Namnukuu Mbowe
''Miaka mitano ya Hayati Magufuli ilikuwa ni miaka ya mateso kwa watu wa Kaskazini hususan Wachaga, ilifika wakati Magufuli akatoa maagizo ya Wachaga kutoajiriwa Serikalini na kwenye Taasisi za Umma''
Memo za ndani zote wanapata maana wana watu wao wasiopenda siasa usalama wa taifa hivyo hakuna siri wasiojua tuliona wakati Hayati anaumwa