Hili la Wachaga kutoajiriwa Serikalini na Taasisi za Umma awamu ya tano, Mbowe anadanganya umma?

Hili la Wachaga kutoajiriwa Serikalini na Taasisi za Umma awamu ya tano, Mbowe anadanganya umma?

Status
Not open for further replies.
Waziri wa Kilimo atakuwa msukuma wa Malampaka sijui
Hata Yule NW Ofisi ya WM, anaeshughulika na Watu Wenye Ulemavu, Ummy Hamis Ndeliananga Ni Msukuma Wa Butundwe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa pointi kama hiyo mbowe anatuaminisha chadema ni kwa ajiri ya wachaga sio watanzania kama ameshaanza ukaskazini na Bado urais hajapewa akiwa rais si ndo atakuwa hatari zaid kuliko Magufuli
Haitakuja kutokea mbowe au chadema wakashinda urais haitakuja kutokea ila kwa ajili ya kudanganyia dunia ya demokrasia watakuwepo hapo
 
Si kweli.

Magufuli hakuwahi kuwapendelea wasukuma, Magu alikuwa na genge lake alilotoka nalo wizara ya ujenzi hasa TANROADS.

Watu wengi wa Magu wa karibu hawakuwa wasukuma. Mfano:
  • Mfugale
  • Kijazi
  • Kabudi
  • Pole pole
  • Bashiru

Sana sana ukiona msukuma ni either anatokea genge la TANROADS/Wizara ya ujenzi au ndugu zake.

Je, Kwenye genge lake kulikuwa na nani kutoka Mara, Simiyu au shinyanga?

Au mnaposema kanda ya ziwa, mnamaanisha ipi ?

Mikoa ya Mwanza, Shinyanga, na Mara imekuwa ikitoa zana ushirikiano kwa CHADEMA, Mbowe aache huu upuuzi sa kina Kigogo.

Wasukuma tunaishi nao hawana upendeleo wowote na ni watu peace sana na easy going. Wengi ni waathirika wa propaganda za Magu lakini wasukuma hawana ukabila hata kidogo.
Umeongea vizuri sana
 
Kwa pointi kama hiyo mbowe anatuaminisha chadema ni kwa ajiri ya wachaga sio watanzania kama ameshaanza ukaskazini na Bado urais hajapewa akiwa rais si ndo atakuwa hatari zaid kuliko Magufuli
Unakubali magufuli alikuwa mkabila eeh,
 
Namnukuu Mbowe

''Miaka mitano ya Hayati Magufuli ilikuwa ni miaka ya mateso kwa watu wa Kaskazini hususan Wachaga, ilifika wakati Magufuli akatoa maagizo ya Wachaga kutoajiriwa Serikalini na kwenye Taasisi za Umma''

Pumbavu kabisa,mwanasiasa mtafuta pesa wewe,
Waziri mkenda siyo wa kwenu,mwanri, na wengine wengi walikuwamo awamu ya tano
 
acha hixo wewe?
SUKUMA GANG ni kida Doto pale Hazina.
Kina BISWALO. MGANGA DPP.
AG-MWANSHERIA MKUU- Prof Kilangi.
Mkuu wa PENTAGON.
mkurugenzi Bandari.

si hao chawa uliowataja hapo juu, tunazungumzia vyombo vya maamuzi na fedha zinapofichwa.
Engineer Kankonko hakutokea wizara ya ujenzi ?

Dotto alikuwa ndugu yake. Kilagi alikuwa wapi kabla ya uteuzi?

DPP kabla ya uteuzi alikuwa wapi ?

Tuchukulie ni walipendelewa kwasababu ni wasukuma, je hao watu uwiano ukoje na wengine ?

Na, Je hapa anachozungumza Mbowe ni AJIRA au TEUZI ?
 
Engineer Kankonko hakutokea wizara ya ujenzi ?

Dotto alikuwa ndugu yake. Kilagi alikuwa wapi kabla ya uteuzi?

DPP kabla ya uteuzi alikuwa wapi ?
una maswali ya chekechea.
Endelea na USUKUMA wako kwenye nchi yenye makabila 136.
alisema waziwazi zamu ya wengine si wachagga.
Kila aliyeteuliwa alitoka SUKUMA GANG, tena kwa taarifa yako wengi ni ndugu zake, kama hujui.
 
Wewe jamaa nimegundua ni mpumbavu sana.

Mimi kwetu Mara. Ni mzanaki pure.

Hujui hata unachooongea, uchagga umekujaa kama taahira.

Mbowe anaongelea AJIRA wewd unabweka hapa kuhusu TEUZI. Stupid
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom