Si kweli.
Magufuli hakuwahi kuwapendelea wasukuma, Magu alikuwa na genge lake alilotoka nalo wizara ya ujenzi hasa TANROADS.
Watu wengi wa Magu wa karibu hawakuwa wasukuma. Mfano:
- Mfugale
- Kijazi
- Kabudi
- Pole pole
- Bashiru
Sana sana ukiona msukuma ni either anatokea genge la TANROADS/Wizara ya ujenzi au ndugu zake.
Je, Kwenye genge lake kulikuwa na nani kutoka Mara, Simiyu au shinyanga?
Au mnaposema kanda ya ziwa, mnamaanisha ipi ?
Mikoa ya Mwanza, Shinyanga, na Mara imekuwa ikitoa zana ushirikiano kwa CHADEMA, Mbowe aache huu upuuzi sa kina Kigogo.
Wasukuma tunaishi nao hawana upendeleo wowote na ni watu peace sana na easy going. Wengi ni waathirika wa propaganda za Magu lakini wasukuma hawana ukabila hata kidogo.