo wizara ya ujenzi hasa TANROADS.

Watu wengi wa Magu wa karibu hawakuwa wasukuma. Mfano:
  • Mfugale
  • Kijazi
  • Kabudi
  • Pole pole
  • Bashiru

Sana sana ukiona msukuma ni either anatokea genge la TANROADS/Wizara ya ujenzi au ndugu zake.

Je, Kwenye genge lake kulikuwa na nani kutoka Mara, Simiyu au shinyanga?

Au mnaposema kanda ya ziwa, mnamaanisha ipi ?

Mikoa ya Mwanza, Shinyanga, na Mara imekuwa ikitoa zana ushirikiano kwa CHADEMA, Mbowe aache huu upuuzi sa kina Kigogo.

Wasukuma tunaishi nao hawana upendeleo wowote na ni watu peace sana na easy going. Wengi ni waathirika wa propaganda za Magu lakini wasukuma hawana ukabila hata kidogo.

PS: Mimi ni Mzanaki wa Musoma.
 
Acha pumba zako, ulishuhudia jinsi JPM alivyopokelewa uchagani wakati wa kampeni?
Kwani dawa ya mtu muovu ni nini...
Soma Biblia kijana.. Biblia inasema Msishindane na mtu Mwovu, akikupiga shavu la kulia mgeuzie la kushoto.. ndivo walivofanya nae akapewa majibu yake...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom