Namnukuu Mbowe
''Miaka mitano ya Hayati Magufuli ilikuwa ni miaka ya mateso kwa watu wa Kaskazini hususan Wachaga, ilifika wakati Magufuli akatoa maagizo ya Wachaga kutoajiriwa Serikalini na kwenye Taasisi za Umma''
Kwa upeo wake wa kufikiri, inaonekana ni hivyo. Au wewe unadhani sababu gani hasa iliyomfanya akasababisha vifo vya watu wengi kwa ile bomoabomoa, hata pale mahakama ilipotoa zuio, ole wako uweke STOP ORDER ya mahakama kwenye nyumba yako. Waliofanya hivyo, pamoja na viongozi wa waliokwenda mahakamani, walibomolewa usiku, maana yake hutoi hata kijiko.Kwaiyo Magufuli alibomoa nyumba zilizo katika hifadhi ya Morogoro Road sababu wakiishi wachaga?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tayari nimeshamwambia siuzi tena eneo langu na nimemwambia Faru John amesababisha mimi kugaili kuuza eneo languameumia sana eti anasema aongeze dau nimekataa katakata. Pia tumekaa kikao wanakanda ya ziwa na tumekubaliana hatutatoa ushirikiano wowote kwa wachaga waliopo huku Mwanza na Kanda ya Ziwa nzima.Unateseka bure. Wachagga watakjja kukununua kabisa na ww mwenyewe
Mtakoma hamieni Kenya na sasa kwa kuwa tumejua mnaajenda ya ubaguzi itabidi mhame Mwanza la sivyo tunaanzisha kampeni kabambe ya kutoshirikiana na wachaga walioko Mwanza.Kwa upeo wake wa kufikiri, inaonekana ni hivyo. Au wewe unadhani sababu gani hasa iliyomfanya akasababisha vifo vya watu wengi kwa ile bomoabomoa, hata pale mahakama ilipotoa zuio, ole wako uweke STOP ORDER ya mahakama kwenye nyumba yako. Waliofanya hivyo, pamoja na viongozi wa waliokwenda mahakamani, walibomolewa usiku, maana yake hutoi hata kijiko.
Wewe unadhani sababu gani hasa alikuwa katili hivyo kwa watu wa Kimara, Mwanza akawa mpole namna ile, kwamba msiwabomolee hawa walinipa kura? Kumbuka hiyo kuzuia bomoabomoa Mwanza imetokea mara mbili
Waliajiliwa wa makabila gani? Kwani wachagga wako wangapi kwenye utumishi? Siku zote huwa nasema kwenye ajira ni vizuri kuangalia idadi ya makabila na dini, maana ajira ni ufunguo wa maisha yako na vizazi vyako. Watoto wangu mimi wamesoma kwasababu nina ajira, lakini wale wa ndugu zangu ambao hawana ajira hawakusoma kabisa.Namnukuu Mbowe
''Miaka mitano ya Hayati Magufuli ilikuwa ni miaka ya mateso kwa watu wa Kaskazini hususan Wachaga, ilifika wakati Magufuli akatoa maagizo ya Wachaga kutoajiriwa Serikalini na kwenye Taasisi za Umma''
Hivyo vitakataka hapo ndio vunaonesha ccm imekataliwa?View attachment 1802867ulikua hujui kua watanzania timamu wameikataa CCM hadi ikazima mitandao kwa wiki nzima ili itekeleze uchafu wake?
Hiyo inahalalisha Mbowe kuongea uchafu?Hajazidi uchafu wa mwenda zake.
Mbowe alitoa ushahidi wa Wachagga kutoajiriwa?Mtoa mada, ni vizuri ukaweka ushahidi wa wachaga walioajiriwa ili tuamini ni kweli Mbowe anadanganya umma.
Ukabila utawamaliza soon na saccos yenu!Hahahahahaha eti unamsemesha mwendazake π
umepanic bro,RELAX jiwe is no longer na hatorudi tena,haskii wala hasomi jf huko aliko.Nyinyi wachaga ukabila utawamaliza tu na sasa ndiyo mnaelekea kubaya sana.
Wachaga na wakinga ndio yafaa wawe wanatoa viongozi nchini hawa wanaijua pesa hakika tutakuwa mbali sana kimaendeleo.Hilo kabila ni watu wa dili dili sanaa hainiatui kuwa expelled katika ajira hilo kabila hawaaminiki wanaweza kuuza nchiπππ
Hata huyo magufuli uliyemuweka kwenye avatari yako alikuwa mtu wa dilidili sanaHilo kabila ni watu wa dili dili sanaa hainiatui kuwa expelled katika ajira hilo kabila hawaaminiki wanaweza kuuza nchi[emoji23][emoji23][emoji23]
Mada inasema Faru John ana ukabila sana! Jadili mkuu.umepanic bro,RELAX jiwe is no longer na hatorudi tena,haskii wala hasomi jf huko aliko.